Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020 | Page 8 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Mar 26, 2017.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2017
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,134
  Likes Received: 1,200
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

  Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

  Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
  Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

  Mpaka sasa kafanya haya;

  Hostel za Chuo cha UDSM.
  Hostel za Askari Magereza.
  Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
  Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
  Upanuzi wa Airport Mwanza
  Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
  Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
  Kukomesha Rushwa
  Kurejesha nidhamu Makazini.
  ------------

  Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

  Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
  Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

  Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

  Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

  Miradi Mikubwa ya Maji :

  Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
   
 2. c

  cumins JF-Expert Member

  #141
  Apr 12, 2017
  Joined: Dec 25, 2013
  Messages: 813
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Nchi yake inajengeka
   
 3. sister

  sister JF-Expert Member

  #142
  Apr 12, 2017
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 8,991
  Likes Received: 3,898
  Trophy Points: 280
  Matrafik wamegeuka kuwa wakusanya kodi kushinda hata TRA.
   
 4. M

  Mwananchi JF-Expert Member

  #143
  Apr 12, 2017
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 2,104
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Na TRA
   
 5. WirelessBrain

  WirelessBrain JF-Expert Member

  #144
  Apr 12, 2017
  Joined: Apr 11, 2016
  Messages: 902
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 180
  Dar Dar Dar Mwanza Dar Dar Dar Chato Dar....... kweli sisi watu wa Njombe tulilaaniwa
   
 6. Dan Zwangendaba

  Dan Zwangendaba JF-Expert Member

  #145
  Apr 12, 2017
  Joined: Apr 25, 2014
  Messages: 2,000
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Itakuwa chizi kama unaonyeshwa chassis namba za gari hiyohiyo ikiwa na namba tofauti na kisha kutoamini ni gari moja. Haya endelea kusubiri malaika akuthibitishie ikiwa clouds haikuvamiwa au ilivamiwa. Huu unafiki mlionao pamoja na elimu zenu ndio unaoleta shida nchi.
   
 7. sambeke

  sambeke JF-Expert Member

  #146
  Apr 12, 2017
  Joined: Nov 26, 2014
  Messages: 556
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 80
  Kusafirisha mazao yake kutoka Tandahimba kwa urahisi zaidi kwenda mikoa mingine, hii ni kwa upande wa miundo mbinu mambo mengine jiongeze
   
 8. Itzmusacmb

  Itzmusacmb JF-Expert Member

  #147
  Apr 12, 2017
  Joined: Jun 22, 2016
  Messages: 1,497
  Likes Received: 962
  Trophy Points: 280
  Ujenzi wa barabara ya mtwara tandahimba
   
 9. c

  cadabraa Senior Member

  #148
  Apr 12, 2017
  Joined: Oct 7, 2015
  Messages: 156
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 60
  Utekaji wa raia ni moja ya jambo lililofanikiwa kwa kiwango cha hali ya juu
   
 10. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #149
  Apr 12, 2017
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,850
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Kampelekea umeme hadi kijijini..kazi kwake afungue saluni, aweke mashine ya kusaga..tena nikuambie sasa hivi huku wananchi wamefungua projects za kukodisha miziki kwenye sherehe..yaani Jamaa kaleta Mwanga Mpya katika maisha..
   
 11. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #150
  Apr 12, 2017
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,850
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Bora hiyo nidhamu ya woga kuliko ile ya mwanzo mliyokuwa nayo ya kutubinulia midomo wananchi tukihitaji huduma.
   
 12. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #151
  Apr 12, 2017
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,850
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Hutaelewa hadi utakapotumia akili yako.
   
 13. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #152
  Apr 23, 2017
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,134
  Likes Received: 1,200
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa ni kushindwa kutenganisha siasa na mambo mengine.
  Kiuhalisia Magufuli Anandoto nzuri na anajitahidi kuzifikia.
  Tumpe ushirikiano maana ndiye Rais kwa sasa ili tusipoteze Muda na ieleweke Muda haurudi ukishapita.
   
 14. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #153
  Apr 23, 2017
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,134
  Likes Received: 1,200
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa inaliwaje hyo
   
 15. kson m

  kson m JF-Expert Member

  #154
  Apr 23, 2017
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 5,083
  Likes Received: 1,466
  Trophy Points: 280
  Ukijaribu kufanya mambo mazuri kwa malengo mabaya/mkono wa hila utakutana na upinzani daima...watu sio maboga wana vichwa...!!!
   
 16. jerrytz

  jerrytz JF-Expert Member

  #155
  Apr 23, 2017
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 5,648
  Likes Received: 3,076
  Trophy Points: 280
  1.Mradi wa Airport terminal 3 ni wa siku nyingi mchakato wake ulianza enzi za Mkapa (waulize wakazi wa Kipawa na Mamlaka ya Viwanja.vya ndege) na Ujenzi ulianza wakati wa Kikwete sioni kwa namna gani unautaja kama sehemu ya mafanikio ya Mheshimiwa Magufuli
  2. TAZARA flyover ni msaada wa Mjapani
  3. UBUNGO interchange ni msaada wa World Bank unaingizaje hii kuwa mafanikio.
  4. Dar Metropolitan City mradi wa barabara zote za ndani ni ufadhili wa IDA
  5.Kununua ndege sio mafanikio,mafanikio ni kuendesha ATC kwa faida. (kuanzisha biashara ni jambo moja na kufanya biashara kwa mafanikio ni jambo lingine)

  Najua yapo mafanikio kwa serikali ya Mheshimiwa Magufuli lakini ungeegemea katika bajeti ya 2016/2017 je wametekeleza miradi mingapi ya maendeleo?
  1.Ulisikiliza bunge la bajeti mwaka jana?(nina kalabrasha hapa la orodha ya miradi ambayo.iliombewa pesa ili itekelezwe)
  2.Serikali imekiri kuwa imetekeleza kwa asilimia ishirini tu orodha yote ya miradi ya mwaka wa fedha unaoisha. Bado unaona haya ni mafanikio?
  Embu tuwe serious kidogo!
  3.Umesikiliza au kusoma muhtasari wa ripoti ya CAG bado unaona kuna tofauti na miaka iliyopita?
   
 17. E

  Euphransia JF-Expert Member

  #156
  Apr 23, 2017
  Joined: Jan 26, 2017
  Messages: 942
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 180
  Vipi bashite sio mafanikio
   
 18. mwandagoo

  mwandagoo Senior Member

  #157
  Apr 23, 2017
  Joined: Jan 14, 2017
  Messages: 197
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Big up mh. Magu
   
 19. T

  Turnkey JF-Expert Member

  #158
  Apr 23, 2017
  Joined: Jul 9, 2013
  Messages: 2,135
  Likes Received: 1,094
  Trophy Points: 280
  Dawa hakuna hospitalini.uchaguzi ZNZ .sukari being juu.demokrasia imedumaa.kutekwa watu.kula rambirambi Kagera.Bunge live nk..naona mengi mabaya kuliko unyapara wa ujenzi
   
 20. Gangongine

  Gangongine JF-Expert Member

  #159
  Apr 23, 2017
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 3,744
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mpuuzi na lofa asiyejua siasa za Tanzania. Wapinzani wachukue Nchi? Baba, mama na mkeo wataipigia CCM. Wewe na viroba vyako utabaki na wahuni wenzako!!
   
 21. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #160
  Apr 23, 2017
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,435
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Pia kafanikiwa kuvunja katiba ya nchi
   
Loading...