Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,628
Likes
1,599
Points
280
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,628 1,599 280

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
 
S

salumbig5

Senior Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
108
Likes
2
Points
35
S

salumbig5

Senior Member
Joined Dec 31, 2013
108 2 35
Watanzania hatuhitaji Demokrasia. Hata hivyo Demokrasia ipo kwa nani nchi hii? Viongozi woooote wa upinzania ni wachumia tumbo tu. Muone Mbowe, Zitto wotewezi tu. Maalim ndio kabisaaa na profesor wake wote majambazi wanatakiwa kuwa segerea.
Elimu elimu elimu lowasa's speech hii kauli ina Maana kubwa sana,hii nchi wajinga mko wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
diana chumbikino

diana chumbikino

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Messages
200
Likes
176
Points
60
diana chumbikino

diana chumbikino

JF-Expert Member
Joined May 29, 2018
200 176 60
SERIKALI HOYEEEEE
 
Sukari Yenu

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Messages
1,439
Likes
708
Points
280
Sukari Yenu

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2014
1,439 708 280
Assalaam alaykum
Bwana Yesu Asifiwe
Tumsifu Yesu Kristo
Shalom

Moja kwa moja kwenye mada. Huu ni uzi maalum wa kusifia na kupongeza ikiwezekana kushangilia kabisa juhudi za Mtukufu Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwa mpambanaji namba 1 wa kutuletea maendeleo hapa nchini.

Ukweli, nimekuwa mkimya sana kwenye ulingo wa siasa, lakini juhudi zake zinamkuna kila mwananchi mwenye uono wa mbali.

Mimi nimeguswa zaidi namna alivyowaokoa wakulima wa korosho dhidi ya mabepari wa Kihindi waliotaka kununua korosho kwa bei ya mtumba. Hapa mheshimiwa alicheza kama Pele. Serikali tunayo.

Na wewe elezea ulipoguswa huku tukitafakari miaka hii iliyobaki kuelekea uchaguzi mkuu tumchague tena na chama chake cha CCM. Hata kama wabunge wetu wa CCM hatuwaelewi maadam namba 1 wa serikali (Rais) tunamuelewa, atawashughulikia chamani huko.

Tunajua wenye visokorokwinyo wapo, wenye chuki, husda na upinzani usio na mantiki watapinga hili kama yule jamaa yao mwenye kiduku anaulizwa na mtangazaji, kuwa Rais Magufuli amefanya jema gani tangu aingie mdarakani yeye anasema ametufundisha utawala wa sheria. Wale waliompima mkojo hawakufanya makosa. Kuna shida mule. Lakini niwaambie huu sio uzi wenu. Ikiwezekana kaeni mbali. Na wala tusikatishwe tamaa na watu hao wana CCM wenzangu.

Karibuni.Sent using my Nokia Torch
 
chichiboy1

chichiboy1

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Messages
409
Likes
239
Points
60
chichiboy1

chichiboy1

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2015
409 239 60
Kuwashtua watu juu ya umuhimu wa kufanya kazi kwa kujituma...na wengine wanakuja na yao
 
K

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Messages
2,122
Likes
4,656
Points
280
K

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2015
2,122 4,656 280
1.5trl hadi kufikia 2.4trl ambazo ni zaidi ya EPA,Richmond na wivi wote enzi za Mkwere hakika haya ni maendeleo makubwa sana!!!

Hongera awamu ya V-WONDERS!!
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
8,391
Likes
5,254
Points
280
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
8,391 5,254 280
Deni la Taifa limekubuhu awamu ya tano

Mnadanganywa maendeleo jamaa yenu miaka-4 tu keshakopa zaidi ya miaka 10 ya mkwere marakani
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,420
Likes
5,698
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,420 5,698 280
Kazidisha deni la taifa,kafukuza wawekezaji na biashara nyingi zimefungwa
 
blackstarline

blackstarline

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
1,972
Likes
3,441
Points
280
Age
49
blackstarline

blackstarline

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
1,972 3,441 280
Nampongeza sana Lisu kura yangu nitampa tukutane 2020! Maendeleo haya chama..
 
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,462
Likes
1,334
Points
280
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,462 1,334 280
Hapa hakuna lolote zaidi ya kusifia ujinga tu. Na wote wanaomkubali jiwe ni lowest class, wajinga na masikini maana hao kuwaongoza ni rahisi sana kama ng'ombe. Huyu jamaa mpaka sasa kaongeza watu wasiokuwa na kazi mtaani wengi (Yy furaha yake ni kumuona mtanzania anauza karanga, maji, anabeba zege n,k), na deni la taifa limekuwa kubwa huku hali imekuwa ngumu mtaani. Utakuta masikini mmoja anaishi kwenye nyumba ya nyasi anafurahia ujio wa ndege wakati hana ndoto za kupanda ndege. Nchi za kiafrika ni za ovyo sana haijawahi kutokea. Kwa akili yako unafuta ajira halafu unasema hapa kazi tu aisee. Watanzia wengi wameshazoea kuishi maisha ya shida na ya kimasikini sana.
 
