asante kwa ufafanuzi. sasa nimeelewa. Nadhani wao wananufaika kwa kuuza mafuta yao kwako. Ni utaratibu mpya. Kuna mtu ameeleza humu. asante tena.
..ukifika ktk kituo hicho una UHAKIKA wa kupata HUDUMA zote kwa VIWANGO vya kimataifa vya TOTAL.
..Na total wanamhakikishia mmiliki kwamba watam-support kwa ushauri na mafunzo ili aweze kuendesha kituo chake kwa faida na kwa kuzingatia viwango vya Total.
..But as you know, there is no free lunch in this world. Mmiliki atalazimika kulipia kiwango fulani kwa huduma anazopewa na Total.
..Hapa ni suala la muwekezaji mwenye interest ktk biashara ya vituo vya mafuta kuona kama anaweza kuendesha biashara hiyo mwenyewe au anahitaji "kushikwa mkono" na kampuni kubwa ya mafuta.
..Total nao kama kampuni kubwa wanapima kama ni faida kwao kumiliki [majengo, ardhi, wafanyakaz]100% maelfu ya vituo vya mafuta, au wafanye biashara kwa mtindo huu ulioelezewa ktk mada yetu.