KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,500
- 2,781
Mbona hizo ni kazi ambazo hata Meya wa Dar angefanya tu bila kuwa na figisu. Rais wa Tanzania anapimwa ufanisi na kazi zilizofanyika Dar?
Majimbo ndio suluhu ya maendeleo yetu.
Nyie watu wengi mnapondaponda2 ilimradi muonekane mmepondaKuna undergoing projects ambazo zipo tangu yeye hana tamaa ya kubahatika kupata huo urais kama hizo upanuzi wa airports na flyover.
Hizo hostel mimi siweki hesabu hesabu kama kina faida na tanzania kwa ujumla hata kama ina faida na tanzania kwa ujumla basi its a small issue sio ya kujisifia.
Rushwa na ufusadi tusidanganyane ipo kama kawaida sema ufisadi upo kwa wachache tena kwa wale ambao yeye mwenyewe anawalinda kama kina bashite.
na hiyo upanuzi wa barabara ya moroco is a small issue wala usiseme ni mafanikio ni aibu kusema hivyo.
Na nidhamu makazini labda ya uoga na maigizo nadhani tumeona kule bandarini yale maigizo. ethically hatuoni still zero.
Labda hizo ndege alizonunua japokuwa kuna possibility ya kufeli kwasababu ya ukurupukaji
The only thing ambao nimependezewa na kusema la ukweli hii yote imetokana na sababau hajui English ila nimefurahi kwasababu atapata kukipanua hii lugha yetu ya kiswahili huko nje. Japokuwa hasafiri kwa uoga wake wa kuadhirika.
Nawasilisha
[HASHTAG]#MakondaOut[/HASHTAG]
Kwan mlitaka raisi aweje
Hivyovyote ni ndani ya mwaka moja2
Kiukweli huyu raisi kafanikiwa sana
Na mnaosema hizo projects kazikuta nawauliza hivi kwan hizo hella nan kazitafta na nan kaweka jiwe ilihali kakuta hazina haina pessa
Nahitimisha kwa kusema watu wengine wakekaa katika kuponda minor things kuliko ukweli
Magufuli hamna mfano nchi hii