Maeneo gani yenye uhaba wa maji Dar es Salaam

Daegil

Member
Jun 30, 2019
17
6
Habari wakuu,

Kama kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa ni mitaa gani hapa Dar es Salaam yenye shida ya maji? Naomba wadau kama mnajua sehemu ambazo maji ya kutumia (maji baridi) ni shida kupatikana kiasi cha kuwa wananunua kupitia yale magari yanayouza yale. Ningeomba hata bei wanazonunulia kwa ndoo moja moja.

Lengo nataka nifanye hii biashara ya maji yasiyo ya chumvi hapa DSM.

Naomba taarifa zenu wakuu.
 
Huenda hii pia ni source of info...lakini ni vyema ungeenda ww mwenywe dar kupeleleza...!usipende kbs kupata habari kuhusu biashara kiwepesi namna hyo..hutapata right infos ..tumia hela upate hela!.kila laheri!
Ni hayo tu!
 
Huenda hii pia ni source of info...lakini ni vyema ungeenda ww mwenywe dar kupeleleza...!usipende kbs kupata habari kuhusu biashara kiwepesi namna hyo..hutapata right infos ..tumia hela upate hela!.kila laheri!
Ni hayo tu!
Shukran mzee nipo hapahapa dar, tatizo dar kubwa nikitajiwa mtaa ni rahis kwenda Sasa kucheck kiundani zaidi. Shukran mzee nitajitahid pia
 
Mbezi goba msakuzi maramba mawili saranga mwisho goba tegeta A mbezi makabe kimara bonyokwa mwisho kilungule mwisho juu kwa mahita mpaka karibia ukatokezee kinyerezi
 
Mbezi ndani ndani uko interior maeneo ya kuingia bunju ndani madale ila kule magari yapo yanapeleka but miundombinu ni konki shida spiring ziwe imara coz maji mazito, hii ilikua zaman DAWASCO washaharibu nenda pia Kibamba, K|ibaha n.k ila town hii biashara ishakufa ila ilikua inafanya vizuri mtaani uswazini
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom