Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,596
Likes
1,582
Points
280
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,596 1,582 280
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
 
M

mkululu

Senior Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
163
Likes
84
Points
45
M

mkululu

Senior Member
Joined Oct 26, 2018
163 84 45
Malalamiko ya mikopo yaelimu ya juu hadithi, maandamano ya wanachuo kuomba madaraja ya mikopo kimya, maandamano ya kipumbavu kwa wanachi kwisha!, huyo ndiyo Rais tuliyekuwa tunamhitaji Tanzania. Safi sana hapa kazi tyuu.
 
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
8
Likes
1
Points
5
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined Nov 3, 2018
8 1 5

Magufur ni chata ingne
 
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
8
Likes
1
Points
5
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined Nov 3, 2018
8 1 5
Kwa kweli Rais wetu kafanya makubwa sanaa..
Kila upitapo sasa hivi ni ujenzi unaendelea...Dar es Salaam kila kona Barabara ya Tandale-Sinza- Mawasiliano inajengwa
Madaraja yanajengwa

Upanuzi wa barabara kuu ya Ubungo hadi chalinze unafanywa

Daraja Kilombero miaka yote wapigaji walikuwa wanakula hela za wananchi kuwavusha ila sasa limejengwa

Flyovers zinajengwa

Miradi ya umeme inajengwa na miradi mingi ni kwa hela za watanzania wenyewe

Miaka yote maeneo ya Mbezi na kimara walikuwa hawapati maji japo yanapita njia hiyo hiyo lakini sasa maji yamefika mbezi, na bado wanaendelea kutandaza mabomba ili kupeleka maji. Awali waliokuwa wanakula hela za wananchi ni wenye miradi ya kuuza maji kwa magari. Ila sasa wananchi wamekombolewa.

Utendaji kazi umeimarika, sasa hivi kila mmoja anaona cheo akipewa ni kama kakalia kaa la moto..Yale mambo ya kupiga hela na kukaa ofisini kupiga usingizi yameisha watu ni kazi la sivyo unawajibishwa.

Madawa sasa yanapatikana hospitali, ile hali ya madawa ya hospitali yanapelekwa katika Pharmas binafsi imeisha.

Hospitali sasa za serikali ukienda mgonjwa anajaliwa sio kama ilivyokuwa awali.

Taasisi za serikali wafanyakazi wamekuwa wanawajibika ....hakika nidhamu imeimarika.
Kwa sasa taasisi za serikali zinajiendesha kibiasara bali si kihasara kama ilivyokuwa awali, ilikuwa ni ulaji tuu wa hela, upigaji dili, taasisi zinakufa, hakuna gawio kwa serikali, ila sasa zinatoa gawio...Hakika kila kitu ni usimamizi imara, ukicheka na kima utavuna mabua.

Awali watu walikuwa wanaulilia uongozi, hata wasio kuwa na elimu walikuwa wanagombea kupata uongozi, sasa uongozi umekuwa mgumu sababu kama wewe si muwajibikaji una ndoto za kupiga tuu, hupati nafasi, Uongozi umekuwa una hadhi kwa sasa.

Hakika Namsifu Rais wetu...
Mungu azidi kumlinda Rais wetu,naiona Tanzania tuliokua tunaitaka na tunazd kusogea zaid
 
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined
Oct 25, 2018
Messages
58
Likes
9
Points
15
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined Oct 25, 2018
58 9 15
Kwel ila unafkr heslb kwa mtt Wa maskn atapata mkopo kwel.. Na sjui vigezo gan hutumia.. Kutoa mkopo je ni kwel mtu alyemalza form six three years back hapat mkopo je ..wanajua kwann hakuendelea na masomo.. Bado heslb syo Msaada kwa watoto Wa maskn
 
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
8
Likes
1
Points
5
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined Nov 3, 2018
8 1 5
Kwel ila unafkr heslb kwa mtt Wa maskn atapata mkopo kwel.. Na sjui vigezo gan hutumia.. Kutoa mkopo je ni kwel mtu alyemalza form six three years back hapat mkopo je ..wanajua kwann hakuendelea na masomo.. Bado heslb syo Msaada kwa watoto Wa maskn
Kwani waliopata mkopo ni watoto wa matajiri?
 
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined
Oct 25, 2018
Messages
58
Likes
9
Points
15
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined Oct 25, 2018
58 9 15
Ndg acha kabsa usiombe mungu
Fadhea ikukute.. Huku una uhakika
Chukulia mtu jina limetoka Awamu ya kwanza.. Kuwa kapata mkopo then Jana Kaenda chuo jina lake halipo.. Kuulza Hana vigezo.. Vya kupata mkopo
OK sawa mtu huyu atajpanga sa ngap alipe Ada ya usjali lakn 8.. Mtu hela ya kuombea mkopo kauza gunia 5 za mahnd kwa bei yetu hii ya 25 pa1 na naul ya kwenda mjini kuombea mkopo.. Kila kitu kakiweka.. Walchokuwa wanahtaj Leo unasema Huna vigezo.. Kama Tatzo ni mda aliomalza form six je kigezo ki1 ukikosa Huna mkopo...huwez Kuwa na vigezo vyote.. Yaan.. Uwe yatima.. Usome.. Public school.. Na chuo Usome science Ndio Upate mkopo.. Na uwe umemalza within range time.. Duuh kwel inawezekana mtu Kuwa navyo vyote
 
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined
Oct 25, 2018
Messages
58
Likes
9
Points
15
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined Oct 25, 2018
58 9 15
Swal je Kama mtu ni yatima ila mda aliomalza chuo ni three years ago...
Na mtu huyo kila mwaka anaomba mkopo mnamnyima ila chuo anapata nafas sasa Maana yake mlitaka mje kumuhukumu kuptia mda... Mwenye uelewa hapo plz
 
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
8
Likes
1
Points
5
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined Nov 3, 2018
8 1 5
Iyo mbona hata mwaka wetu 2015 iltokea,lakn baada ya mda majina yalkuja tena,na maelezo washa yatoa kwamba kuna makosa yalifanyka,bac wasubir majina yatatumwa tena vyuoni
Ndg acha kabsa usiombe mungu
Fadhea ikukute.. Huku una uhakika
Chukulia mtu jina limetoka Awamu ya kwanza.. Kuwa kapata mkopo then Jana Kaenda chuo jina lake halipo.. Kuulza Hana vigezo.. Vya kupata mkopo
OK sawa mtu huyu atajpanga sa ngap alipe Ada ya usjali lakn 8.. Mtu hela ya kuombea mkopo kauza gunia 5 za mahnd kwa bei yetu hii ya 25 pa1 na naul ya kwenda mjini kuombea mkopo.. Kila kitu kakiweka.. Walchokuwa wanahtaj Leo unasema Huna vigezo.. Kama Tatzo ni mda aliomalza form six je kigezo ki1 ukikosa Huna mkopo...huwez Kuwa na vigezo vyote.. Yaan.. Uwe yatima.. Usome.. Public school.. Na chuo Usome science Ndio Upate mkopo.. Na uwe umemalza within range time.. Duuh kwel inawezekana mtu Kuwa navyo vyote
 
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
8
Likes
1
Points
5
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined Nov 3, 2018
8 1 5
Hawez mtu kuomba mkopo mara mbili zote huku kaambatanisha vyeti vya kifo vya wazazi wake harafu akose mkopo,hao ni watu wanaokua considered sana
Swal je Kama mtu ni yatima ila mda aliomalza chuo ni three years ago...
Na mtu huyo kila mwaka anaomba mkopo mnamnyima ila chuo anapata nafas sasa Maana yake mlitaka mje kumuhukumu kuptia mda... Mwenye uelewa hapo plz
 
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined
Oct 25, 2018
Messages
58
Likes
9
Points
15
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined Oct 25, 2018
58 9 15
Sa je usajili atafanya kwel... Maana Bila kulpa No usajili..
 
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined
Oct 25, 2018
Messages
58
Likes
9
Points
15
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined Oct 25, 2018
58 9 15
Yaan Mkuu mtu kaambatanisha vyeti vyote vi wili vya vifo tena vilivyo Kuwa certified na RITA.. Lakn Bado wamesema No vigezo. Kisa kamalza 2016. Form six
 
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
8
Likes
1
Points
5
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined Nov 3, 2018
8 1 5
Anaweza akawa anaendelea kusoma maana kweny vpnd hawakagui ID,huku akiwa anasubiri na test huwa znaanza juma la nne hivi,so atakua kashaona jna anafanya usajir
Sa je usajili atafanya kwel... Maana Bila kulpa No usajili..
 
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
8
Likes
1
Points
5
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined Nov 3, 2018
8 1 5
Dirisha la kukata rufaa lisha funguliwa bila shaka,anaeza akaenda Mungu atamsaidia atapata tu,au akaptia kwa uongozi wa wiliya akajieleza na kupeleka vyet vyake wanaweza mfkishia kilio chake,makosa yanakuepo maana hatujakamilika wote
Yaan Mkuu mtu kaambatanisha vyeti vyote vi wili vya vifo tena vilivyo Kuwa certified na RITA.. Lakn Bado wamesema No vigezo. Kisa kamalza 2016. Form six
 
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined
Oct 25, 2018
Messages
58
Likes
9
Points
15
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined Oct 25, 2018
58 9 15
Sasa uongoz Wa wilaya wao watafanyaje sasa Mkuu .wanipe barua au inakuaje
 
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
8
Likes
1
Points
5
P

Professor Mwamasinga

Member
Joined Nov 3, 2018
8 1 5
Sasa uongoz Wa wilaya wao watafanyaje sasa Mkuu .wanipe barua au inakuaje
Wale pia ni binadam ndugu wanajua nini maana ya matatizo,unaeza enda kwa afsa elimu wilaya unajieleza ulivyo na vithibit vilivyopo,na yey anaweza lipeleka ngazi ya juu mwsho litapatiwa ufumbuzi,maana kuenda direct hslb pana usumbufu fulani kukutana na wahusika pale
 
M

mkululu

Senior Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
163
Likes
84
Points
45
M

mkululu

Senior Member
Joined Oct 26, 2018
163 84 45
We bhana ndio waleee kazi yao ni kulalamika tu kila kikicha, hamnaga fadhila, kwanini hamtaki kukubali kuwa ndani ya miaka 3 raisi wetu kafanya makubwa mno ambayo wengine walishindwa kuyafanya? Unafiki mbaya sana.
Kwel ila unafkr heslb kwa mtt Wa maskn atapata mkopo kwel.. Na sjui vigezo gan hutumia.. Kutoa mkopo je ni kwel mtu alyemalza form six three years back hapat mkopo je ..wanajua kwann hakuendelea na masomo.. Bado heslb syo Msaada kwa watoto Wa maskn
 
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined
Oct 25, 2018
Messages
58
Likes
9
Points
15
Mr Chawa

Mr Chawa

Member
Joined Oct 25, 2018
58 9 15
Sio kulalamika...
Hakuna kitu muhim kwa mtt Wa maskn kulko Elim.. Au Unataka kila sku yeye awe mkoroga zege.. Na asiweze kupewa tenda.. Unataka yy asiweze teuliwa hata Kuwa afisa mtendaji.au Ndio mnataka wenu wasome ili waje kukaa sehem nzuri. Ila wetu wawe vibarua na wabeba mizigo..
Suala la elim Mzee hata ufanye nini.. Ila uspo mpa elim mtu huwez kufkria ziada zaid ya kupaka mafuta kile alichokkuta..
Kila kiongoz unaye mwona ukiangalia chimbuko Kwao kulkuwa na kiongoz. Sasa ww wako hata elim Hana Unataka aogoze kuku.. Acha siasa kwa maskn Mzee
 
Forum statistics

Threads 1,238,879
Members 476,223
Posts 29,335,278