Watanzania hatuhitaji Demokrasia. Hata hivyo Demokrasia ipo kwa nani nchi hii? Viongozi woooote wa upinzania ni wachumia tumbo tu. Muone Mbowe, Zitto wotewezi tu. Maalim ndio kabisaaa na profesor wake wote majambazi wanatakiwa kuwa segerea.
Elimu elimu elimu lowasa's speech hii kauli ina Maana kubwa sana,hii nchi wajinga mko wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assalaam alaykum
Bwana Yesu Asifiwe
Tumsifu Yesu Kristo
Shalom

Moja kwa moja kwenye mada. Huu ni uzi maalum wa kusifia na kupongeza ikiwezekana kushangilia kabisa juhudi za Mtukufu Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwa mpambanaji namba 1 wa kutuletea maendeleo hapa nchini.

Ukweli, nimekuwa mkimya sana kwenye ulingo wa siasa, lakini juhudi zake zinamkuna kila mwananchi mwenye uono wa mbali.

Mimi nimeguswa zaidi namna alivyowaokoa wakulima wa korosho dhidi ya mabepari wa Kihindi waliotaka kununua korosho kwa bei ya mtumba. Hapa mheshimiwa alicheza kama Pele. Serikali tunayo.

Na wewe elezea ulipoguswa huku tukitafakari miaka hii iliyobaki kuelekea uchaguzi mkuu tumchague tena na chama chake cha CCM. Hata kama wabunge wetu wa CCM hatuwaelewi maadam namba 1 wa serikali (Rais) tunamuelewa, atawashughulikia chamani huko.

Tunajua wenye visokorokwinyo wapo, wenye chuki, husda na upinzani usio na mantiki watapinga hili kama yule jamaa yao mwenye kiduku anaulizwa na mtangazaji, kuwa Rais Magufuli amefanya jema gani tangu aingie mdarakani yeye anasema ametufundisha utawala wa sheria. Wale waliompima mkojo hawakufanya makosa. Kuna shida mule. Lakini niwaambie huu sio uzi wenu. Ikiwezekana kaeni mbali. Na wala tusikatishwe tamaa na watu hao wana CCM wenzangu.

Karibuni.

Sent using my Nokia Torch
 
1.5trl hadi kufikia 2.4trl ambazo ni zaidi ya EPA,Richmond na wivi wote enzi za Mkwere hakika haya ni maendeleo makubwa sana!!!

Hongera awamu ya V-WONDERS!!
 
Deni la Taifa limekubuhu awamu ya tano

Mnadanganywa maendeleo jamaa yenu miaka-4 tu keshakopa zaidi ya miaka 10 ya mkwere marakani
 
Hapa hakuna lolote zaidi ya kusifia ujinga tu. Na wote wanaomkubali jiwe ni lowest class, wajinga na masikini maana hao kuwaongoza ni rahisi sana kama ng'ombe. Huyu jamaa mpaka sasa kaongeza watu wasiokuwa na kazi mtaani wengi (Yy furaha yake ni kumuona mtanzania anauza karanga, maji, anabeba zege n,k), na deni la taifa limekuwa kubwa huku hali imekuwa ngumu mtaani. Utakuta masikini mmoja anaishi kwenye nyumba ya nyasi anafurahia ujio wa ndege wakati hana ndoto za kupanda ndege. Nchi za kiafrika ni za ovyo sana haijawahi kutokea. Kwa akili yako unafuta ajira halafu unasema hapa kazi tu aisee. Watanzia wengi wameshazoea kuishi maisha ya shida na ya kimasikini sana.
 
Yule mwehu Musiba asie na haya wala akili anasema watu wanamtukana Rais kwenye Jamii forum ati wakamatwe sijui wafanyweje ooh Jamii forum ifungiwe! pumbafu sana wewe Mjaluo,huyo Rais wako atakamata wangapi?huyo Rais nchi imemshinda kuendesha halafu atafute muda wa kukamata watu wanao mkosoa kwani yeye Mungu?anakosolewa Trump n Queen Elizabeth sembuse huyo Rais uchwara asiejua ustaarabu!
Siku zote madikiteta hu-deal na watu wanaowakosoa na hufikiri mawazo yao ni sahihi. Uchumi wa nchi hujengwa kuanzia mifukoni mwa wananchi mpaka ikulu. Mtu anapita kwenye fly over huku ana njaa ya tangu jana (jana hajala). Utakuta mtu mwingine anaenda kupokea ndege wakati hana hata ndoto za kupanda ndege. Tatizo la wananchi wengi wa watanzania hawana elimu na hawajitambui na wanawaza kupitia watu.
Nilishangaa sana yule waziri wa nishati anampongeza bibi mwenye nyumba ya nyasi kuvuta umeme (Kumbe viongozi wanafurahia sana umasikini wa wananchi wao?). Hongera sana. Ww na mm tunahitajika sana kuikomboa Tanzania kutoka kwenye giza nene.
Kagame, Gadhafi, Mugabe, Nyerere, Mseveni na wengine wamefanya hii nchi kuwa kama zao sbb tu vyama vyao vilipigana kuwaondoa wakoloni lkn cha kushangaza wao ndiyo wamekuwa wakoloni. Ukiongea ukajulikana unatekwa na kuuwawa.
AFRIKA BILA KUPATIKANA WATU WENYE KUJITAMBUA NA UTHUBUTU ITAGEUZwA KUWA JALALA.
 
