Maeneo haya Tabora yanahitaji taa za kuongoza magari

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, hivi karibuni nilikuwa Tabora (Nnobhola), pahala pekee penye taa za kuongozea magari ni Isevya ila napendekeza kuongeza taa hizo:

1. Pale penye makutano ya barabara itokayo mjini kwenda Nzega na itokayo bomani kwenda Kiloleni karibu na uwanja wa mpira wa miguu wa Vita. Sasa hivi mzunguko wanaukarabati.

2. Pale NBC, hapo wafanye utaratibu utakaofaa ili kuondoa mkanganyiko kwa madereva wa magari.

Nawasilisha.
 
Japo nipo Dar lakini Tabora ni nyumbani naweza changia hili,Bora hapo NBC na baiskeli mabodaboda na gari ni fujo, pale uwanja wa vita taa za nini pale? Round about inatosha
 
Japo nipo Dar lakini Tabora ni nyumbani naweza changia hili,Bora hapo NBC na baiskeli mabodaboda na gari ni fujo, pale uwanja wa vita taa za nini pale? Round about inatosha
Mkuu, bado pana umuhimu hapo uwanja wa Vita huo mzunguko uondolewe na pawekwe taa sasa.

Sent from my LLD-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom