nyamatala.
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 266
- 134
Tunataka vituo vingi vya mafuta,angarau bei itapungua,pia total ,wanamradi wa bomba la mafuta sasa wewe sjakuelewa ni Mgeni?Pascal sjakuelewa! Kituo cha mafuta tu kama tunavyoviona vya total nchi nzima. Total ni kampuni ya wafaransa, sasa mtanzania kuwa na kituo cha total cha kuuza mafuta ndiyo iwe habari kubwa. Labda sijaelewa. Kuna vitu pale Kongowe kinaitwa Muro, ni mwafrika, so what is strange with total. Nieleweshe please wala sina nia ya kukejeli, NO!
Sent using Jamii Forums mobile app