Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020 | Page 9 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Mar 26, 2017.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2017
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,412
  Likes Received: 1,481
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

  Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

  Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
  Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

  Mpaka sasa kafanya haya;

  Hostel za Chuo cha UDSM.
  Hostel za Askari Magereza.
  Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
  Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
  Upanuzi wa Airport Mwanza
  Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
  Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
  Kukomesha Rushwa
  Kurejesha nidhamu Makazini.
  ------------

  Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

  Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
  Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

  Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

  Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

  Miradi Mikubwa ya Maji :

  Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
   
 2. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #161
  Apr 23, 2017
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,459
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 280
  Na wewe umezaliwa kama mtoto au uchafu
   
 3. simpasa 202

  simpasa 202 JF-Expert Member

  #162
  Apr 23, 2017
  Joined: Mar 3, 2017
  Messages: 302
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 60
  Kushindwa kutoa mikopo kwa wanachuo, mwisho watoto wawalalahoi kuairisha mwaka
   
 4. D

  Daisam JF-Expert Member

  #163
  Apr 23, 2017
  Joined: May 23, 2016
  Messages: 1,306
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Amefanya vizuri. Nampongeza. Naomba akaze uzi zaidi. Siku zote maendeleo hayaji bila kutoa jasho.
  Mimi nasema "MAENDELEO KWANZA " Bunge live baadaye "
  Naamini hatuwezi kula, kunywa au kusafiri kwa kutumia Bunge live.
   
 5. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #164
  Apr 24, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,866
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtoto wa mlalahoi aliyekosa mkopo. MTU anayesomesha watoto Private hawezi kuwa mlalahoi!!!
   
 6. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #165
  May 7, 2017
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,412
  Likes Received: 1,481
  Trophy Points: 280
  Zitakuja usihofu
   
 7. c

  chikundi JF-Expert Member

  #166
  May 7, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Barabara ya kutoka tandahimba mpk Mtwara kwa kiwango cha lami itasaidia kusafirisha kwa wakati bidhaa zao za shambani hasa korosho mpk sokoni
   
 8. c

  chikundi JF-Expert Member

  #167
  May 7, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Nidhamu gani unayoitaka?
   
 9. c

  chikundi JF-Expert Member

  #168
  May 7, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Bora kuliko kabla
   
 10. c

  chikundi JF-Expert Member

  #169
  May 7, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Nae anayendeleza kwa kasi kubwa zaidi
   
 11. Engineer Hassan

  Engineer Hassan JF-Expert Member

  #170
  May 7, 2017
  Joined: Apr 28, 2017
  Messages: 472
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 80
  HAKUNA LA MAANA ALILOLIFANYA MPAKA SASA
   
 12. c

  chikundi JF-Expert Member

  #171
  May 7, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Kumalizia miradi ya aliyetangulia ni sawa tu kwani kama uongozi mbovu huwezi kumalizia na sifa kwa kawaida inakwenda kwa aliyemalizia kwa mfano daraja la kigamboni aliyeliengineer ni nyerere lkn aliyetekeleza ni kikwete sifa iende kwa nani kikwete au nyerere? Daraja la mkapa la kibiti liliasisiwa na nyerere aliyejenga ni mkapa sifa iende kwa nani?
   
 13. Engineer Hassan

  Engineer Hassan JF-Expert Member

  #172
  May 7, 2017
  Joined: Apr 28, 2017
  Messages: 472
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 80
  Huyu jamaa uwaziri wa ujenzi ndio kitu anachokiweza kiti cha urais amefosi tu lakini hawezi

  Maisha yamezidi kuwa magumu mara 3 kuliko awamu iliyopita
   
 14. c

  chikundi JF-Expert Member

  #173
  May 7, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Sema unavyojua.
   
 15. c

  chikundi JF-Expert Member

  #174
  May 7, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Unajuaje kama hawezi kutoa wakati zimeshatengwa na halmashauri zote na mafunzo ya wajasiriamali yanaendelea acha utabiri hasi
   
 16. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #175
  May 7, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 9,229
  Likes Received: 5,992
  Trophy Points: 280
  Kupandisha bei ya zao la korosho mangi
   
 17. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #176
  May 8, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,866
  Likes Received: 1,756
  Trophy Points: 280
  B
  Baba yako kafanya nini la maana mpaka sasa?
   
 18. msold msward

  msold msward JF-Expert Member

  #177
  May 8, 2017
  Joined: Oct 10, 2016
  Messages: 613
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Ni ngum kwa macho kutazama
   
 19. mwisho2016

  mwisho2016 Senior Member

  #178
  May 8, 2017
  Joined: Jun 27, 2016
  Messages: 105
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Morocco -bagamoyo road NO WAY naona kesro tu ile barabara. Sijui labda mimi ninamatatizo wenzangu wenye upeo kama wangu barabara haziwi kama ile.

  Nampongeza kunyoosha mambo kadhaa hadi hapo ishu ya vyeti ikiacha kusumbua wenye vyeti halali mana naona kero ya maksudi ya DED na HRO wilayani wamefanya unyama sana kukubali kuchonga vyeti na kuajiri watu wasio na sifa tena wakitumia doc ya mtu aliyesomeshwa kwa shida.

  Hii ni hatu KUBWA NA MUHIMU KATIKA MAISHA YANGU. Sijakubwa na kuwa na cheti feki ama chenye utata wala incomplete lakini naona shida inayowakumba waliodokolewa vyeti vyao.

  Miaka michache iliyopita, niliona kitu flani cha kise..n sana watu wanatafutiana vyeti, kumbe ni vya watu waiishio sehm tofaut nchini, na wengine wanavichonga...leo Mh Magufuli anakosea wapi? Tena Angela ahahakikishe tu kivyozi hajinyoi..akague sawasawa...kwa mwendo nimeteseka kusoma na kupata alama zangu leo, nani azitumie kuishi bastard! eti rais mbaya..no way

  Namkubali mkulu ila amnyoe bashite na asipendelee hapo tu. bassi
   
 20. KATUMBACHAKO

  KATUMBACHAKO JF-Expert Member

  #179
  May 10, 2017
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ulitaka awafanyie nn?
   
 21. sister

  sister JF-Expert Member

  #180
  May 11, 2017
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,043
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  naona tu mambo ya ujenzi ndiyo kajitahidi. uko kwingine hakuna kitu.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...