darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,893
- 4,023
Enzi za JK kwa sisi watu wa chini ilikua kawaida sana kukopeshana milioni moja mbili na watu wanakulipa vizuri tu
Enzi za jiwe kila niliemkopesha sent yangu aliishia kunipa maumivu mpaka nikaacha kuwasaidia watu maana mtu anakuja kukulilia shida ya let say 20K ukimpa tu ndio hamuonani tena anaanza kukukwepa
Hii kiuchumi inaitwaje wakuu.