Maeneo gani Dar mazuri kwa kuishi?

Kigamboni sijwahi kupaelewa kabisa. Naona kama mbali sana na matukio ya mjini. Bora Mbezi Beach, salasala bila kusahau bahari beach
Mbezi beach hamna viwanja. Vijana wanaoanza maisha wanaweza kumvua mtu nyumba mbezi beach au bahari beach?
 
Hello guys!!

Niaje, nivipi ndugu zanguni. Hivi jamani ni maeneo gani mazuri kwa kupanga nyumba nzuri lakini affordable na kuishi jijini Dar. Napata shida kidogo kuchagua.

Mbezi, Kimara, Ubungo, Kinondon, Kigambon, Gomes, Chanika, Pugu, Kivule, Sinza,..n.k

Ni sehemu gani nzuri?

Nb: Distance does't matter!
Buza mkuu
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom