Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Uchaguzi uliopita bahati mbaya Sana ulipata Kura chache kwa sababu watanzania walikuwa hawajui ukweli kuhusu nchi yao.ila toka uanze mchaka mchaka huu wa awamu ya tano watu wamegundua Ni Nani anayesema ukweli na wakina Nani miyeyusho.
 
Toka wapi?
Kwa wafanyakazi?
Kwa wazee?
Kwa wastaafu?
Kwa waliomaliza shule?
Kwa wafanya biashara siyo?
Toka wapi kwingine?
Kweli atapata tena zote ml60 maana hamna namna zaidi ya mbinu mbadala
 
Sio kweli, hacha kupotosha wewe poyoyo, mwrnyewe anajua hana chake ukifanika uchaguzi wa huru na haki na ndio maana katika tume ya taifa ya uchaguzi kajaza marafiki zake na makada was chama chake
 
Uchaguzi uliopita bahati mbaya Sana ulipata Kura chache kwa sababu watanzania walikuwa hawajui ukweli kuhusu nchi yao.ila toka uanze mchaka mchaka huu wa awamu ya tano watu wamegundua Ni Nani anayesema ukweli na wakina Nani miyeyusho.
Wanaofanya tafiti kama hizi wala hawakamatwi wala kutiwa misukosuko, Twaweza wakija na utafiti hali wanachunguzwa uraia. Huyu popoma aliyejiandikia akiwa amekaa jikoni anaonekana shujaa Lumumba.
 
Uchaguzi uliopita bahati mbaya Sana ulipata Kura chache kwa sababu watanzania walikuwa hawajui ukweli kuhusu nchi yao.ila toka uanze mchaka mchaka huu wa awamu ya tano watu wamegundua Ni Nani anayesema ukweli na wakina Nani miyeyusho.
Atapata kura mil.45 kabisa
 
Ushindi Uko asubuhi mapema tu. Hilo liko wazi , wengine wanapoteza muda tu.
Mtu wako namfananisha na Mobutu akijijua yuko hoi kitandan korodani zake zote zikiwa zimetafunwa na kansa alishout kuwa olewake atakayegusa mpaka wa Kongo.
Ni sawa na uyo mtu wako anajijua hapendwi na yuko juu kwa kuchukiwa ndo kaiandaa NEC imbebe ktk uchaguzi na si jingine
 
Uchaguzi uliopita bahati mbaya Sana ulipata Kura chache kwa sababu watanzania walikuwa hawajui ukweli kuhusu nchi yao.ila toka uanze mchaka mchaka huu wa awamu ya tano watu wamegundua Ni Nani anayesema ukweli na wakina Nani miyeyusho.
Kura halali atakazopata ni za mabeyu, mambosasahivi, pengine na mwita waitara! The rest wanaweza hata wasipige kura kuliko kumpa Magufail.
Mkewe hata akitakiwa kupiga kura ya wazi hampi magofool.

Kwa kuwa umesema inaonekana maandalizi ya takwimu yameanza mapemaaaaaaaa!
 
Ni watu wachache sana wenye uelewa kama huu asee
Africa hakuna hata nchi moja yenye serekali bora. Basi hii ya kwetu ni bora kwenye hizo nchi zenye serekali mbovu. Kwa maneno marahisi kwenye hizo serekali mbovu yetu ina afadhali.
 
Mimi bado Niko shuleni KUHUSU uongozi wa raisi wangu ndugu JPM. Kila siku najaribu kumtafakari. Katika kumtafakari kwangu yapo mambo niliyoandika, haya yanahusiana na hapa Mbeya mji ninaoishi.

1. Tangu HUYU mheshimiwa aingie madakani ninaona wamachinga walivyohuru kutembea bidhaa zao, migambo hawawasumbui tena. Nakumbuka miaka ya nyuma Akina mama wanaotembeza bidhaa walikuwa kutwa kucha ni kukimbizana na migambo wa jiji utafiri sio watanzania.

2. Jiji la Mbeya lilikuwa ni kuunguruma majenereta ya UMEME kila duka, sababu ya umeme kukatika katika. Leo hii hili suala limekuwa historia. Nafikiri hata biashara ya majenereta imeshuka maana siioni tena. Na sidhani kama amefanya lolote jipya ZAIDI kudhibiti mifumo fulani fulani huko juu.

3. Madawa ya kulevya yalikuwa ya kawaida hapa kwetu. VIJANA waliharibika mno na wengi nawaona wakifuata matibabu hapa hospitali ya rufaa. Leo hii hali naona haipo.

MAGUFULI ANAWEZA kuwa na madhaifu yake lakini nikitazama haya mambo ninaiona NURU kiasi ikiangaza. Mungu IBARIKI TANZANIA.

Mimi si mpenzi wa CHAMA chochote cha siasa.
 
Back
Top Bottom