MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,207
- 2,387
Rushwa gani unayoongelea?Maendeleo ya vitu hata jakaya ameyafanya Magufuli cha maana alichofanya ni kukomesha Rushwa na kuleta nidhamu

hahaahahHizo milioni 50 kila kijijini wala siwezi kumkumbusha maana najua hawezi kutoa.
Maendeleo hayaletwi kwa kutumia ubabe,dharau, kiburi, jeuri, nguvu , kwani kazi anafanya peke yake?
safi sana raif wangu
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.
Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.
Mpaka sasa kafanya haya;
Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------
Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba
Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
Miradi Mikubwa ya Maji :
Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Hii thread ifutwe Hakuna mafanikio yoyote ya maana zaidi ya udikteta

1. Watoto wake wamepata elimu bila malipoYote hayo yamemsaidia vipi mwananchi alieko Tandahimba?
Watanzania hatuhitaji Demokrasia. Hata hivyo Demokrasia ipo kwa nani nchi hii? Viongozi woooote wa upinzania ni wachumia tumbo tu. Muone Mbowe, Zitto wotewezi tu. Maalim ndio kabisaaa na profesor wake wote majambazi wanatakiwa kuwa segerea.Katika mambo yamekwama kabisa ni;-
1. Elimu kwa kweli ni jipu kwa watoto wa maskini.
2. Rushwa ndio imekuwa kubwa kubwa
3. Demokrasia haipo tena
Sent using Jamii Forums mobile app
kurejesha nidhamu makazini au ni kuleta HOFU na WOGA kwa watumishi?
Kila mmoja popote alipo, naomba atupie kitu ambacho ameona kimefanywa na serikali ya tano kwa manufaa ya taifa hili.
Mimi naanza
1. MAKINIKIA
2.....
Endeleeni na mbili na kuendelea
Naona umeamua kujitekenya ili ucheke mwenyewe!
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.
Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.
Mpaka sasa kafanya haya;
Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------
Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba
Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
Miradi Mikubwa ya Maji :
Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga[
hayo yoote hayana msaada na watu,maendeleo ya vitu hayo.

Upuuzi kabisa

Kama hujaolewa hutapata Mme .Hayo yote ni ndani ya Mwaka mmoja!!
Magufuli ni chaguo la Mungu
Tanzania tumempata Rais waukweli