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined
Feb 6, 2019
Messages
27
Likes
20
Points
15
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined Feb 6, 2019
27 20 15

Huyo Rais mpora kura siku akimaliza kipindi chake Tanzania itabaki mbaya kupita ile Nyerere aliomuachia Mwinyi,nchi itabaki na mahame na itakuwa kama jehanamu,unanunua ndege bila bajeti wakati biashara ya ndege ni hasra tupu inajulikana duniani kote!bora kuboresha huduma za jamii au kuwa na ndege ambazo ni hasara tu na hazitasaidia wananchi,rais akishashiba michembe ikulu anatoa amri zisizo na tija wala faida,anaingilia mahakama,bunge,hazina akifikiri urais ni juu ya sheria,hii ndio hasara kumpa mtu nafasi ya urais wakati mtu hana sifa za kuongoza nchi.
 
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined
Feb 6, 2019
Messages
27
Likes
20
Points
15
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined Feb 6, 2019
27 20 15

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Magufuli anamuiga Kagame kuendesha nchi,haoni kama Rwanda ni ndogo sana kama mkoa mmoja Tanzania? kwa hiyo ni mbingu na ardhi kuiga utawala wa Rwanda.
 
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined
Feb 6, 2019
Messages
27
Likes
20
Points
15
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined Feb 6, 2019
27 20 15
Wapi milioni 50,milioni 50 zetu
Ilivyotokea Tanzania ni sawa sawa na kumchukua mfagiaji wa ofisi ya wizara na kumpa urais,yani hata mjinga analiona hilo,wewe Rais hujakaa hata mwaka ofisini unajenga uwanja wa ndege Chato hiiiiii! Chato kuna nani anasafiri au kuja hapo Chato?hujamaliza mwaka unaamrisha ununuzi wa ndege bila kutathmini faida na hasara? ndege ni hasara tupu hilo linajulikana duniani pote,Rais aangalie sana hivo vilemba vya ukoka wanavyomvalisha vyoote ni vya uongo!anaharibu sana tena sana,ingekuwa kuendesha nchi ni rahisi hivo anavofanya Magufuli basi nchi nyingi zingekuwa super power,kuendesha nchi sio rahisi rahisi anavofanya Magufuli,anatoa amri vitu vikubwa vifanyike kirahisi rahisi kama kuchoma mkaa,Rais Museven alikuja Tanzania akahutubia ikulu akarusha dongo kwa Magufuli bila Magufuli kujua akawa anapiga makofi,Museveni alisema Uganda tunataka kufufua shirika la ndege akasema Kenya na Ethiopia wame dominate soko la ndege na wana ndege nyingi sana na hajui kama wanaendesha kwa faida,so Uganda kabla ya kufufua shirika lao ni lazima wafanye tahmini na kuangalia kama kuna faida au hasara au ikibidi ni bora watumie huduma hizo za Kenya na Ethiopia kuliko kuamua maamuzi ambayo yasingekua na tija!!!
 
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined
Feb 6, 2019
Messages
27
Likes
20
Points
15
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined Feb 6, 2019
27 20 15

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Rais wa nchi ya Kusadikika kabla hujafanya maamuzi yoyote fikiri mara kumi na uanze na mambo ambayo ni ya lazima tuuuuu perioooood! ndege ni fikra muflis,uwanja wa Chato ni aibu kwa Taifa,usipende kujifanyia mambo kama nchi ni mali yako!Mungu atakuhukumu hapo hapoi ikulu kabla hujatoka,na usifikiri utaonea watu daima!na ukumbuke kuwa wewe ni binadamu tu tena dhaifu sana Mungu anaweza akakubana afya yako na ukafa ukawa pesona nan grata!!
 
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined
Feb 6, 2019
Messages
27
Likes
20
Points
15
K

KARANJA IS BACK

Member
Joined Feb 6, 2019
27 20 15

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Yule mwehu Musiba asie na haya wala akili anasema watu wanamtukana Rais kwenye Jamii forum ati wakamatwe sijui wafanyweje ooh Jamii forum ifungiwe! pumbafu sana wewe Mjaluo,huyo Rais wako atakamata wangapi?huyo Rais nchi imemshinda kuendesha halafu atafute muda wa kukamata watu wanao mkosoa kwani yeye Mungu?anakosolewa Trump n Queen Elizabeth sembuse huyo Rais uchwara asiejua ustaarabu!
 
Forum statistics

Threads 1,262,469
Members 485,588
Posts 30,123,156