1. Kaua watu watu wengi
2. Kaua demokrasia
3. Amevunja umoja na mshikamano wetu watanzania
4. Kaua uchumi wa nchi
5. Kaondoa amani
6.Kashusha taswira ya watanzania tuliyokuwa nayo nje ya nchi
7. Kaua elimu ambayo tayari ilikuwa ICU

Amefanikiwa kuharibu mengi tena kwa kipindi kifupi
 
1. Kaua watu watu wengi
2. Kaua demokrasia
3. Amevunja umoja na mshikamano wetu watanzania
4. Kaua uchumi wa nchi
5. Kaondoa amani
6.Kashusha taswira ya watanzania tuliyokuwa nayo nje ya nchi
7. Kaua elimu ambayo tayari ilikuwa ICU

Amefanikiwa kuharibu mengi tena kwa kipindi kifupi
Almost point zote hizi ni za kipumbavu
Kwanza hauna uwakika na unachosema
Pili hajaua democrasia ila kauwa njia ya wanasiasa kudanganya na kucheza na vichwa vya wa2

Na kingine huna suggestion yoyote huijuayo zaidi ya kutapatapa, ko ulitaka hella ya serikali itumbuliwe ovyo na viongozi ili hella iwe nyingi kumbi za starehe???,
 
Subiria sasa uone ' Mangumbaru ' yakishatoka Kushiba huko Ugali watakavyokuja kutiririka na kuserereka ' Kipopoma ' tupu juu ya haya ya ukweli yote uliyoyaandika. Wanakuja sasa hivi Mkuu!
unatetea ujinga na ww iyo elimu yenyewe ndo ile kama mtu amefeli labda kidato cha pili anapitishwa ivo ivo ili akapate zero form four

huwezi mwacha mtoto aliepata four ya 30 form 2 et akafanye CSEE form four utegemee afaulu hizo ni ndoto za alinacha
 
Almost point zote hizi ni za kipumbavu
Kwanza hauna uwakika na unachosema
Pili hajaua democrasia ila kauwa njia ya wanasiasa kudanganya na kucheza na vichwa vya wa2
Yule pole pole aliyesema nanukuu: KAMA UCHAGUZI UKIWA HURU NA WA HAKI BASI CCM IJIANDAE KUONDOKA MADARAKANI, mbona anaendelea kupotosha watu na kufanya siasa au yy sio mwanasiasa.
Hebu acheni UZUZU ninyi akili zenu ziko kwenye mifuko ya nyuma mkikaa mnazikalia. Ndio maana Leo POLEPOLE anawaongoza

NJAAA MBAYA SANA
 
Hapa niombe ufafanuzi zaidi, samahani lakini
mkuu refer hii mifano michache.

Mradi wa Mkukizi-uzalishaji wa sukari
PPF na Magereza mkataba wa uzalishaji wa viatu.
GEPF-uzalishaji wa mvinyo Dodoma. haya yanakutosha
 
Namba sita ninaipenda kuliko vingine vyoote! Tumeshadhalilishwa sana na kwa muda mrefu mno. Hapo panahitaji juhudi na kasi ya hali ya juu. Busara pia itumike ili tusije kujikuta tumetatua moja tukazua jingine. Kwani hakika hatukutakiwa tuwe tunachangiwa pesa za bajeti. Na ni lazima tutambue hakuna michango wala misaada yoyote bali ni theluthi ya vinavyotoroshwa inarudishwa nchini kutufumba macho.
Cha pili ni viwanda, kwanini viongozi waliopita wakauwa viwanda vyote na kuifanya nchi yetu kuwa "consumer" wa bidhaa za nje? Yaani tunakubali kuua viwanda vyetu mashine zinabebwa kupelekwa nje kuzalisha bidhaa hiyo hiyo tunaletewa kwa bei ya juu zaidi. Hata maziwa tumeshindwa kuyagandisha na kuyaweka kwenye vipakiti unampa jirani akakugandishie aje akuuzie kwa faida?? Maziwa yametoka kwenye ng'ombe wako mwenyewe?
Jamani, tunataka kukubali kuwa tumelaaniwa au ni nini?
 
1. Kaua watu watu wengi
2. Kaua demokrasia
3. Amevunja umoja na mshikamano wetu watanzania
4. Kaua uchumi wa nchi
5. Kaondoa amani
6.Kashusha taswira ya watanzania tuliyokuwa nayo nje ya nchi
7. Kaua elimu ambayo tayari ilikuwa ICU

Amefanikiwa kuharibu mengi tena kwa kipindi kifupi
Kwa sababu una macho na huoni
Una masikio na husikii
hiyo hiyo amani ambayo unaiona wewe, au mwenzangu unaona hamna amani hapa nchini
 
Back
Top Bottom