Habari wakuu,
Kama kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa ni mitaa gani hapa Dar es Salaam yenye shida ya maji? Naomba wadau kama mnajua sehemu ambazo maji ya kutumia (maji baridi) ni shida kupatikana kiasi cha kuwa wananunua kupitia yale magari yanayouza yale. Ningeomba hata bei wanazonunulia kwa ndoo moja moja.
Lengo nataka nifanye hii biashara ya maji yasiyo ya chumvi hapa DSM.
Naomba taarifa zenu wakuu.