arete
Member
- Sep 26, 2012
- 7
- 3
Wadau tushirikiane kukumbushana maisha sio kuajiriwa peke yake. Vijana wengi wamedhani kuwa maisha pekee ya kumwezesha kushi ni kuajiriwa kwenye makampuni au serikali ndipo maisha yaweze kusonga mbele. Tumesahau ujasiria mali ambao tukifuatilia nyanja zake tutafika mbali tujiajiri kwani hata mavyuoni tumejifunza tusiwe waoga wa kujiajiri kumbuka hata mmuyu ulianza kama mchicha.