Maeneo gani mazuri yakula bata ,sengerema au bukoba

kwa sengerema mjini ndio kuna bar kiasi pale maeneo ya stand kuu, lakin kwingine hakuna executive sana, nenda ZENO MONTEL mkuu mbele kidogo ya sengerema fm kama unaenda mission ni pazuri pale.
 
ukiwa Bukoba mida ya mchana nenda walk gard hotel, bukoba club, kiroyera beach, spice beach ( hizo ziko jirani) usiku ingia linas night club unakaa adi asubuh na rwabiz mwisho saa 7.

ukitaka sehemu zozote za kula bata unishtue nikutajie nimefika nchi karibia 30 na mikoa yake.
 
Usihofu ntakushtua mkuu
 
Mkuu mbona hata kwako unaweza tu ukamwambia wife akamtengeneza roast huyo bata ukamla? Lol, Linas night club is a good place to hang out!
 
kwa sengerema mjini ndio kuna bar kiasi pale maeneo ya stand kuu, lakin kwingine hakuna executive sana, nenda ZENO MONTEL mkuu mbele kidogo ya sengerema fm kama unaenda mission ni pazuri pale.

Zeno ishapitwa na wakati...ile ni guest kwa sasa. Kuna sehemu kibao nzuri nenda mission kuna kiota kinaitwa kisolya
 
Naomba kujua viwanja gani vizuri vya kujirusha maeneo hayo,sengerema na bukoba

Kama unataka totoz za kihaya na za kituts nenda Linas Club usiku

Kama unataka just best place ku enjoy by ur own nenda Walk Guard Hotel

Usiende Kyotera polisi wengi sana so hauta enjoy kabisa hasa kama ww ni mtu wa milupo!
 
mkuu hapo kwenye red unapotosha Kyotera ipo Uganda,km 40 kutoka mtukula ( border) pia km 40 kutoka masaka ( UG)
 
Ile hotel nzuri ipo kule Kitendaguro karibu na Rugambwa sec haiitwi kwa jina hilo au nimechanganya?Kama nipo sahihi inamilikiwa na "Mlangira"Basheleka!!

Inaitwaje ile hotel?Sio Kyotera?

anyway thx u to correct me!
 
ukiwa Bukoba mida ya mchana nenda walk gard hotel, bukoba club, kiroyera beach, spice beach ( hizo ziko jirani) usiku ingia linas night club unakaa adi asubuh na rwabiz mwisho saa 7.

ukitaka sehemu zozote za kula bata unishtue nikutajie nimefika nchi karibia 30 na mikoa yake.

Duh!sikujua kama kila nchi ina mikoa ndugu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom