pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
- Thread starter
- #21
Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!Lamu-Garsen Road eight months behind schedule
Security challenges by al Shabaab push deadline from December to August next yearwww.the-star.co.ke
Ulivotangulia kwa kusema kwamba Maersk hawawezi wakafika Lamu wakati tayari wame'commit' rasmi inanieleza yote ambayo nataka kuyajua. Ugua pole mzee, ongeza ulcers za ziada na ikikupendaza pia pandisha BP.