Maestro Erasto Nyoni: Miguu ya dhahabu isiyoisha utamu

Kwa Tanzania Hii ni bahati sana kuwa na Wachezaji karba ya Erasto Nyoni

Kwa kocha yeyote kuwa na mchezaji kama Erasto Nyoni hupunguza majukumu ya kocha katika stail yake ya uchezaji

Hili walibahatika kuwa nalo Barcelona kuwa na Wachezaji watulivu kwa wakati mmoja xavi na inniesta

Kitokana na utulivu wao waliifanya Barcelona kuwa timu tishio Kwa miaka kumi mfululizo
Very talented player, hilo halina mjadala
Niliwahi kupiga nae story siku kule Zanzibar yuko very humble
 
Ndio nimesema hapo juu soka la Tanzania haliheshimu vipaji vya wetu mpaka upite kwa hao wachawi wa mpira wetu Simba/yanga ndio watakuheshimu
Achana nao hao! Hao kwao Mchezaji bora lazima awe wa JANGWANI ama MSIMBAZI.... Si uliona Bocco.... Kaifanyia Azam Mambo makubwa sana... Waamkaushia! Ila sasa yupo timu yao... Wamemfanya "mungu"
 
Huyu kijana nimekuwa namsikia toka yule kocha wa kibrazil Yupo Tanzania mpaka sasa
Napenda sana mchezo wake huwa namfananisha na andrea pirlo Yule wa The azures Au taribo west wa super eagles

Kwa stail yake ya uchezaji sio rahisi kumuona akipoteza pasi,sio rahisi kuona akifanya faulo za kizembe

Ni Wachezaji wachache wanaoweza kujitunza kama erasto kwa soka la Tanzania kwa kuwa soka la Tanzania halieheshimu vipaji vya Wachezaji ila siasa nyingi

Huwa nafurahi zaidi kumwona anapocheza timu ya Taifa akiwa na yondani

Naomba mwenye Maelezo yake kwenye carrier yake toka anaanza hadi hapa alipofika

Ni moja ya Wachezaji wa kitanzania ninaowakubali sana

Moderetors mkipendezwa huu uzi muwekee stick kumuenzi huyu kiungo maridadi wa mpira kuwahi kutokea nchini

...............................................................
Historia fupi katika maisha yake ya soka

Kipaji chake kiliibuliwa katika mashindano ya vijana mkoa wa Arusha
Baada ya hapo alisajiliwa na AFC ya mkoani Arusha baadaye alitimkia katika club ya VITALO FC ya nchini Burundi kabla ya Azam kumrudisha nchini na kuwa mchezaji tegemeo na sasa anacheza klub cha simba sc

Tutaendelea kuiweka hapa historia yake
ameoa na ana watoto 6
 
Huyo ndo mshika 'transistor' wa Mikia FC pamoja na Boko...................
 
Nyoni:- rolling stone => AFC => VITAL OR => Sofapaka => Azam =>Simba (currently)
 
Back
Top Bottom