10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg


Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Nawashangaa sana Wanaomsifia Magufuli, Haihitaji akili nyingi Kujua kuwa Magufuli ni Kiongozi wa Hovyo sana Kupata Kutokea Tanzania na Pengine Bara la Africa, Ni Mnafiki, Mwenye hila, Mdanganyifu, mhujumu wa Kisiasa na Mwenye Ukabila Upendelea Ndugu! "Nepotism" corrupt to the core, kiasi cha Kutumia Kazi na Vyeo vya serikali kama rushwa za Kisiasa, Mwenye Double standards. Na mvunja sheria asiye na aibu!


Anaonea Watu kwa sababu za Kishenzi za Kisiasa, Na Mbaya zaidi anaagiza Speaker wa Bunge ambaye kwa Kila Jinsi ni Msukule wake, ati awafukuze wabunge ili awashughulikie Mitaani. Magufuli anaropoka kama Mkulima aliyemeza Kengele ya Kuchungia Ng'ombe leo alalamike watu Kuropoka? Anachoita Kuropoka ni Kupingwa Mambo yake ya Kinafiki na Wazimu!


 
Pamoja na udhaifu wa rais mstaafu Jakaya Kikwete kwa miaka yake 10 ya utawala, lakini alifanikiwa kuwaunganisha Watanzania wote pasipo kuangalia itikadi, hadhi ya mtu.

Nakumbuka kwenye sakata la EPA, Richmond, IPTL, Meremeta, n.k, ni busara ya hali ya juu ilitumika kumaliza migogoro hiyo bila kuathiri upande wowote na maisha yaliendelea, kwani hakuwa na uwezo wa kutumia nguvu kutatua kama inavyoonekana leo.

Kifupi Kikwete aliheshimu utu wa mtu.
FB_IMG_1497894182683.jpg


Rais John Pombe Magufuli na sisi raia wa kawaida hatunabudi kujiuliza Kikwete alifanikiwaje kujenga barabara zenye jumla ya zaidi ya km 6,000 nchi nzima akiwa na wapinzani wengi wao ni hawa hawa tulionao leo. Kwanini Magufuli anafikiri wapinzani ndio kikwazo cha yeye kutimiza ahadi yake ya kujenga viwanda.
maneno2.jpg


Si kweli kwamba Kikwete alishindwa kuwakamata viongozi wa upinzani na waliomkosoa wala si kweli kwamba alishindwa kuzuia mikutano ya hadhara, si kweli kwamba alishindwa kuwakamata akina Masamaki na baadaye kuwaachia, wala si kweli Kikwete alishindwa kuwatumbua kina Dau na Kebwe, lakini busara zake zilimfanya alitimize wajibu wake bila kuacha makovu.

Labda inawezekana mimi sioni vizuri mbele, lakini ninachokiona kwa utawala huu tofauti na uliopita ni kuacha makovu ya utengano, ukabila, ukanda, kukua kwa chuki ndani ya jamii, kutengwa na jumuia za kimataifa, uchumi kushuka, makovu ambayo nadhani yatakuja kuligharimu taifa siku za usoni.

Je, wewe unaona nini au tutegemee nini baada ya utawala huu.
 
VIWANDA VIPYA VINAJEGWA VYA ZAMANI VINAFUFULIWA, WATU WANALIPA KODI, MAHOSTEL UDSM KILIKUWA KILIO CHA SIKU NYINGI,KODI ZA AJAB AJAB ZIMETOLEWA ESPECIALLY KWA WAKULIMA KAMA ILE YA KWATO, FLYOVERS ZINAJEGWA, BEI YA KOROSHO, PAMBA, KAHAWA JUU ,MADAWATI NCHI NZIMA, MADUKA YA MSD KATIKA KILA MKOA,
KAJAMAA KANAPIGA KAZI KINYAMA NA HII NI KWA MUDA MFUPI TU
 
VIWANDA VIPYA VINAJEGWA VYA ZAMANI VINAFUFULIWA, WATU WANALIPA KODI, MAHOSTEL UDSM KILIKUWA KILIO CHA SIKU NYINGI,KODI ZA AJAB AJAB ZIMETOLEWA ESPECIALLY KWA WAKULIMA KAMA ILE YA KWATO, FLYOVERS ZINAJEGWA, BEI YA KOROSHO, PAMBA, KAHAWA JUU ,MADAWATI NCHI NZIMA, MADUKA YA MSD KATIKA KILA MKOA,
KAJAMAA KANAPIGA KAZI KINYAMA NA HII NI KWA MUDA MFUPI TU
Kamata kamata hujaiona?
 
Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm

Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete

Haijapiga hatua yoyote
 
Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm

Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete

Haijapiga hatua yoyote
AIBU YAKO...unakaa Mkoa gani? AVTAR yako inajieleza...ni wale wale wa kuleee....
 
Back
Top Bottom