Bossie mtoto
Member
- Jul 6, 2020
- 85
- 12
Umeiona ubungo lakini?OKTOBA 28 MCHAGUE JPM KUYAENDELEZA HAYA AMA MKATAE KUYAONDOA.
- Biashara zimekufa na zilizopo hazina matumaini ya kustawi.
- Hali za maisha ya watu imekuwa hoi.
- Raia wana hofu ya kutekwa na kuuawa kila mahali.
- Hali za wakulima ziko hoi kwasabb bei za mazao zimeporomoka.
- Wafanyakazi hali zao mbaya kwasabb mishahara yao haijawahi kuongezeka tangu Kikwete aondoke madarakani.
- Vijana wanaomaliza vyuo wamekosa matumaini kwasabb serikali haitoi ajira.
- Sekta binafsi imekuwa adui wa serikali (inazidi kuminywa).