chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,720
Ni wajibu kama serikali kuwa asilimia 80 kufanya maendeleo kunzia barabara,makazi(NHC),mikopo,masoko,elimu,sayansi,kuvutia wawekezaji,huduma za afya,maji,makazi bora na n.k
Na sisi wananchi tuweze kuchangia asilimia 20.kama kulipa kodi,kilimo,elimu na n.k
Napo zungumzia asilimia hizi kwa serikali 80% wao ndio wenye dhamana na kila mwananchi na duniani na kote.kwa sababu wanakopesheka,wanadhama na vyote kufanya bila kupingwa.
Ila kwa nchi yetu wananchi kiufupi tumegeuzwa kama punda kwenye zigo hili wao kubaki na keki ya taifa kujinufaisha wao.
Mifano:
Ujenzi wa shule ,hospitali,zahanati,vituo vya polisi na n.k wananchi ndio wanachangishana au wahisani watoe pesa .
wakati nchi imejaa madini,utalii,bandari na n.k
Mfano:
Serikali yetu bado ina rohoo ya kinyongo yani kuona vitu kama ni hanasa mfano kodi za kuagiza vitu kama magari wakati ni kitu ambacho wenzetu washatoka.