Nchi ya misifa kwa Rais baaasi hakuna kingine,serekali inasema uongo mwanzo mwisho!pesa zinatumika hovyo viongozi wanafunika funika,nyoo funikeni tu ipo siku moto utawaumbua,namuonea huruma Rais anaefuata baada ya Magufuli,ataikuta nchi imebaki maganda yaliokauka.
Kuongoza nchi inabidi uwe na akili ya ziada. Ukipita mitaani maduka mengi yamefungwa, na watu wanalia hali ngumu lkn CCM inasema hao wanalia ni wapiga dili. Wao wanakula na kunya kwa kodi za wananchi. Timua timua makazini imekuwa km desturi, ukichelewa kazini unafukuzwa kazi. Viongozi wamekuwa wababe sana na wanajiona wajanja kumbe ni wajinga tu. CCM imeanzishwa 1977 lkn mpaka sasa hakuna maendeleo na kwa hali ya sasa tunaishi km kipindi cha Nyerere.
 
Punguza hasira ndugu yangu

Na CHADEMA imeanzishwa mwaka 1995 mpaka sasa haina ofisi hata moja na haijabadilisha mwenyekiti wake hata mara moja na sikumbuki lini walipiga kura ya kumchagua kiongozi wao mwingine. Kazi kumlaumu Rais wakati wao wenyewe hawana hata Vision ya na mchango wa mawazo ya kuleta maendeleo.

CHADEMA ni destructive na sio constructive. Kama una njaa si ukalime au tumia akili ule.

Kama ubongo wako umekufa unategemea nini? Utakufa tu. Jishughulishe ili ule. Kazi yako kuzurura mijini tu si uende hata migodini ukachimbe madini kama huna mtaji wa kununua na kuuza hayo madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuongoza nchi inabidi uwe na akili ya ziada. Ukipita mitaani maduka mengi yamefungwa, na watu wanalia hali ngumu lkn CCM inasema hao wanalia ni wapiga dili. Wao wanakula na kunya kwa kodi za wananchi. Timua timua makazini imekuwa km desturi, ukichelewa kazini unafukuzwa kazi. Viongozi wamekuwa wababe sana na wanajiona wajanja kumbe ni wajinga tu. CCM imeanzishwa 1977 lkn mpaka sasa hakuna maendeleo na kwa hali ya sasa tunaishi km kipindi cha Nyerere.

Wewe masikini wa roho na sio wa fedha. Nani alikuambia kuwa wingi sa madika ndiyo maendeleo. Hao wanunuzi unafikiri hizo hela walikuwa wanapata wapi. Kuwatesa wakulima wetu na kuona hela za miradi ya maendeleo ndiyo unafikiri kuleta maendeleo?

Ndiyo, watu walikuwa na hela mfukoni sasa serikali ilikuwa na uwezo gani wa kutekeleza miradi ya maendeleo? Itatekelezaje miradi hiyo wakati hela haina?

Nchi ilikuwa haina ndege, barabara, ulinzi, wizi na utapeli kila sehemu. Wewe unategemea serikali ambayo jaina hela itadumisha ulinzi wako na watoto wako kweli? Nani ataealipa polisi, kesho na magereza? Fikiria bidam kabla hujatoa hoja za umasikini. Usiwe na mawazo ya kinyama kinyama hutatoka mbali. Usiufutahie uvivu na ujinga ukadhani ndiyo maendeleo. Maendeleo hayaji yenyewe yanakuja na Vision na ujasiri wa kufanya kazi. Kazi ni kazi haijalishi.

Waulize wasomi wetu huko Ulaya na Amerika wanafanya kazi gani? Wanabeba maboxi ili wajipatie ridhiki zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote madikiteta hu-deal na watu wanaowakosoa na hufikiri mawazo yao ni sahihi. Uchumi wa nchi hujengwa kuanzia mifukoni mwa wananchi mpaka ikulu. Mtu anapita kwenye fly over huku ana njaa ya tangu jana (jana hajala). Utakuta mtu mwingine anaenda kupokea ndege wakati hana hata ndoto za kupanda ndege. Tatizo la wananchi wengi wa watanzania hawana elimu na hawajitambui na wanawaza kupitia watu.
Nilishangaa sana yule waziri wa nishati anampongeza bibi mwenye nyumba ya nyasi kuvuta umeme (Kumbe viongozi wanafurahia sana umasikini wa wananchi wao?). Hongera sana. Ww na mm tunahitajika sana kuikomboa Tanzania kutoka kwenye giza nene.
Kagame, Gadhafi, Mugabe, Nyerere, Mseveni na wengine wamefanya hii nchi kuwa kama zao sbb tu vyama vyao vilipigana kuwaondoa wakoloni lkn cha kushangaza wao ndiyo wamekuwa wakoloni. Ukiongea ukajulikana unatekwa na kuuwawa.
AFRIKA BILA KUPATIKANA WATU WENYE KUJITAMBUA NA UTHUBUTU ITAGEUZwA KUWA JALALA.

Angalia wenzako wanavyo tumia akili ili wawezi kupata chakula. Wewe shule hutaki kwenda, kulima hutaki, kwenda migodini kuhenyeka hutaki unataka kuishi mjini na kupiga madili tu alafu mnataka uwe na hela mfukoni za kwenda kucheza na wanawake kwenya madangulo na kuzaa watoto ambao huna mpango nao.

Ondokeni hapa. Tafuteni Taifa kingine la wazembe na sio Tanzania.

Umasikini wa akili huo. Mtu kama wewe unabaki kuishi kwa madhumuni gani? Huna faida kwa mtu yeyote hata kwa maisha yako yenyewe hunafaida unategemea nini?

Hakuna mtu ambaye atakuwa na hasara na wewe kama utatoweka kwani umekuwa mzigo wa taifa. Watu kama nyie ni watu wa kubebwa tu mpaka lini? Wakati viungo vyote viko intact? Afadhali hata kama ungekuwa mlemavu kwa upande mmoja nimekuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom