Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
Nimepapenda hapo
NaaamTHE LOST,
Mkuu kitu pekee ninachojua ni kwamba magufuli ameharibu nchi yetu sana na kumpa tena nafasi ni usaliti kwa nchi yetu na watoto wetu
Ndugu yangu hata siku moja MJINGA HAKUI hata ukimuelewesha vipiSisis wakristo makafiri... Nyangau ww mbona tunachangiaga ujenz wa misikiti mitaani... Acha ujinga na roho mbaya...
Na ukienda hospitalini ukimkuta daktar mkristo asikutibu basi maana ni kafri..
Hizi dini tumeletewa tuu zisitufanye tushindwe kuheahimiana kama watanzia..
1.5 Trilioni
Ukijumlisha kashfa zote za upigaji za Kagoda, Meremeta,Buzwagi Radar, Richmond kwa pamoja hazifikii 1.5 T.
Uzalendo gani huo unaosema wewe
Duuuuh!!!Pamoja na madhaifu yake.. lakini Magufuli amedhubutu na anahitaji kupewa miaka mingine 5.. naamini Tanzania itakua mbali sana.
Japo ndani ya hii miaka 5 anahitaji kufanya haya mambo mawili ili kuacha legacy kama Rais Bora.
1. Kuweka mezani mchakato wa katiba
2. Kuwezesha Tanzania kupata katiba mpya isiyo na mizizi ndani ya ccm.
Watu wa Dar msipo mchagua .. mtakua hamna maana kabisa.. dar inamelemeta kwa barabara za mitaani, taa, vituo vya afya, etc.
Huyu hapa ndio Rais wa kumchagua.
View attachment 1541828
0yeee!
Daah! Nilisahau, hili pia ni moja ya mafanikio yake.Watu kubambikwa kesi za hovyo na uonevu
PamojaDaah! Nilisahau, hili pia ni moja ya mafanikio yake.