Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Katika utwala wake mengi nimejifinza kama yafuatayo

1. Wajibika ipasavyo bila kujali fitina na majungu kutoka kwa watu Mfano. Yule waziri wakulilia
2. Fanya unachokiamini siku zote sio kila mtu atakuelewa
3.Usiamini sana watu maana hubadilika kwa nyakati Mfano. Kigwangala, Mama Traveller,
4.Ukimnyanganya mtu tonge lake ambalo alikua apati kihalali lazima atakuchukia Mfano.Mzoga gang
5.Tengeneza njia yako tofauti na wengine
6.Sio kila kitu kinacholetwa na wazungu ni bora,
7.Kutoa sadaka maisha yako kwa ajili ya wengine hata kama hawaoni dhamani yako kwa sasa iko siku wataiona.

Mwisho niseme Magufuli atabaki kuwa mfano mzuri katika maisha yangu yote.Mungu akupe pumziko la amani uko uliko.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee wa madili wote watamchukia Rais Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali fulani!

Tuwafichue wote wanaopanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Habari zaidi, soma => Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020

=>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
Rais Magufuli alipenda Sana kuona rasilimali za Tanzania zinamnufaisha mtanzania mwenyewe Ila Kwa SASA Mambo ni tofauti Sana . Kuna uwezekano mgeni akawa mnufaikaji kuliko ilivyotarajiwa . Viongozi tanguliza uzalendo kuliko Kwanza ....
 
Back
Top Bottom