Maendeleo ya Vijiji na Miji ni juhudi za wananchi,wadau na wahisani, Serikali ina mchango mdogo kwa nchi yetu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,313
2,000
Ni wajibu kama serikali kuwa asilimia 80 kufanya maendeleo kunzia barabara,makazi(NHC),mikopo,masoko,elimu,sayansi,kuvutia wawekezaji,huduma za afya,maji,makazi bora na n.k

Na sisi wananchi tuweze kuchangia asilimia 20.kama kulipa kodi,kilimo,elimu na n.k

Napo zungumzia asilimia hizi kwa serikali 80% wao ndio wenye dhamana na kila mwananchi na duniani na kote.kwa sababu wanakopesheka,wanadhama na vyote kufanya bila kupingwa.

Ila kwa nchi yetu wananchi kiufupi tumegeuzwa kama punda kwenye zigo hili wao kubaki na keki ya taifa kujinufaisha wao.


Mifano:
Ujenzi wa shule ,hospitali,zahanati,vituo vya polisi na n.k wananchi ndio wanachangishana au wahisani watoe pesa .
wakati nchi imejaa madini,utalii,bandari na n.k

Mfano:
Serikali yetu bado ina rohoo ya kinyongo yani kuona vitu kama ni hanasa mfano kodi za kuagiza vitu kama magari wakati ni kitu ambacho wenzetu washatoka.
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,928
2,000
Waafrika tuna kinyongo sisi kwa sisi hata viongozi wanaona kukujengea shule, hospitali na huduma muhimu unaweza kupata uelewa/ufahamu ukawa mpinzani kwa serikali yako so, unaachwa hivyo.

Utajiri wa nchi ni wa viongozi wa kisiasa na vizazi vyao, that why unaona mjukuu wa balozi wa nyumba kumi anakumbukwa na kupewa uafisa tarafa kisha naibu waziri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom