-Jk kaasisi flyover mwenzangu na mimi ukazindua.
-Jk kamalizia ujenzi wa shule za kata wewe umeshindwa hata kupeleka walimu wa chekechea.
-Jk kaanzisha ujenzi wa barabara na usafiri wa mwendo kasi(Bus Rapid Transport) mwenzangu na mimi ukazindua.
-Jk kajenga daraja la Nyerere(Nyerere Bridge) wewe ukazindua na kumtumbua mshikaji kabwe darajani kwa mbwembwe.
-Jk kaanzisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa(JK Nyerere international air port) wewe ukazindua.
-Jk kaunganisha mikoa yote Tanzania kwa kiwango cha lami,wewe una bomolea watu nyumba zao.
-Jk miaka yake yote katoa ajira wewe jamaa miaka 2 umeshndwa kabisa.
-Jk kaanzisha bunge mubashara wewe ukazima bunge.
Endelea kupanga baraza la mawaziri,Endelea kubana matumizi.

Mwanahabari Huru

Swali la Kizushi:"WATU WASIOJULIKANA SIKUHIZI WANATOKEA RWANDA?"

Kiongozi yeyote anayefikiria Chuki,Ubaguzi na Visasi ndivyo vitainua Uchumi atajikuta anatengeneza viwanda vya Chuki na visasi kila kukicha.

AKimaliza miaka 5 atapiga domo itaisha ,atataka kuongeza nayo itaisha na bado hatofanikiwa.Tutaishia kupigiwa makofi tu
 
Ni upungufu mkubwa wa ' Kimawazo ' kutaka ' kulazimisha ' yale yote ya Rais Mstaafu Kikwete basi yafanywe au yaendelezwe na Rais wa sasa Dkt. Magufuli. Halafu huwa nawashangaa mno ' Waswahili ' mbona huwa hatufanyi ' stupid ' comparisons kati ya Nyerere na Mwinyi au Mwinyi na Mkapa au Mkapa na Kikwete ila kila uchao Sisi ni Kikwete na Magufuli tu?

Sina wasiwasi na Rais Dkt. Magufuli na nina imani nae tena 100% kuwa atatuongoza salama na rasilimali zetu zitatumika vizuri tu ili ziweze kuisaidia nchi hasa Kimaendeleo. Hata kama ' Kibinadamu ' Rais wa sasa ( Magufuli ) ana ' mapungufu ' yake ila so far We're on the right track na kikubwa tu ni kumpa ' ushirikiano ' Wetu na kila mmoja kuwajibika katika nafasi yake kuliko kupoteza muda wetu kila siku ' kumsema ' au ' kumuibulia ' mambo ya Kipumbavu / Kipopoma kabisa yasiyo na miguu wala kichwa.
Kazi ya Magufuli imekuwa ni kuzindua miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake, asiposituka mapema miaka mitano itaisha akifanya hafla za kuapisha ikulu na kupokea ripoti za makinikia.
 
Siku zote huwa nasema chadema ni stupid people, kwa hiyo unamuonya Raisi na Mwenyekiti wa CCM afanye vizuri? Nilifikiri kutokufanya kwake kitu ndo faida kwa chadema sasa iweje unataka ajirekebishe tena? Kuna kitu hakipo sawa na nyie watu!
Kwa maoni yangu: hili sio on yo Bali ni shauri, au maoni ya wazi kwa rais. Baada ya uchaguzi upinzani haupo hapa kwa ajili ya kupinga tu,.... Bali hata kushauri. Na hicho ndo alichofanya mleta bandiko.
 
Mi sipo upande wowote ila na suggest wanaopinga uzi waje na orodha ya aliyofanya ya mkuu ndo tutaenda sawa
 
Siku zote huwa nasema chadema ni stupid people, kwa hiyo unamuonya Raisi na Mwenyekiti wa CCM afanye vizuri? Nilifikiri kutokufanya kwake kitu ndo faida kwa chadema sasa iweje unataka ajirekebishe tena? Kuna kitu hakipo sawa na nyie watu!

Sasa mpumbavu kati yake na wewe ni nan hapo?

Hujui kama huyo ni raisi wa nchi akionywa ajirekebishe tunafaidika wote?

We bwege huu sio mpira tunashindana magol

Sikia we bwege hii ni nchi tunahitaji maendeleo

Umeelewa wewe bwege?
 
