10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
safi sana raif wangu
 
Hii

Hii thread ifutwe Hakuna mafanikio yoyote ya maana zaidi ya udikteta
 
Katika mambo yamekwama kabisa ni;-

1. Elimu kwa kweli ni jipu kwa watoto wa maskini.

2. Rushwa ndio imekuwa kubwa kubwa

3. Demokrasia haipo tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania hatuhitaji Demokrasia. Hata hivyo Demokrasia ipo kwa nani nchi hii? Viongozi woooote wa upinzania ni wachumia tumbo tu. Muone Mbowe, Zitto wotewezi tu. Maalim ndio kabisaaa na profesor wake wote majambazi wanatakiwa kuwa segerea.
 
Kila mmoja popote alipo, naomba atupie kitu ambacho ameona kimefanywa na serikali ya tano kwa manufaa ya taifa hili.
Mimi naanza
1. MAKINIKIA
2.....
Endeleeni na mbili na kuendelea
 
Naona umeamua kujitekenya ili ucheke mwenyewe!
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga[

hayo yoote hayana msaada na watu,maendeleo ya vitu hayo.
 
Mafanikio hupimwa kwa katiba/ constitution na sera/policies sio activities kama ambavyo umeorodhesha hapo chini.

Anapaswa afanye kuhusu katiba, sera na mifumo ya uendeshaji nchi: utaona kila kitu kinapaa kama rocket

10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
 
Kwa ujumla kuna mafanikio hasi mengi tu!
Amepora uhuru wetu wa kupata habari, amepiga vita vyombo vyote vinavyoikosoa Serikali yake, sasa tunalishwa habari za kihayawani na Uhuru, Tanzanite na takataka nyingine, haki ya kikatiba ya faragha imeporwa, sasa Serikali inadukua mawasiliano na kuyatumia kuwashtaki wakosoaji! Anatumia kodi zetu atakavyo, hategemei Bunge kwa maamuzi, ametufanya Watanzania waishi kwa hofu ya kukamatwa, kubambikiwa kesi, kutekwa, kuteswa, kushambuliwa na kuuwawa. Sasa rushwa inaratibiwa na Serikali! Wabunge, madiwani, na wanachama maarufu wa upinzani wananunuliwa, wengine wanahongwa vyeo, wanaokataa wanatishwa, kufanyiwa mizengwe na hata kutishiwa maisha, Chaguzi hazina maana kabisa baada ya kuagiza waziwazi wasimamizi wasiwatangaze wagombea wa wapinzani hata wakiwa wameshinda, kawatia hofu wasimamizi kiasi cha kujificha wasipokee fomu za kugombea uongozi za wapinzani, Polisi wanatumika waziwazi, kutisha, kushambulia wapinzani na kuiba kura kwa kuwakamata, kuwatoa nje kwa nguvu wasimamizi wa upinzani toka kwenye vyumba vya kupigia kura ili CCM wachomeke kura feki!
Hata Spika hajui fedha inayojenga reli au kununua ndege inakotoka maana hakuna bajeti iliyopelekwa Bungeni kujadiliwa! Yeyote anayekosoa sera mbovu za awamu hii si mzalendo, raia na anastahili 'kuondolewa' ikiwa ni pamoja na kushambuliwa na ikibidi kuuwawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Upuuzi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom