Kuanzia rais, waziri mkuu na spika na wabunge wa ccm wote wamewekeza nguvu zao kupambana na chadema

Wamesahau walichoahidi kwa wananchi wa tz
 
Maendeleo na utajiri ni vitu viwili tofauti. Unaweza ukawa masikini lakini anaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Twaweza hawakukosea kabisa kwamba ccm inapendwa na wajinga wajinga
Maendeleo na utajiri unavitofautishaje

Maendeleo yakiwamo na umaskini unapungua
Unawezaje kuendelea na umaskini ukaendelea kuwepo haiwezekani hata siku 1

Chanzo cha umaskini wa watu ni kuwa nchi haijapiga hatua yoyote
 
Twaweza hawakukosea kabisa kwamba ccm inapendwa na wajinga wajinga
Maendeleo na utajiri unavitofautishaje

Maendeleo yakiwamo na umaskini unapungua
Unawezaje kuendelea na umaskini ukaendelea kuwepo haiwezekani hata siku 1

Chanzo cha umaskini wa watu ni kuwa nchi haijapiga hatua yoyote
Kwani nchi zinazoendelea duniani ni tajiri? Unaweza ukawa maskini unayeendelea lkn bado hujafikia stage ya kuitwa tajiri. Think twice think big.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm

Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete

Haijapiga hatua yoyote
Pesa zote magufuli anazitumia kwenye kukandamiza demokrasia kuwabambikia Wapinzani kesi kesi visasi na uonevu wa kila aina
 
Huyu anaweza kubomoa tu lakini si kujenga. Yaani ndiyo fani yake. Kwa kuona ni miaka miwili sasa hajafanya anything "tangible" ndio yuko busy kutengeneza wajinga eti kumuongezea muda.

Miaka miwili ilimtosha JK kujenga UDOM na shule za kata huku ujenzi wa barabara kila pembe ya nchi ulishika kasi kwa vitendo sio kwa ahadi na kuzindua utadhani ni wakati wa kampeni. Hii itakuwa ni awamu yenye aibu kubwa kabisa katika historia ya nchi hio. Anaebisha asubiri muda utasema.
 
Wametawala Nusu karne hamna kilichofanyika zaidi ya kuuza Loliondo na mikataba mibovu miaka miwili umewaonea tuu hata uwape miaka 1000 mbele kwa mfumo huu Nchi itaendelea kuwa masikini tuu...
 
Mie nadhani tunaonyeshwa mazingaombwe, tangia tumbuwa ya majipu ianze wanatufanya tunakua EXCITED halafu hakuna kinachofuata kwenye huo mchezo. Mahakama ya mafisadi ijengwe,tangia huu msemo uwepo, mmeiona ikijengwa?
Akili ni nywele kila mtu ana zake; nani alikuambia kwamba mahakama ya mafisadi inajengwa? Hiyo ni division tu ya mahakama kuu ya Tanzania na kumbuka mahakama siyo majengo, mahakama inaweza kuendeshea shughuli zake hata hotelini.
 
Raisi anawaambia wananchi eti mbunge wenu ameniomba maji mbona yeye asiwaletee maji!!!
Amekuja kuniomba mimi wa ccm
Yaani rais amesahau watu wanalipa kodi ili wapate maji na vingine kibao!!
Kweli kabisa hapa hatuna rais tuna rais wa ccm tu na anawahudumia wana ccm
 
Back
Top Bottom