Maendeleo ya mtu yako katika Uhuru wa kuabudu, mengine yote ni maendeleo ya vitu CCM wasitegeke na Tundu Lissu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Kwa kifupi sana.

CCM imeruhusu uhuru wa kuabudu kwamba kila mtu ana haki ya kuabudu katika imani anayoiamini.

Viongozi wa dini ndio wenye jukumu la kuhakikisha " mtu" anaendelea kiroho na kimwili.

Mambo mengine yanayosimamiwa na serikali kwamba tuwe na viwanda ili watu wavae na kula pamoja na kulala kwenye vitanda vizuri hayo yote ni maendeleo ya Vitu.

Jukumu pekee la kiserikali katika kuleta maendeleo ya mtu ni kumpa elimu ya dunia jambo ambalo CCM inalifanya tena bure.

CCM muwe makini na Tundu Lisu atawatoa kwenye reli kwa mambo yake ya ujanja ujanja.

Nawatakia Jumatatu yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom