Mafaili halisi ya usajili wa Dowans yalipotelea ‘Bermuda triangle’ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafaili halisi ya usajili wa Dowans yalipotelea ‘Bermuda triangle’

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CPU, Jan 16, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  TUNGELIKUWA tunafuatilia kwa karibu mantiki katika masuala mengi tungejifunza mengi. Fuatilia suala hili:
  - Dowans ililetwa kwa sababu ya giza.
  - Ilitakiwa kuondoa giza.
  - Dowans ikasajiliwa gizani.
  - Ikaiondoa Richmond gizani.
  - Baadaye mkataba wake ukavunjwa gizani.
  - Na mwaka jana kesi kati ya Dowans na Serikali ikaendeshwa gizani.
   
 2. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na bado tunajadiliana gizani

  Na hela italipwa gizani!
   
 3. M

  Matarese JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Na bado tutaendelea kuwa gizani!
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na inaonyesha akili zetu bado zipo GIZANI
   
 5. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesi iliendeshwa gizani kwa wale waliogizani!!

  Kemupist siyo gizani ila vyombo vya dola vilificha kumulinda rostam na kufuatilia taarifa za intelgjensia ya maandamano kupinga malipo ya dowans!!!
   
 6. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Maazimio ya tume ya Mwakyembe nayo yakapotelea gizani huku Mwakyembe akiishia kupewa uwaziri gizani.
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ikibidi wahusika wahukumiwe gizani....
  kwa nguvu ya umma na hata ya giza!!
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sasa ndugu zangu watanzania, ni lini tutatoka GIZANI??
  Yapaswa pia nasi tuwafanyizie mafisadi GIZANI
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  na mashehe tayari washatiwa gizani!!!
   
 10. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hata JK yuko GIZANI
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  kweli wewe ni CPU
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Serikali haikuwa na kesi na Dowans. Tanesco si Serikali.
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  umeswali?

  njoo nkupe udhuru.
   
 14. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa serikali kwa dharau ilamua kupuuza na imeendelea kupuuza mapendekezo ya Kamati ya bunge ya richmond, ipo haja ya kurudisha swala hili bungeni. Japo Makamba anaweza kunyamazisha wabunge wake lakini wananchi watapata kitu fulani.
   
 15. CPU

  CPU JF Gold Member

  #15
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duuuh! Tuna macho, lakin wala hatuoni, tuna masikio lakin hatusikii, tuna bongo lakin wala hazifanyi kazi!
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Makambale hawezi nyamazisha wabunge wapambanaji, na hana ubavu huo iwe kimamlaka au kiubabe
   
 17. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Ikibidi hata giza liadhibiwe maana ndiyo chanzo cha yote!
   
Loading...