Serikali hii ya awamu ya tano imefanikiwa sana kutekeleza miradi mikubwa wezeshi kiuchumi kwani miundombinu na maendeleo ni kama mishipa ya damu na cell ndani ya miili ya viumbe hai

haielekei kuwa na wewe ni mmojawapo wa hao watu unaowaita wenye "akili timamu" hata kidogo! jamani kichwa cha habari kirefu kuliko ufafanuzi wake?!
 
Akili dumavu
Habarini wanajamvi.....

Nimpongeze JPM Kwa kazi kubwa anazozifanya kupeleka Nchi mbele....

Kwa haraka haraka kumbe Tanzania siyo maskini tuna uwezo wa kufanya kila kitu mahospitali yanajengwa,barabara,ndege zinanunuliwa,Elimu bure Nchi nzima,madaraja yanajengwa hakika Tanzania tumepiga hatua kubwa sana...

CCM ndo chama pekee itakayowaletea wananchi maendeleo na siyo hivi vyama vingine vilivyojaa genge la wahuni
 
Nafaham magu alivyokomesha ujambazi nchini! Nafaham magu alivyofundisha watu kutafuta hela(ulizia watz wanaokaa nje kuhusu kod hutolalamika kuhusu kodi hapa kwetu) kulalamikia kodi nyingi manake unataka kodi ni sawa na kumlalamikia mwenyw nyumba kafunga mlango wakati wewe unataka kuiba*shwaain kabis)magu amefundisha wananchi kuipenda nchi yao iwe kwa lazima au kwa hiari uzalendo kwanza ebooo...kwa wale tunaotaka kugombea katurahisishia hatuhitaji kutumia hela kwenye kampeni ni utu wako tu na akili!
Magu hoyeeeeeeee! Tumpeni kipindi kingine ili sasa iwe zam ya kuwajaza pesa mfukoni baada ya kumaliza kwenye miundombinu!! SIMPLE!!!
 

Ni nani anayeweza kupinga kwamba utendaji Kazi wa Magufuli hakuna rais yeyote hapa duniani kwa sasa anayeweza kumfikia?.

Tunakubali kwamba yako mapungufu katika uongozi wa Magufuli, lakini kwa ujumla ni kiongozi bora kabisa kwa sasa.
 
Jembe ,Jiwe,Chuma,Mwamba kila aina ya Ujemedari ndio Stahili yake kuitwa
Hatuna mwingine zaidi yake kwa sasa
Tanzania inamtegemea yeye
Watanzania hawana kimbilio Jingine zaidi yake
Mungu akupe maisha marefu Rais wangu kIpenzi cha wengi
 
Jembe ,Jiwe,Chuma,Mwamba kila aina ya Ujemedari ndio Stahili yake kuitwa
Hatuna mwingine zaidi yake kwa sasa
Tanzania inamtegemea yeye
Watanzania hawana kimbilio Jingine zaidi yake
Mungu akupe maisha marefu Rais wangu kIpenzi cha wengi
Aisee!Bila shaka nyie ni wale mnaosema Mungu anafaa kumshukuru makufuli. Kazi kukufuru tu!
 
Mama yangu mzazi si mpumbavu ndiyo sababu hawezi kumsifia mzinzi, mwizi, fisadi, muuaji eti ni rais wa aina yake hapa duniani. Kama huna cha maana cha kuandika kaa kimya badala ya kuonyesha UJUHA wako hadharani wa kumsifia huyo MUOVU wa kupindukia.

Lakini sidhani kama wanamzidi mama yako mzazi kwa upumbavu, ama namna gani?
 
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom