Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
13,426
2,000
IMG_20210517_172754.jpg
 

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
17,164
2,000
Crimea wengi wana akili sana wewe sijuhi crimea wa Chatle ama Kolomije??
Shame!
Hupaswi kuishukuru selikali ikitimiza wajibu wake..

Ila isipotimiza unapaswa kuishutumu!

Yani wewe hata mumeo akikupa mahitaji yako husemi asante maana ni wajibu wake?
 

Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
706
500
Huo ni mkopo kutoka WORLD BANK.

Hata kama Rais angekuwa Pierre Liquid angeweza kukopa tu akajenga.

Masuala ya kulipa deni mtajijua huko.

Hakuna akili yeyote iliyotumika hapo.
How wakati hizi pesa tulikuwa tunagawana kama escroll 300bm
 

konyola

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
2,176
2,000
Tatizo la mleta mada ushamba ndo unaomsumbua sasa kama kashuka na lori la mbuzi kutoka simiyu alipoliona hilo daraja si alijua ndo peponi?
 

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
535
1,000
Haki yako halafu unataka kuwa mtumwa nayo.
Kama ni haki yako mbona hawakujenga hiyo flyover miaka yote?

Unafikiri isingejengwa ungefanya nini!??

Usingefanya lolote lile wewe!!!

Leo ukipita kwenye flyover unachanua makalio huku unalamba koni kwa raha zako, haujui kuna wanaume walifanya kazi pale!
 

Blac kid

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
6,276
2,000
Ona haka kataahira!

Daraja la busisi anaanza kujenga maza?

Na hiyo reli unajua kama ni mwendelezo wa hii ya dar to moro?

Vijana piganeni muondokane na umasikini kwenye koo zenu kwanza haya mambo yapo juu ya uwezo wenu,
Misukule ya mwendakuzimu nyie mna kazi kweli, kwa hiyo unataka kusema miradi yote inayoendelea sasa hivi inafanyika kwa kufuata maelekezo ya mzoga tuliozika chatto? Kuna project ya Dodoma ring maza kaukanseli uambieni huo mzoga uje ujenge si ulianzisha wenyewe bwana.
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
47,100
2,000
Yaani wewe ni bonge moja la jinga...
Hustahili kuishukuru serikali kwa kutimiza wajibu wake.
Kama mwananchi mlipa kodi na bosi wa serikali unapaswa kujiuliza je kilichofanyika kimefanyika kwa ufasaha? Na kama kimefanyika Dar je maeneo mengine ya nchi yenye mahitaji kama hayo yatafikiwa lini?
Huyu mjinga anatakiwa awashukuru na wakoloni kwa kutuletea reli, shule, makanisa, hosps na lami kwa mara ya kwanza.
 

JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
792
1,000
Ni kweli sio fedha zake ila zilikuwepo lakini badala ya kufanya mambo kama hayo wapo waliozitafuna tu na kutunyonya.

You can imagine mtu analipwa bilioni 400 fedha za wavuja jasho watanzania na kulipwa milioni 400 Kila siku ila ndio hao wanaoachiwa.

Hii nchi Kuna watu wanaifaidi sana, Ila ipo siku Mungu atasikia kilio Cha wanyonge na kuwarejeshea Nchi yao.

Ipo siku na siku hiyo haipo mbali sana.
Kilio cha wanyonge.

Pigania maslahi ya nchi yako na familia yako fanya kazi achana na unyonge utalia lia tu hakuna litakalotokea kwa wasio wanyonge.

Embu waangalie watendaji wakuu wateule wa serikali awamu ya tano kama ni wanyonge.

Anza na wakurugenzi mnyonge wewe.
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
47,100
2,000
Mwendakuzimu alikuwa mbinafsi sana, alituaminisha hatatokea rais mwngne wa kujenga reli na madaraja, lkn cha ajab hata kabla mzoga wake funza hawajaumaliza, maza Huyo tayari kaanza kujenga daraja kubwa la busisi na reli kutoka isaka to mwanza.
Alikuwa anapiga 10% za ujenzi wala hakuwa na lolote
 

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
535
1,000
Misukule ya mwendakuzimu nyie mna kazi kweli, kwa hiyo unataka kusema miradi yote inayoendelea sasa hivi inafanyika kwa kufuata maelekezo ya mzoga tuliozika chatto? Kuna project ya Dodoma ring maza kaukanseli uambieni huo mzoga uje ujenge si ulianzisha wenyewe bwana.

We nyumbu Magufuli amekufa lakini ukisikia jina lake mkundu unatikisika?

Sio kwa matusi hayaa chaaah!!!

Lazima ulikuwa JIZI la vyeti wewe wakakutimua — manake unamwaga povu la uchungu balaa!
 

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
17,164
2,000
Misukule ya mwendakuzimu nyie mna kazi kweli, kwa hiyo unataka kusema miradi yote inayoendelea sasa hivi inafanyika kwa kufuata maelekezo ya mzoga tuliozika chatto? Kuna project ya Dodoma ring maza kaukanseli uambieni huo mzoga uje ujenge si ulianzisha wenyewe bwana.
Hizi hasira zako unamtolea nani sasa hapa? Kwanini usizitumie kutafute hela ili uondoe umasikini kwenye ukoo wako?

Tumekwambia reli na daraja yote hiyo ni mwendelezo wa miradi aliyoacha Magufuli! Wewe unakuja na dodoma sijui kuna takataka gani, shida nini njaa au akili?

Nyie vijana mtakufa masikini hivi hivi mkijiona huku mkifikiri kufa kwa Magufuli ndio kupatia maisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom