Maeneo gani hapa Dar naweza kumpata mwanamziki Ferouz

RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
679
1,194
Habari wadau wa JF? kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Ningependa kujua ni maeneo gani huyu kijana Ferouz anapatikana.
lengo kubwa la kutaka kuonana nae ni kwamba nahitaji kumuinua kimuziki kwani ni mwanamuziki mzuri sana na ana kipaji kizuri cha kuimba mfano katika wimbo wake wa starehe, safari, etc.
Mbali na hayo hapo sisi sote ni vijana hakuna haja ya kuwaacha vijana wenzetu kupotea kwenye game bila sababu ya msingi.

Hivyo kama kuna mtu anajua ni maeneo gani anapenda kutembelea naomba kujulishwa PM.

Ahsanteni wanabodi wenzangu.
 
Nenda Sinza Mori au maeneo ya Meeda pale utampata. Ukimkosa zunguka mitaa ya Kwa Remi, Makaburini mpaka Madukani.

Kama unahitaji kumpata kwa haraka zaidi, wasiliana na DJ Choka kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii. Anajua maskani zake vile wote ni makazi yao huko na wana ukaribu.

Upo serious?
 
sinza star fc au. abajalo fc ukifika maskani za team izi za sinza utapata mpaka namba zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom