10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga

============
emie emie posted: Kwa kweli Rais wetu kafanya makubwa sanaa..
Kila upitapo sasa hivi ni ujenzi unaendelea...Dar es Salaam kila kona Barabara ya Tandale-Sinza- Mawasiliano inajengwa
Madaraja yanajengwa

Upanuzi wa barabara kuu ya Ubungo hadi chalinze unafanywa

Daraja Kilombero miaka yote wapigaji walikuwa wanakula hela za wananchi kuwavusha ila sasa limejengwa

Flyovers zinajengwa

Miradi ya umeme inajengwa na miradi mingi ni kwa hela za watanzania wenyewe

Miaka yote maeneo ya Mbezi na kimara walikuwa hawapati maji japo yanapita njia hiyo hiyo lakini sasa maji yamefika mbezi, na bado wanaendelea kutandaza mabomba ili kupeleka maji. Awali waliokuwa wanakula hela za wananchi ni wenye miradi ya kuuza maji kwa magari. Ila sasa wananchi wamekombolewa.

Utendaji kazi umeimarika, sasa hivi kila mmoja anaona cheo akipewa ni kama kakalia kaa la moto..Yale mambo ya kupiga hela na kukaa ofisini kupiga usingizi yameisha watu ni kazi la sivyo unawajibishwa.

Madawa sasa yanapatikana hospitali, ile hali ya madawa ya hospitali yanapelekwa katika Pharmas binafsi imeisha.

Hospitali sasa za serikali ukienda mgonjwa anajaliwa sio kama ilivyokuwa awali.

Taasisi za serikali wafanyakazi wamekuwa wanawajibika ....hakika nidhamu imeimarika.
Kwa sasa taasisi za serikali zinajiendesha kibiasara bali si kihasara kama ilivyokuwa awali, ilikuwa ni ulaji tuu wa hela, upigaji dili, taasisi zinakufa, hakuna gawio kwa serikali, ila sasa zinatoa gawio...Hakika kila kitu ni usimamizi imara, ukicheka na kima utavuna mabua.

Awali watu walikuwa wanaulilia uongozi, hata wasio kuwa na elimu walikuwa wanagombea kupata uongozi, sasa uongozi umekuwa mgumu sababu kama wewe si muwajibikaji una ndoto za kupiga tuu, hupati nafasi, Uongozi umekuwa una hadhi kwa sasa.

Hakika Namsifu Rais wetu...

Pia soma;

Maendeleo ya vitu sio maendeleo ya watu Kama hayareflect tija maendeleo ya watu ni bure.
 
Maendeleo ya vitu hata jakaya ameyafanya Magufuli cha maana alichofanya ni kukomesha Rushwa na kuleta nidhamu
Kipindi cha kikwete ulikuwa unajua habari za rushwa kubwa kwa sababu aliruhusu Transparency.
Ni watu ambao mnaendeshwa na mapenzi ya vyama hamtaki kufumbua macho, sisemi kama hajakomesha, lakini ni vyema angeruhusu masuala kama ya ununuzi wa ndege,ripoti ya former CAG kujadiliwa, suala kama la Kangi kujadiliwa ili lijulikane kiundani,kivuko alichokikabidhi jeshi kijadiliwe manunuzi yake(sababu ilitia shaka).
Kwa watu wa chini mtu anaesema siku hizi hakuna rushwa sababu hajasikia Dowans n.k muulize kama ana gari Traffic wanafanyaje?Kama ni malaya muulize zile bar wanakojiuza mwenye bar anatumia ujanja gani, kama ni dereva wa basi muulize katika mizani siku hizi vipi?
Hint, siku hizi watu wanachukua cash tena kwa dollar sometimes wanakaa nazo home ili wasiwe traced kirahisi
 
Sasa transparency ya JMK aliwezesha miradi ipi ambayo leo hii tungekuwa tunamsifia? Kwa haraka tu nakumbuka vigenerator kila kona ya maduka Dar Es Salaam vile vile haikuwa rahisi kupanda ndege za kwetu wenyewe Watanzania. Barabara mbovu pamoja na mwelekeo wa watoto wa JMK nao kuwa marais huko mitaani. Rushwa ilitamalaki madini waliokuwa wanafaidi ni makampuni kutoka nje nk. Husda ni kitu kibaya kwa afya yako.
 
