Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,606
- 696,703
Kuna mwanamuziki wa oldies aliimba DON'T FALL IN LOVE WITH A DREAMER... tuna makumi kwa maelfu ya watu ambao hawajitambui, wanawake kwa wanaume, wasichana kwa wavulana.. Wasiojua nini maana ya faragha... Nini maana ya kuwa watupu pekeyao chumbani wakiwa wamefunga milango kwa makomeo vitasa na funguo, huku mapazia ya madirisha yakiwa yameshushwa vizuri... Wengine huzima taa kabisa hata kama ni mchana.... Lile ni tendo la faragha
Kila kitu kibaya kimeanzia ulaya.. Huko wenzetu kujirekodi wakiwa faraghani wanafanya zinaa ni kitu cha kawaida kabisa.... Lakini baadae wakalihalalisha hili tendo na kuligeuza biashara kamili... Utandawazi ukatufunua macho kuwa huko kunakoitwa kumeendelea wenzenyu wanafanya hivi na hivi
. Ngono na njia moja
. Ngono ya njia mbili
. Ngono za njia tatu
. Ngono za jinsia mbili kwa moja
. Ngono za jinsia moja
. Ngono za makundi
. Ushoga
. Usagaji
Wakamaliza kote huko wakaingia ngono za mitulinga ya vinyago kama sehemu za siri... Wakamalizia na ngono za wanyama na binadamu.. Haya yote tulikuwa tunayaona tu mitandaoni na kuona ni kitu cha ajabu mno...
Taratibu tukaanza nasi kuiga... Tulianza na chabo... Gesti za uswazi ikawa ndio fasheni... Mnafanya yenu kuna watu wanawafaidi.... Iliponoga hii watu wenye ma hotel makubwa wakaiga... Zikafungwa kamera za siri na kurekodiwa kwa siri......... Mambo yakawa sasa ni jambo la kawaida.. Wasanii wakiwa wahanga wakubwa... Video zao za ngono zikaenea mitaani kama njugu
Sasa naona tume advance... Lakini kijuha, kilofa, kipuuzi na kipumbavu kabisa... Kupigana picha kwa ridhaa wawili wawapo uchi chumbani wakati mwingine
. wakitekenyana
. wakifanya ngono
. wakiwa wamemaliza
. wakigeuzana na kupinduana.. Si picha tu na video juu.... Halafu siku ya siku mmoja kati yenu kwa sababu zozote zile anavujisha mitandaoni halafu anaweza au asiweze kukana.... Mambo ya kipuuzi kabisa haya yanafanyika sasa.... Tukumbuke kuna kesho... Tukumbuke maisha bado yapo.... Hatuyajui yajayo na picha ama video hizo zitakuja kutumikaje.....
Kwa hii sasa hivi kama humuamini sana mwenzako ni heri kuzima simu na kukaguana kabisa kama hakuna kamera za siri mwilini ndio muingiliane la sivyo watu watavunjiana sana heshima na kuharibiana.....