Maendeleo ya tiba ya kisukari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maendeleo ya tiba ya kisukari

Discussion in 'JF Doctor' started by Terminator, Feb 11, 2013.

 1. Terminator

  Terminator Member

  #1
  Feb 11, 2013
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu wadau,

  naomba kujua maendeleo yaliopo sasa katika tiba ya sukari duniani, maana naona tafiti nyingi zimelenga kutafuta tiba ya ukimwi ila maradhi mengine ambayo ni tishio kwa jamii hayapo wazi.

  Wadau naomba kujua kutoka kwenu, maana asili ya ugonjwa wa sukari ni kongosho(pancreas) kushindwa kufanya kazi.
  Je tiba ya kuweka kongosho jingine (pancreas transplantation) pamoja na pacreatic islet cell transplantation imeweza kuwa suluhisho la ugonjwa huu????

  Wadau tujuzeni.
   
Loading...