Ajira inakuja hivi.: kwanza kutengeneza barabara kunleta ajira kuanzia mkandarasi, vibarua mpaka mama ntilie. Pili barabara zikiwa tayari usafiri unakuwa wa uhakika kutokana na hilo ukijiongeza unaweza kuona wingi wa ajira kutokana na kuwepo barabara (miundo mbinu kwa ujumla).Uko sahihi sana, tatizo pekee la wananchi wa nchi hii ni barabara pekee yake, ajira kwako sio jambo muhimu?
Ajira inakuja hivi.: kwanza kutengeneza barabara kunleta ajira kuanzia mkandarasi, vibarua mpaka mama ntilie. Pili barabara zikiwa tayari usafiri unakuwa wa uhakika kutokana na hilo ukijiongeza unaweza kuona wingi wa ajira kutokana na kuwepo barabara (miundo mbinu kwa ujumla).
Swala la Afrika ya kusini liko complex siyo rahisi hivyo kwamba ni Ajira. Nimekaa huko zaidi ya miaka 26. Ajiri inachangia kitu kidogo sana kama 1%!Wakati wa ujenzi wa miradi hizo sio ajira bali ni vibarua, maana baada ya mradi kukamilika ajira hukoma. Hizo ajira za kwenye miradi ya ujenzi sio endelevu.
Kama barabara ndio huondoa tatizo la ajira, huko Afrika kusini kuna barabara mpaka chumbani, ni kipi kinafanya raia wake wavamie wageni kuhusu suala la ajira?
Nafaham magu alivyokomesha ujambazi nchini! Nafaham magu alivyofundisha watu kutafuta hela(ulizia watz wanaokaa nje kuhusu kod hutolalamika kuhusu kodi hapa kwetu) kulalamikia kodi nyingi manake unataka kodi ni sawa na kumlalamikia mwenyw nyumba kafunga mlango wakati wewe unataka kuiba*shwaain kabis)magu amefundisha wananchi kuipenda nchi yao iwe kwa lazima au kwa hiari uzalendo kwanza ebooo...kwa wale tunaotaka kugombea katurahisishia hatuhitaji kutumia hela kwenye kampeni ni utu wako tu na akili!
Magu hoyeeeeeeee! Tumpeni kipindi kingine ili sasa iwe zam ya kuwajaza pesa mfukoni baada ya kumaliza kwenye miundombinu!! SIMPLE!!!