Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020 | Page 13 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Mar 26, 2017.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2017
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,390
  Likes Received: 1,469
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

  Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

  Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
  Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

  Mpaka sasa kafanya haya;

  Hostel za Chuo cha UDSM.
  Hostel za Askari Magereza.
  Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
  Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
  Upanuzi wa Airport Mwanza
  Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
  Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
  Kukomesha Rushwa
  Kurejesha nidhamu Makazini.
  ------------

  Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

  Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
  Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

  Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

  Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

  Miradi Mikubwa ya Maji :

  Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
   
 2. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #241
  Jul 4, 2017
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,390
  Likes Received: 1,469
  Trophy Points: 280
  Wanaweza kupata huduma kwa uhakika maana shughuli zao zinategemea Jiji la Dar.
   
 3. Maarab

  Maarab JF-Expert Member

  #242
  Jul 4, 2017
  Joined: Jun 21, 2017
  Messages: 423
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  kutua take..Mkuu you mean "taka"
   
 4. Maarab

  Maarab JF-Expert Member

  #243
  Jul 4, 2017
  Joined: Jun 21, 2017
  Messages: 423
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  Wapo tu..Tatizo ni uvivu wa Kufikiri!!
   
 5. Maarab

  Maarab JF-Expert Member

  #244
  Jul 4, 2017
  Joined: Jun 21, 2017
  Messages: 423
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  Kwahio umeridhia kuanzishwa mjadala na Wezi!!..wht do you think Wewee??
   
 6. RingaRinga

  RingaRinga JF-Expert Member

  #245
  Jul 4, 2017
  Joined: Jul 10, 2015
  Messages: 971
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 80
  The game isn't over
  We ni confuser tu ulietumwa wala hausumbui..
  So far save the best for last....
   
 7. Sigara Kali

  Sigara Kali JF-Expert Member

  #246
  Jul 5, 2017
  Joined: May 28, 2017
  Messages: 1,287
  Likes Received: 2,632
  Trophy Points: 280
  Sina maneno mengi
  Ila kwa haraka haraka naona watanzania wengi hasa walionyimwa elimu wanavyomshabikia Magufuli na kuhisi ataweza kuifanya Tanzania kama nchi moja wapo zenye maendeleo Africa ambayo itafanana na baadhi ya nchi za ulaya
  Mmepigwa fix suala la makinikia mkadanganywa kwamba fedha tutakazolipwa na barrick zinatosha kwa kila mtanzania kununua Noah mkashangilia
  Hivi kwa viongozi wa kiafrica mnadhani wanaweza kubadilisha nchi zao zikawa kama ulaya? Wengi wamejawa na uchu wa madaraka ,ubabe,nongwa,visasi na fitna ,hawataki kuwaunganisha watu wao wakafanya mambo ya msingi kwa maendeleo ya nchi
  Ndo mana waafrica tuna umaskini wa kutupwa kutokana na tabia mbovu,ulaghai,ubinafsi na undugulization wa viongozi wa africa
  Wale waSouth mnawaona wana maendeleo ya viwanda,majengo na miundombinu mizuri ya barabara, reli n.k ni kutokana na makaburu kuitwala south na kuona ni potential kwao wakaijenga,katoka Mzee madiba mzalendo kaingia Thabo mbeki kazingua,kaja Zuma ndo hawamtaki kabisaaaa
  Sasa hapa Bongo sijaona kiongozi mzalendo wote ni kutafuta kiki kama kweli kiongozi mkuu ni mzalendo aweke katiba mpya itakayoruhusu kunyonga rais akizingua wakati wa utawala wake,iruhusu bunge limkatae rais na kumwondoa madarakani,iwepo katiba ya kufukuza wabunge wote wazembe yani wananchi wawe na mamlaka ya kumfukuza kazi mbunge wao,iwepo katiba ya kupunguza madaraka ya rais,iwepo katiba ya kutengua kauli za rais juu ya maamuzi Fulani
  Nchi zote zilizoendelea zina katiba za namna hii so wabongo kuanza kumshabikia JPM eti ni mzalendo upuuzi kwa katiba hii mbovu,kwa elimu na ujinga wa watanzania ni upuuzi ,bado tunasafari ndefu hatuwezi kumshabikia mtu ambae ana kinga hata akivurunda kwake poa tu.
  NB: Nakaribisha povu na kukosolewa
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #247
  Jul 5, 2017
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,492
  Likes Received: 3,379
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo wewe ndo mwenyewe elimu?
   
 9. Sigara Kali

  Sigara Kali JF-Expert Member

  #248
  Jul 5, 2017
  Joined: May 28, 2017
  Messages: 1,287
  Likes Received: 2,632
  Trophy Points: 280
  Ndio nna nimelishwa unga wa rutuba
   
 10. Blackman

  Blackman JF-Expert Member

  #249
  Jul 5, 2017
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 724
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Mkuu nchi hii walio wengi hata elimu ya darasa la saba tu hawana,na walio nayo bado uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo ndo maana wengi wanadanganyika karahisi na viongozi wapenda kiki
   
 11. m

  mliberali JF-Expert Member

  #250
  Jul 5, 2017
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  huyu tuliye naye ana IQ ndogo bahati siasa zetu zinatoa mianya kwa watu wa aina yake kupenetrate
   
 12. U

  UKAWA2 JF-Expert Member

  #251
  Jul 5, 2017
  Joined: Apr 22, 2014
  Messages: 2,094
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  Tatizo la hii nchi watu ni mabashite kwa kwenda mbele,elimu hakuna,upeo hakuna hawawazi hata mambo ya dakika mbili zijazo mbele.
   
 13. m

  mliberali JF-Expert Member

  #252
  Jul 5, 2017
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  kuna maneno anayatoa kwenye speech zake unajiuliza hivi huyu aliwezaje kupata degree. masters na phd
   
 14. ZILLAHENDER MPEMA

  ZILLAHENDER MPEMA JF-Expert Member

  #253
  Jul 5, 2017
  Joined: Apr 4, 2015
  Messages: 2,024
  Likes Received: 4,083
  Trophy Points: 280
  Nafikiri tukifanikiwa kupata Noah zetu tutakuwa zaidi ya Ulaya kwa vile tutakuwa nchi ya kwanza duniani ambayo kila mwananchi anamiliki gari!CCM hoyeeee!!!Zidisheni maombi tafadhari.
   
 15. Blackman

  Blackman JF-Expert Member

  #254
  Jul 5, 2017
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 724
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Mkuu nchi hii vilaza wengi sana,na ndo wanaotukwamisha kuleta madiliko ya kweli nchini. hawa ndo wanaoipigia kura ccm kila uchaguzi, itatuchukua muda mrefu sana kubadilika.
   
 16. Moisemusajiografii

  Moisemusajiografii JF-Expert Member

  #255
  Jul 5, 2017
  Joined: Nov 3, 2013
  Messages: 7,527
  Likes Received: 5,818
  Trophy Points: 280
  Watakuelewa wenye akili timamu tu. Hebu ngoja nibugie balimi kwa spidi kama vile jamaa walivyobugizwa viepe vikavu siku ileeee!
   
 17. Blackman

  Blackman JF-Expert Member

  #256
  Jul 5, 2017
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 724
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  mkuu usihangaike kuhusu hilo phd yenyewe haijahakikiwa,utajuaje kama sio feki.
  ben sanaane alisema hakiki phd akapotea.
   
 18. Bigboy74

  Bigboy74 Senior Member

  #257
  Jul 5, 2017
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 104
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Utakua ushakula hio kitu kwenye avatar yako sio bure.
   
 19. U

  UKAWA2 JF-Expert Member

  #258
  Jul 5, 2017
  Joined: Apr 22, 2014
  Messages: 2,094
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  Tena muda mrefu sana mkuu, maana ukiangalia mambo ya hovyo yanayofanyika lkn bado watu wanakenua na kushangilia ndo unagundua kuwa hii safari bado sana.
   
 20. M

  MUHEKA PANGENDE JF-Expert Member

  #259
  Jul 5, 2017
  Joined: Mar 30, 2014
  Messages: 283
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Uwezo mdogo wa kufikiri mawazo yanakuwa finyu,watanzania wanaongozwa kwa matukio,likiisha hili la makinikia tutaletewa jingine ili tusahaurishwe na uhalisia wa maisha magumu. Tatizo wakiwa nalo wengi hugeuka faraja.
   
 21. m

  mliberali JF-Expert Member

  #260
  Jul 5, 2017
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  MTU msomi anakomalia issue ndogo ya vitoto vilivyobeba ujauzito

  MTU mwenye PhD speech yake anasema
  hawafurukuti! hawaniwezi! watakoma! hawanitishi! wasinidrive! hatuna kiongozi aisee!!
   
Loading...