Maendeleo yote yaliyoletwa na awamu ya tano, kwanini wanaogopa Tume huru ya Uchaguzi

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi? Ili waonyeshe wananchi wanavyoweweseka.
 
IMG_20200708_162340.jpg
 
hata mkipewa tume ya malaika kusimamia uchaguzi kuitoa CCM madarakani ni mpaka Yesu arudi.
 
Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi?Ili waonyeshe wananchi wanavyoweweseka.
Propaganda na Hali halisi ni vitu viwili tofauti
 
[SUP]Nilisahau maendeleo mengine Yaliyoletwa na awamu hii ni Kuipeleka nchi katika uchumi wa kati.[/SUP]
 
kwani tume huru haipo? ingekuwa haipo wabunge wa upinzani waliwezaje kuwa wabunge?
 
Wanajua ni maendeleo FAKE, wanajua Watanzania wengi wako hoi bin taabani kimaisha. Hivyo hili genge la wahuni linajua fika uchaguzi huru na wa haki basi watapigwa vibaya sana.

Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi? Ili waonyeshe wananchi wanavyoweweseka.
 
Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi? Ili waonyeshe wananchi wanavyoweweseka.
Maendeleo feki na kutojiamini

Jr
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom