Uko sahihi sana, tatizo pekee la wananchi wa nchi hii ni barabara pekee yake, ajira kwako sio jambo muhimu?
Ajira inakuja hivi.: kwanza kutengeneza barabara kunleta ajira kuanzia mkandarasi, vibarua mpaka mama ntilie. Pili barabara zikiwa tayari usafiri unakuwa wa uhakika kutokana na hilo ukijiongeza unaweza kuona wingi wa ajira kutokana na kuwepo barabara (miundo mbinu kwa ujumla).
 
Ajira inakuja hivi.: kwanza kutengeneza barabara kunleta ajira kuanzia mkandarasi, vibarua mpaka mama ntilie. Pili barabara zikiwa tayari usafiri unakuwa wa uhakika kutokana na hilo ukijiongeza unaweza kuona wingi wa ajira kutokana na kuwepo barabara (miundo mbinu kwa ujumla).

Wakati wa ujenzi wa miradi hizo sio ajira bali ni vibarua, maana baada ya mradi kukamilika ajira hukoma. Hizo ajira za kwenye miradi ya ujenzi sio endelevu.

Kama barabara ndio huondoa tatizo la ajira, huko Afrika kusini kuna barabara mpaka chumbani, ni kipi kinafanya raia wake wavamie wageni kuhusu suala la ajira?
 
Wakati wa ujenzi wa miradi hizo sio ajira bali ni vibarua, maana baada ya mradi kukamilika ajira hukoma. Hizo ajira za kwenye miradi ya ujenzi sio endelevu.

Kama barabara ndio huondoa tatizo la ajira, huko Afrika kusini kuna barabara mpaka chumbani, ni kipi kinafanya raia wake wavamie wageni kuhusu suala la ajira?
Swala la Afrika ya kusini liko complex siyo rahisi hivyo kwamba ni Ajira. Nimekaa huko zaidi ya miaka 26. Ajiri inachangia kitu kidogo sana kama 1%!
 
Miaka ya nyuma ilikua baba anaenda kazn au shamban alaf yey anaenda kucheza pool..shukuran ziende kwa serekari ya awamu ya5 police wamejitahid saana kudhibit vijiwe vya kamali magenge ya kupiga story..hakika taifa hili tukiendelea hiv tutalijenga na mpaka G7 tutaingia 2050 Amin vijana ndio nguzo za kesho tuwaache wazee wapumzike kwa maana wamefanya Kaz kubwa
 
Pole sana wee ukitaka kujua hali mbaya nenda kwenye prium bet (kule wanakobet mambo ha mpira)ndo utajua kuwa kuna kundi kubwa sana hawana la kufanya na pa kwenda ndo wanakoshinda wanafanya hadi dada zetu au wadogo zetu wanaogopa hata kwenda dukani wakigumwa
 
Habarini wakuu!

Mabadiriko huanza na mimi nakua na uongozi sahihi wenye tija kwa taifa,

Ninaomba kwa heshima na taadhima ya hali ya juu, kuijua miradi mikubwa iliyotekelezwa tangu Mheshima Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu JOHN POMBE MAGUFULI alivyokuwa ameanza harakati zake za kisiasa,
Akiwa kama mbunge wa chato na akiwa kama waziri wa ujenzi

Natanguliza shukrani za dhati kwa watendaji wote wa serikali hii ni kutokana na shughuri nzito mnayoifanya kuhakikisha tunakwenda kule tunakopaswa kufika

Pia niwape pole za dhati kabisa ndugu zangu wote mnaopitia changamoto za kisiasa maana ni lazima zile kuti chakavu zibadirishwe na kuwekwa mpya
 
Wadau wa JF.

Unaweza kusema kuwa Historia Sasa imeandikwa na Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Mzalendo Nambari 1 na Mtetezi wa Wanyonge Dkt John Pombe Magufuli.

Hospitali ya kisasa ya Rufaa inajengwa Mpanda Mkoani Katavi kwa Kutumia fedha za ndani.

Wakazi wa Katavi hawatakuwa na haja ya kwenda Mbeya kufuata huduma mbalimbali za kisasa kama CT Scan au MRI.

Tunatekeleza
 
Naona bandiko la kishoga kutukuza lusifa! Una laana sio Bure
Nafaham magu alivyokomesha ujambazi nchini! Nafaham magu alivyofundisha watu kutafuta hela(ulizia watz wanaokaa nje kuhusu kod hutolalamika kuhusu kodi hapa kwetu) kulalamikia kodi nyingi manake unataka kodi ni sawa na kumlalamikia mwenyw nyumba kafunga mlango wakati wewe unataka kuiba*shwaain kabis)magu amefundisha wananchi kuipenda nchi yao iwe kwa lazima au kwa hiari uzalendo kwanza ebooo...kwa wale tunaotaka kugombea katurahisishia hatuhitaji kutumia hela kwenye kampeni ni utu wako tu na akili!
Magu hoyeeeeeeee! Tumpeni kipindi kingine ili sasa iwe zam ya kuwajaza pesa mfukoni baada ya kumaliza kwenye miundombinu!! SIMPLE!!!
 
Heshima kwenu.

Hebu piga Picha nchi kama Marekani au na zinginezo zingeanza kuorodhesha vitu walivyo fanya kama kijenga Barabara na ndege na Magari ya wagonjwa ingekuaje?

Maendeleo hupimwa kwa Ukuaji wa Uchumi wa nchi hasa kwenye.
- Kupunguza tatizo la ajira.
-Kukuza vipato hasa wa vipato vya chini.
- Mifumo ya Afya ya jamii
- Mishahara ya watumishi wa umma.
- Pension za wastafu.
-Mifumo ya elimu

Sasa huku kila siku ni Madaraja na Reli. Je vipi mifumo ya Afya ya Umma? Vipi swala la ajira? Vipi vipato cya watu hasa wa chini? Vipi pensheni?

Haya ndo mambo yanayo paisha serikali zote Duniani na sio hii ya mabwawa mabayo muda wowote inaweza potea, bwawa linaweza bomoka, ndege zinaweza potea ila ukiweza kwenye Ajira au Afya au Mishahara ya watumishi hivi vitaishi milele.
 
Kweli ufahamu hutofautiana kati ya mtu na mtu juu maendeleo na ukuaji wa uchumi
we hujui kuwa uwepo wa miundo mbinu kama barabara inasaidia usafirishaji wa bidhaa kutoa sehemu moja hadi nyingine
hizo hospitali usipokuwa mzima huwezi ku produce chochte.
kwahiyo wew ulivyo vitaja ni part ndogo sana
 
Ina maana development ya transport infrastructure sio kipimo cha maendeleo?
Huko kwenye vituo vya afya , kazini wanakoenda kila siku watumishi wangefikaje kama miundombinu ni ya hovyo? Acha upumbavu mkuu Murusi, acha upumbavu Murusi narudia tena Mkuu Murusi acha upumbavu! Aisee! Jiangalie sana we Murusi!
 
Priorities zimehama kutoka maendeleo ya watu kuwa ya vitu, kwa ishu ya afya mimi sifagilii sana takwimu za kuongezwa zahanati na vituo vya afya kutoka so.. kwenda so.., badala ya kuongeza madaktari na kuwalipa vizuri. Kwa uelewa wangu daktari anaweza kuwaandikia wagonjwa dawa hata akiwa amekaa chini ya mwembe, lakini jengo tupu la zahanati au hospitali kamwe halitaweza kumwandikia mgonjwa dawa.
 
Back
Top Bottom