Elimu elimu elimu lowasa's speech hii kauli ina Maana kubwa sana,hii nchi wajinga mko wengi sanaWatanzania hatuhitaji Demokrasia. Hata hivyo Demokrasia ipo kwa nani nchi hii? Viongozi woooote wa upinzania ni wachumia tumbo tu. Muone Mbowe, Zitto wotewezi tu. Maalim ndio kabisaaa na profesor wake wote majambazi wanatakiwa kuwa segerea.
Wewe Mkenya?Kazidisha deni la taifa,kafukuza wawekezaji na biashara nyingi zimefungwa
Sina hakika sana kama watumishi wana uoga au la maana yanayofanywa daah ni shughulirushwa hajakomesha na hatoweza!kuhusu nidhamu makazini ni kweli tuna nidhamu ya UOGA!
Siku zote madikiteta hu-deal na watu wanaowakosoa na hufikiri mawazo yao ni sahihi. Uchumi wa nchi hujengwa kuanzia mifukoni mwa wananchi mpaka ikulu. Mtu anapita kwenye fly over huku ana njaa ya tangu jana (jana hajala). Utakuta mtu mwingine anaenda kupokea ndege wakati hana hata ndoto za kupanda ndege. Tatizo la wananchi wengi wa watanzania hawana elimu na hawajitambui na wanawaza kupitia watu.Yule mwehu Musiba asie na haya wala akili anasema watu wanamtukana Rais kwenye Jamii forum ati wakamatwe sijui wafanyweje ooh Jamii forum ifungiwe! pumbafu sana wewe Mjaluo,huyo Rais wako atakamata wangapi?huyo Rais nchi imemshinda kuendesha halafu atafute muda wa kukamata watu wanao mkosoa kwani yeye Mungu?anakosolewa Trump n Queen Elizabeth sembuse huyo Rais uchwara asiejua ustaarabu!
Kuongoza nchi inabidi uwe na akili ya ziada. Ukipita mitaani maduka mengi yamefungwa, na watu wanalia hali ngumu lkn CCM inasema hao wanalia ni wapiga dili. Wao wanakula na kunya kwa kodi za wananchi. Timua timua makazini imekuwa km desturi, ukichelewa kazini unafukuzwa kazi. Viongozi wamekuwa wababe sana na wanajiona wajanja kumbe ni wajinga tu. CCM imeanzishwa 1977 lkn mpaka sasa hakuna maendeleo na kwa hali ya sasa tunaishi km kipindi cha Nyerere.Nchi ya misifa kwa Rais baaasi hakuna kingine,serekali inasema uongo mwanzo mwisho!pesa zinatumika hovyo viongozi wanafunika funika,nyoo funikeni tu ipo siku moto utawaumbua,namuonea huruma Rais anaefuata baada ya Magufuli,ataikuta nchi imebaki maganda yaliokauka.
Punguza hasira ndugu yanguKuongoza nchi inabidi uwe na akili ya ziada. Ukipita mitaani maduka mengi yamefungwa, na watu wanalia hali ngumu lkn CCM inasema hao wanalia ni wapiga dili. Wao wanakula na kunya kwa kodi za wananchi. Timua timua makazini imekuwa km desturi, ukichelewa kazini unafukuzwa kazi. Viongozi wamekuwa wababe sana na wanajiona wajanja kumbe ni wajinga tu. CCM imeanzishwa 1977 lkn mpaka sasa hakuna maendeleo na kwa hali ya sasa tunaishi km kipindi cha Nyerere.
Na CHADEMA imeanzishwa mwaka 1995 mpaka sasa haina ofisi hata moja na haijabadilisha mwenyekiti wake hata mara moja na sikumbuki lini walipiga kura ya kumchagua kiongozi wao mwingine. Kazi kumlaumu Rais wakati wao wenyewe hawana hata Vision ya na mchango wa mawazo ya kuleta maendeleo.Kuongoza nchi inabidi uwe na akili ya ziada. Ukipita mitaani maduka mengi yamefungwa, na watu wanalia hali ngumu lkn CCM inasema hao wanalia ni wapiga dili. Wao wanakula na kunya kwa kodi za wananchi. Timua timua makazini imekuwa km desturi, ukichelewa kazini unafukuzwa kazi. Viongozi wamekuwa wababe sana na wanajiona wajanja kumbe ni wajinga tu. CCM imeanzishwa 1977 lkn mpaka sasa hakuna maendeleo na kwa hali ya sasa tunaishi km kipindi cha Nyerere.
Kuongoza nchi inabidi uwe na akili ya ziada. Ukipita mitaani maduka mengi yamefungwa, na watu wanalia hali ngumu lkn CCM inasema hao wanalia ni wapiga dili. Wao wanakula na kunya kwa kodi za wananchi. Timua timua makazini imekuwa km desturi, ukichelewa kazini unafukuzwa kazi. Viongozi wamekuwa wababe sana na wanajiona wajanja kumbe ni wajinga tu. CCM imeanzishwa 1977 lkn mpaka sasa hakuna maendeleo na kwa hali ya sasa tunaishi km kipindi cha Nyerere.
Siku zote madikiteta hu-deal na watu wanaowakosoa na hufikiri mawazo yao ni sahihi. Uchumi wa nchi hujengwa kuanzia mifukoni mwa wananchi mpaka ikulu. Mtu anapita kwenye fly over huku ana njaa ya tangu jana (jana hajala). Utakuta mtu mwingine anaenda kupokea ndege wakati hana hata ndoto za kupanda ndege. Tatizo la wananchi wengi wa watanzania hawana elimu na hawajitambui na wanawaza kupitia watu.
Nilishangaa sana yule waziri wa nishati anampongeza bibi mwenye nyumba ya nyasi kuvuta umeme (Kumbe viongozi wanafurahia sana umasikini wa wananchi wao?). Hongera sana. Ww na mm tunahitajika sana kuikomboa Tanzania kutoka kwenye giza nene.
Kagame, Gadhafi, Mugabe, Nyerere, Mseveni na wengine wamefanya hii nchi kuwa kama zao sbb tu vyama vyao vilipigana kuwaondoa wakoloni lkn cha kushangaza wao ndiyo wamekuwa wakoloni. Ukiongea ukajulikana unatekwa na kuuwawa.
AFRIKA BILA KUPATIKANA WATU WENYE KUJITAMBUA NA UTHUBUTU ITAGEUZwA KUWA JALALA.