-Jk kaasisi flyover mwenzangu na mimi ukazindua.
-Jk kamalizia ujenzi wa shule za kata wewe umeshindwa hata kupeleka walimu wa chekechea.
-Jk kaanzisha ujenzi wa barabara na usafiri wa mwendo kasi(Bus Rapid Transport) mwenzangu na mimi ukazindua.
-Jk kajenga daraja la Nyerere(Nyerere Bridge) wewe ukazindua na kumtumbua mshikaji kabwe darajani kwa mbwembwe.
-Jk kaanzisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa(JK Nyerere international air port) wewe ukazindua.
-Jk kaunganisha mikoa yote Tanzania kwa kiwango cha lami,wewe una bomolea watu nyumba zao.
-Jk miaka yake yote katoa ajira wewe jamaa miaka 2 umeshndwa kabisa.
-Jk kaanzisha bunge mubashara wewe ukazima bunge.
Endelea kupanga baraza la mawaziri,Endelea kubana matumizi.

Mwanahabari Huru

Swali la Kizushi:"WATU WASIOJULIKANA SIKUHIZI WANATOKEA RWANDA?"

Hata akifanya utajua wakati unaendelea kukariri vimemo vya mnunuzi wako wa MB?
 
Kazi ya Magufuli imekuwa ni kuzindua miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake.

Naona umeurudia Upumbavu / Upopoma ule ule ambao nimetoka ' Kumkosoa ' hapo mwana CHADEMA mwenzako. Kwa akili zenu hizi tu nyie ' wawakilishi ' wachache wa CHADEMA humu ' Jamvini ' ama hakika CCM yangu / yetu itatawala Tanzania hata kwa miaka 30,000 ijayo. Badilikeni na acheni ' majungu ' na ' fitna '. Rais Dkt. Magufuli anaenda vizuri na wenye ' akili ' tunamuamini.
 
Sasa mpumbavu kati yake na wewe ni nan hapo?

Hujui kama huyo ni raisi wa nchi akionywa ajirekebishe tunafaidika wote?

We bwege huu sio mpira tunashindana magol

Sikia we bwege hii ni nchi tunahitaji maendeleo

Umeelewa wewe bwege?

Chadema ni stupid people, huwezi kutaka mtu ambaye unategemea kujinadi kwa kushindwa kwake kutekeleza ahadi ajirekebishe na kufanya vizuri jambo ambalo litafanya kazi yako iwe ngumu zaidi!
 
Kwa maoni yangu: hili sio on yo Bali ni shauri, au maoni ya wazi kwa rais. Baada ya uchaguzi upinzani haupo hapa kwa ajili ya kupinga tu,.... Bali hata kushauri. Na hicho ndo alichofanya mleta bandiko.

Lkn Upinzani unaweza tu kufanikiwa kwa kushindwa kwa CCM kutekeleza ahadi, hivyo kutaka wajirekebishe ni kukata tawi ulilokalia na ndiyo maana nasema ni stupid people!
 
Ni vuzur sana maana ayo unayoo yasema ni mawazo yk na tunayaheshimu.Ebu tukuombe sasa utuambie kakosea wapi maana yeye si malaika kwamba atafanya memaa na mazur tuuu....tafaadhal tuambie na mabaya yake sasa ili tujue
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
[/QUOTE]
Unahisi kwa hayo mazuri uliyoyataja babu yangu wa anayepatikana ktk kijiji cha Kyampisi Bukoba vijijini ndani na kaka yangu anayepatikana katika kijiji cha Mwakaleli kule Mbeya wamefaidika nayo vp?!!!
 
Samahani mkuu, miye natoka Kibondo Kigoma. Sijawahi kuuona huo mradi wa kuunganisha barabara za wilaya ya Kibondo Kigoma. Ukitaka kuunganisha barabara kutoka wilaya ya Kibondo kwenda mpaka Tabora ni lazima upitie wilaya ya Kasulu (km 150, barabara ina vumbi la asili tangu kuumbwa ulimwengu), Kasulu Uvinza (Km76, vumbi tangu kuumbwa ulimwengu), Uvinza mpaka Kaliuwa (sifahamu urefu wake, pana lami iliyowekwa kipindi cha uongozi ulipita kuanzia Daraja la Maragalasi mpaka umbali wa kwenda kama dak.45, kisha kuna vumbi mpaka Kaliua, mpaka Urambo)....

Barabara ya Nyakanazi Kakonko ilianza kujengwa kwa kiwango cha lami zaidi ya miaka 12 iliyopita, haijamalizika, barabara ya Kasulu Kigoma, kuanzia Nyumbigwa,ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita, haijakamilika, bado kuna miaka labda mitatu mbele ili ziishie, toka Kakonko mpaka Nyumbigwa ni zaidi ya miaka 15 tunasikia barabara itajengwa lami.

My take: Tuzungumze ukweli, tuache ubabaishaji wa kitanzania katika kutenda, maana inaonekana mtu alkitamka ati ametenda!!
 
Back
Top Bottom