😃😃😃 Husda inatoka wapi?Au uko "programmed" kutaja maneno kama hayo mtu wa "pwani"?
Ili upimwe katika issues kama hizo lazima tu observe good governance ambayo hiyo Transparency iko ndani yake...
Halafu kuhusu miradi hata JK wenu,nasisitiza wenu "kijani" nae ana miradi yake aliyomalizia na kuanzisha; mwendokasi, udom,kilometa kibao kadhaa za lami JPM akiwa Waziri,kutanua wigo wa udahili elimu ya juu n.k.,kuleta Foreign Direct Investment kubwa "Dangote"...ambayo ni ya thamani ya almost 1.38 T kwa rate ya 2300/-.....
Kwa hiyo wewe kama mwana CCM haustahili kuniambia nchi ilikuwa inaliwa huyu sasa anatukomboa,wakati ni "ile ile" ila kwa sasa watu na bunge limevaa barakoa...
Tungeshakuwa mbali sana, lakini hatujafika, and we are not ready to take another risk ati akae mpaka achoke, nchi sio ya kifalme hii tufuate katiba na taratibu za sheria.
"Umaamuma ni hatari kwa uhai wako"
 
1593451051569.png

Wapi nimesema asifuate katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Wacha kukariri twende na facts sio mihemuko ya kukariri. Come on with those facts then we can discuss.
 
Sasa transparency ya JMK aliwezesha miradi ipi ambayo leo hii tungekuwa tunamsifia? Kwa haraka tu nakumbuka vigenerator kila kona ya maduka Dar Es Salaam vile vile haikuwa rahisi kupanda ndege za kwetu wenyewe Watanzania. Barabara mbovu pamoja na mwelekeo wa watoto wa JMK nao kuwa marais huko mitaani. Rushwa ilitamalaki madini waliokuwa wanafaidi ni makampuni kutoka nje nk. Husda ni kitu kibaya kwa afya yako.
We jamaa ni "kajinga"😃 una akili za kibaamedi, niamini. Nilikuwa najibu kuhusu "kukomesha rushwa" ukaja kuhusu miradi, nikakuonyesha hata yule wenu mwingine kuna miradi alifanya, umehamia katika suala jingine.
"We baamedi,tunaongelea pombe kali, wewe unaleta beer"😃.Pleaase pleaase abide by your id "wacha moja".
 
https://www.jamiiforums.com/members/drat.105178/ said:
Hivi una akili:-
a)Timamu
b)Zimezid
c)Zimepungua
********rudi katika first reply yako uone concern yangu ni ipi, na wewe ukaleta JPM vs JMK.

Huna hoja wewe, naku-ignore officially.
 
Wapi nimesema asifuate katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Wacha kukariri twende na facts sio mihemuko ya kukariri. Come on with those facts then we can discuss.
Wapi na mimi nimesema umesema hafuati katiba?😃, acha hizo POV za ki "buza barmaid".
As long as thread imetaka mazuri zaidi, ungeweka "uandishi wako wa kibaamedi" ujitegemee kuliko kunijibu.
Tungeelewa barmaid humsifia mteja anaeacha tips,na kumfanyia yampendezayo kama vile "na wewe kunywa moja".
 
Huna hoja wewe, naku-ignore officially.
Ndio nilikuwa nataka hivyo, sipendi kabisa nimefika "bar" kupata kinywaji kistaarabu, nina refresh halafu "baamedi" anaanza kung'ang'aniza story za "huwa unakunywa beer za ndani, mimi nakunywa amstel ninunulie(HATUJAMALIZA)unaanza mwone shoga yangu anapenda vitenge kuliko vimini(SIJAKAA SAWA) unaniletea simu yako nione PICHA😃.
Ndicho ulichokuwa unafanya,naongelea issue ya corruption, unaleta miradi ya JK vs JPM,hatujamaliza unanilisha maneno kuwa nimesema umesema asifuate katiba.
Thanks Mh Baamedi kwa kuacha kuniletea fujo katika notification👏🙄
 
Uchumi unavyopanda maisha lazima yawe magumu. Maisha hayawezi kuwa raisi hata siku moja, unaweza kunitajia ni nchi gani ambayo imeendelea na maisha ya raia wake ni rahisi? Nafahamu huwezi kujibu hilo bali utakaa na kulialia tu na kuwewesekaweweseka. Chapa kazi mkuu malipo ni hapa hapa duniani.
Ona sasa "baamedi" unavyoleta u "layman".Eti uchumi unavyopanda lazima maisha yawe magumu😃😂.....hii ipo katika course ya "bongo macro economics" au "lumumba microeconomics".
Kweli Garbage In Garbage Out
 
20 Julai 2020

Breaking News !

Dr. Faustine Engelbert Ndugulile ashinda kura za maoni za ndani ya chama cha CCM jimbo la Kigamboni jijini Dar es Sakaam.

Kura za maoni za wajumbe halali zilikuwa 399 hakuna kura iliyoharibika na Dr. Faustine Engelbert Ndugulile amefanikiwa kupata kura 190 za wajumbe hao wa mkutano wa wilaya ya Kigamboni..
 
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom