Kura yangu ilienda sehemu salama kabisa. Yaani huwezi amini mambo ambayo Rais wetu mpendwa amefanya ndani ya miaka 4 ni sawa na ya miaka 10.

Huyu ndie Rais tulikuwa tukimsubiria kwa muda mrefu sanaaa.

Mimi 2020 kura yangu ni kwako tu Rais Magufuli, Mimi na familia yangu kura zao zote kwako 2020.

Suala la umeme kutokatika katika pamoja na kiangazi kukumba sehemu kubwa ya nchi. Hili magufuli kalimudu.

Food security imekuwa stable pamoja na ukame.

Kule reli ya umeme inajengwa.

Na mengine mengi sanaa.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga

============
emie emie posted: Kwa kweli Rais wetu kafanya makubwa sanaa..
Kila upitapo sasa hivi ni ujenzi unaendelea...Dar es Salaam kila kona Barabara ya Tandale-Sinza- Mawasiliano inajengwa
Madaraja yanajengwa

Upanuzi wa barabara kuu ya Ubungo hadi chalinze unafanywa

Daraja Kilombero miaka yote wapigaji walikuwa wanakula hela za wananchi kuwavusha ila sasa limejengwa

Flyovers zinajengwa

Miradi ya umeme inajengwa na miradi mingi ni kwa hela za watanzania wenyewe

Miaka yote maeneo ya Mbezi na kimara walikuwa hawapati maji japo yanapita njia hiyo hiyo lakini sasa maji yamefika mbezi, na bado wanaendelea kutandaza mabomba ili kupeleka maji. Awali waliokuwa wanakula hela za wananchi ni wenye miradi ya kuuza maji kwa magari. Ila sasa wananchi wamekombolewa.

Utendaji kazi umeimarika, sasa hivi kila mmoja anaona cheo akipewa ni kama kakalia kaa la moto..Yale mambo ya kupiga hela na kukaa ofisini kupiga usingizi yameisha watu ni kazi la sivyo unawajibishwa.

Madawa sasa yanapatikana hospitali, ile hali ya madawa ya hospitali yanapelekwa katika Pharmas binafsi imeisha.

Hospitali sasa za serikali ukienda mgonjwa anajaliwa sio kama ilivyokuwa awali.

Taasisi za serikali wafanyakazi wamekuwa wanawajibika ....hakika nidhamu imeimarika.
Kwa sasa taasisi za serikali zinajiendesha kibiasara bali si kihasara kama ilivyokuwa awali, ilikuwa ni ulaji tuu wa hela, upigaji dili, taasisi zinakufa, hakuna gawio kwa serikali, ila sasa zinatoa gawio...Hakika kila kitu ni usimamizi imara, ukicheka na kima utavuna mabua.

Awali watu walikuwa wanaulilia uongozi, hata wasio kuwa na elimu walikuwa wanagombea kupata uongozi, sasa uongozi umekuwa mgumu sababu kama wewe si muwajibikaji una ndoto za kupiga tuu, hupati nafasi, Uongozi umekuwa una hadhi kwa sasa.

Hakika Namsifu Rais wetu...
 
Umeshiba maharage,kama una ndugu mtumishi muulize kwa mara ya mwisho alipanda daraja lini?
Muulize kama amewahi kupata nyongeza ya mshahara.

Kama una jirani aliestaafu tangu mwaka jana au juzi muulizevkama ameshalipwa kiinua mgongo chake.

Kama unakijana kamaliza Chuo kikuu au Diploma muulize kwanini haajiriwi?

Ukimaliza hapo urudi hapa jamvini tujadiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuwaza mtanzania aliekwenda shule na ana subiri ajira za serekali. Yani kama vile serekali imemsomesha ili imuajiri.
Wabongo tumezoa kutafuniwa sana.
Umeshiba maharage,kama una ndugu mtumishi muulize kwa mara ya mwisho alipanda daraja lini?
Muulize kama amewahi kupata nyongeza ya mshahara.

Kama una jirani aliestaafu tangu mwaka jana au juzi muulizevkama ameshalipwa kiinua mgongo chake.

Kama unakijana kamaliza Chuo kikuu au Diploma muulize kwanini haajiriwi?

Ukimaliza hapo urudi hapa jamvini tujadiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kura yangu ilienda sehemu salama kabisa. Yaani huwezi amini mambo ambayo Rais wetu mpendwa amefanya ndani ya miaka 4 ni sawa na ya miaka 10.

Huyu ndie Rais tulikuwa tukimsubiria kwa muda mrefu sanaaa.

Mimi 2020 kura yangu ni kwako tu Rais magufuli, Mimi na familia yangu kura zao zote kwako 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
BRING BACK 2:4 TRION
 
Kwa kweli humu jamii forum ndimo unaweza pata perceptions za watu kuhusiana na Serikali.

Wanafunzi vyuo vikuu kulalamikia Serikali,

Watumishi wa umma kulalamikia Serikali.

Nimegundua kuna kitu kama taifa tunapaswa kufanya ili kupunguza kasoro.

Muendelee kufunguka zaidi ili tuone perceptions zenu juu ya Serikali yetu .

Alafu humu inaonekana wana chadema ni wengi sanaaa.

Chadema chama kikuu cha kupinga serikali iliyo madarakani.

Wanapinga hata elimu bure,

Wanapinga hata suala la watumishi hewa.

Wanapinga hata kujengwa kwa reli ya umeme

Watapinga hata umeme kutokatika katika hovyo.

Basi mtuambie mlichofanya tangu muwe chama kikuu cha kupinga pinga.

Ni sawa maana 1/3 ya deni la taifa ni lakwake.
 
Watu watajua kwamba magufuli alikuwa ni Rais baada ya kustaafu
Hii nchi ilishaoza

Nakuombea maisha marefu rais wangu uendelee kututumikia

God first
 
Kwa kweli humu jamii forum ndimo unaweza pata perceptions za watu kuhusiana na Serikali.

Wanafunzi vyuo vikuu kulalamikia Serikali,

Watumishi wa umma kulalamikia Serikali.

Nimegundua kuna kitu kama taifa tunapaswa kufanya ili kupunguza kasoro.

Muendelee kufunguka zaidi ili tuone perceptions zenu juu ya Serikali yetu .

Alafu humu inaonekana wana chadema ni wengi sanaaa.

Chadema chama kikuu cha kupinga serikali iliyo madarakani.

Wanapinga hata elimu bure,

Wanapinga hata suala la watumishi hewa.

Wanapinga hata kujengwa kwa reli ya umeme

Watapinga hata umeme kutokatika katika hovyo.

Basi mtuambie mlichofanya tangu muwe chama kikuu cha kupinga pinga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa taarifa yako huku jf kumejaa watanzania wa itikadi tofauti na huku ndiko salama wangalau unaweza kufunguka. Nje ya huku unapigwa risasi na watu wasiojulikana japo wanajulikana.
 
Kura yangu ilienda sehemu salama kabisa. Yaani huwezi amini mambo ambayo Rais wetu mpendwa amefanya ndani ya miaka 4 ni sawa na ya miaka 10.

Huyu ndie Rais tulikuwa tukimsubiria kwa muda mrefu sanaaa.

Mimi 2020 kura yangu ni kwako tu Rais Magufuli, Mimi na familia yangu kura zao zote kwako 2020.
Ili kuthibitisha hilo ni vizuri kujua kama amekusnya hiyo hela ya miaka kumi au alikuja na hela ya miaka kumi wakati akiingia madarakani. Kama fedha ni zile zile au zimeongezeka kidogo hiyo kazi ya miaka kumi imefanyikaje. Tuseme amekopa zaidi. mambo mengine tuyatolee ufafanuzi. Bajeti ya miaka mitatu mfululizo inazidi ile ya mtangulizi wake kwa kiasi hicho cha miaka kumi? ni kweli? Au unazungumzia REALOCATION YA FUNDS?
 
Kwa kweli humu jamii forum ndimo unaweza pata perceptions za watu kuhusiana na Serikali.
Wanafunzi vyuo vikuu kulalamikia Serikali,
Watumishi wa umma kulalamikia Serikali.
Nimegundua kuna kitu kama taifa tunapaswa kufanya ili kupunguza kasoro.
Muendelee kufunguka zaidi ili tuone perceptions zenu juu ya Serikali yetu .
Alafu humu inaonekana wana chadema ni wengi sanaaa.
Chadema chama kikuu cha kupinga serikali iliyo madarakani.
Wanapinga hata elimu bure,
Wanapinga hata suala la watumishi hewa.
Wanapinga hata kujengwa kwa reli ya umeme
Watapinga hata umeme kutokatika katika hovyo.
Basi mtuambie mlichofanya tangu muwe chama kikuu cha kupinga pinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulianza kujitetea vizuri lakini ulivyofika katikati ukajionesha ulivyo mkavu kuliko mkutira.Kila mwenye kupenda demokrasia,haki,amani na kupinga uonevu na uovu ni CHADEMA?Hizo kadi za chama uliwalipia au unaenda kwa kuhisi tu.Weye mwenyewe hatujui kama ni mwana-CCM au unaongozwa na mapenzi yako tu.Waliopigia UKAWA kura za urais walifika milioni sita.Je, ndiyo idadi ya wanachama wao?Tafakari bila kukimbilia u-CCM na ukinzani muraa!
 
Kwa kweli humu jamii forum ndimo unaweza pata perceptions za watu kuhusiana na Serikali.

Wanafunzi vyuo vikuu kulalamikia Serikali,

Watumishi wa umma kulalamikia Serikali.

Nimegundua kuna kitu kama taifa tunapaswa kufanya ili kupunguza kasoro.

Muendelee kufunguka zaidi ili tuone perceptions zenu juu ya Serikali yetu .

Alafu humu inaonekana wana chadema ni wengi sanaaa.

Chadema chama kikuu cha kupinga serikali iliyo madarakani.

Wanapinga hata elimu bure,

Wanapinga hata suala la watumishi hewa.

