Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

Tulipo Mbezi beach ya Salasala tuna enjoy sana.. jenga kwako weka uzio.. Pia siku zote anagalia neighbourhood kama utaona waswahili wengi usijenge maana watu wa low education na low income wana tabia ya kuamini ushirikina kuliko kujituma kiuchumi.. nime yaona hayo sana uswailin na pia wana wivu sana kwa anaye wazidi maendeleo.. wanakufuatilia sana na kuteta sana tarifa zako zinasambaa sana na katika kusambaa zinakutana na mtabe wa uchawi anakuchezea mpaka unakuwa fukara kama wao..

Amini nisemacho nimekiishi jimejifunza mateso yakuishi na watu uswazi nineona sana.. nenda kwenye maeneo yenye makazi ya watu wa middle income. achana na low income hutajifunza kuwaza juu uta jikuta una waza migogoro ya majiran na hila zao kwako.
Umeandika ukweli mtupu
 
Ukipita njia ya Yombo ,Buza kwenda Tandika utasikia harufu nzuri ya samaki barabarani jaribu siku kufanya utalii wa ndani panda gari Mbezi nenda Tandika mate lazima yakutoke😂😂
 
popote panafaa kwan utulivu wa familia unaanza na wewe,
Nyumba ikiwa na fence ni nzuri Sana kwa familia hata ikiwa Kule buza kwa mpalange.
 
Huko ndiko nmekulia,mpk nkapata mji
Hustle nyingi nlijifunzia huko
Napaheshimu sana
Ila kwa familia,malezi watoto hapafai
Kama watoto website kuiga mambo basi
Kuaribika dk 0

Ova
Mkuu unakaa njia ya kwenda machimboni au Msigani?
 
Back
Top Bottom