Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,963
- 10,460
Niliweke sawa hilo la rushwa na nidhamu.Maendeleo ya vitu hata jakaya ameyafanya Magufuli cha maana alichofanya ni kukomesha Rushwa na kuleta nidhamu
Rushwa bado ipo, pamoja na kwamba anajitahidi kupambana nayo usiku na mchana. Ili kungóa kabisa mzizi wa rushwa, angeiondoa TAKUKURU kutoka ofisi ya RAISI. Iwe completely independent. Ukifuatilia suala la paspoti mpya na mchakato wake mzima wa jinsi mkandarasi alivyopatikana utakuta madudu matupu. Nidhamu iliyojengeka miongoni mwa watumishi wa umma ni ya woga, sio kingine.