Wanapinga hata kujengwa kwa reli ya umeme

Watapinga hata umeme kutokatika katika hovyo.

Basi mtuambie mlichofanya tangu muwe chama kikuu cha kupinga pinga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyinyi watu wa ccm kuna wakati mnastahili kabisa kutukanwa na wale wasiokuwa na uvumilivu! Awamu hii wengi wenu mnajifanya kama vile hamna akili! Mmejitoa kabisa ufahamu ili tu mtetee matumbo yenu!

Sasa wewe huyo mtu wenu ameingia madarakani akafuta stahiki za wafanyakazi zikiwemo za kupandishwa madaraja, kuongezewa mishahara, kulipwa pesa zao za likizo, nk. kwa utashi wake uliogubikwa na chuki, dharau, ubinafsi, kisasi, nk. kwa kisingizio cha hovyo cha kujenga miundombinu (wakati hata kipindi cha JK, hiyo miundombinu ilijengwa ya kutosha tu! lakini haki za wafanyakazi ziliheshimiwa) halafu wafanyakazi wanapoamua kutetea na kupigania haki zao; wewe unasema ni wafuasi wa chadema? Hovyo kabisa!!
 
baadhi yetu thinking ni ndogo sana tunaridhishwa au kusononeka haraka kwa maneno matamu au machungu ya kwenye kanga
 
Umeshiba maharage,kama una ndugu mtumishi muulize kwa mara ya mwisho alipanda daraja lini?
Muulize kama amewahi kupata nyongeza ya mshahara.

Kama una jirani aliestaafu tangu mwaka jana au juzi muulizevkama ameshalipwa kiinua mgongo chake.

Kama unakijana kamaliza Chuo kikuu au Diploma muulize kwanini haajiriwi?

Ukimaliza hapo urudi hapa jamvini tujadiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app

pia tumuulize kuwa nyongeza za mishahra zilizoko kwa mujibu wa sheria atazilipa lini?
 
Nchi nyingi ziliendelea haraka baada ya kupambania mambo makubwa hasa kumi hapa jipime uwezo wako kutizama mambo bila ushabiki mandaz;
1. Nishati kiujumla yaani umeme,mafuta,gesi,makaa ya mawe nk.
*Katika hili anajaribu kwenye 'iyo steglers' tuu na hatujajua itafanikiwa kwa kiasi gani lakini gas haieleweki,mafuta hatuna uhakika,makaa ya mawe hali ni dhaifu. Hakuna jambo la 'miaka kumi hapi'
2. Elimu kiujumla yaani tafiti,ufundi technolojia,walimu bora nk.
*Katika hili amejaribu tuu kuondoa ada lakini wanafunzi bado wanalipia vitu kadhaa,hakuna tafiti zamaana,hakuna Elimu kabambe ya ufundi,walimu ni masikini na wamejawa msongo wa mawazo kwakuwa hawajaliwi. Hayo ya miaka kumi ni yepi?
3. Kilimo kiujumla yaani umwagiliaji,mifugo yakisasa,uvuvi na kilimo biashara.
* Kwahili hakuna cha kumsifu,amezorotesha mazao ya biashara,maafisa kilimo wlhawaeleweki wanafanya mini,umwagiliaji mdogo uliopo upon mashakani na watu wengi wamekata tamaa na kilimo. Nionavyo hajafanya hata ya mwaka mmoja.
4. Uchukuzi na makaazi kiujumla yaani usafiri wa treni,anga,barabara,nyumba za kisasa nk.
*hapa amejaribu barabara japo zinaharibika hovyo,reli na ndege anavivamia bila tafiti za kutosha. Tunaweza tusipate faida kwenye ndege mpaka zitapokufa zote na treni lazima I we kimkakati kama wenzetu Kenya,Ethiopia,Angola nk.
Makaazi ni eneo ambalo bado tumerudi nyuma national housing haieleweki tena wakati eneo hili limefaidisha serikali nyingi kimapato,kupunguza maradhi,kupangilia makazi na kupendezesha miji.
5. Utalii/madini kiujumla.
* tumejaaliwa madini tele na maeneo bora ya utalii hapa hajafanya chochote cha miaka kumi zaidi ya kuzuia wizi kwa kiwango flani tuu kwenye madini. Utalii hatujitangazi hatujulikani duniani na sekta hii haijafanikiwa hata kama enzi ya kikwete.
6. Uwekezaji/viwanda na biashara kiujumla
*Sioni hicho cha miaka kumi hapa biashara zinafungwa,wafanyabiashara wanakimbilia nje yeye mwenyewe amekiri kuyaona mipakani. Viwanda zilikuwa mbwembwe za yule waziri maneno mingi mwenye kiki kama msanii ukweli hatuna mazingira mazuri ya viwanda maana hata nguvu ya kununua watu hawana
Uwekezaji hasa toka nje umepotea,hakuna wanaotamani kuja kuwekeza sehemu watu matajiri wanaburuzwa na kutabiriwa kuishi kama mashetani...
Niendelee nisiendelee...?? Sema suu!!
 
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom