Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!

Ukweli ukianzia siasani na kusambaa nchi nzima hatua kubwa itapigwa.
Hadi sasa naamini tume hadi watakapokuwa proven wrong technically na wao wakishindwa kujitetea au kutetea ukweli wao haijalishi ni lini. Vinginevyo kama tusipowatumainia wataalam tumtumainie Nani tena nchi hii!!!!!
 
Tuache kuangalia issues kwa jicho la kisiasa kila wakati. Watanzania someni hotuba ya Prof Mruma na Mh Rais ili msipotoshwe....narudia someni zile hotuba kwa umakini sana ....waliofukuzwa sababu zimetolewa ...anayepinga uhalali wa sababu zile aende kwenye hotuba zile anukuu na kuzileta hapa na kuzipangua hoja kwa hoja ....wanaotaka kutumia takwimu kupinga ripoti ni vizuri wakatenda haki ....wachukue kila findings za tume na kuzipinga kwa hoja .....tuache kufanya siasa kwenye mambo ya msingi ....kwenye hili Watanzania watawapigia msumari wa mwisho wa unafiki wa wanasiasa wetu ....Bora Zitto aliyekiri TAFITI hupingwa kwa TAFITI ....Issues za mikataba imegusiwa kwenye ripoti ya tume lakini watu wanakomaa na spinning kupotosha umma ....shame on you ...

Kuna shida moja naiona kwa watanzania na wasomi wetu.Watu wana-access na taarifa lakini hawawezi kutumia mantiki "kuchenjua" taarifa husika na hata source ya taarifa yenyewe.Kwa mfano kuna watu sasa wanaona ushauri uliotolewa na Tundu Lisu ndio "mwarobaini" Wa tatizo la kuibiwa.Ni kweli ushauri wake ni merit lakini ni merit kwa kiasi gani na kwa wakati gani? Mimi namuheshimu Lisu sana lakini hiyo haimaanishi kuwa he is always correct for everything and always he will keep being.Hata Lisu anapaswa kuona kuwa Magufuli na Tume ile wana kitu "tangible" katika suala hili.Approach yao inaweza kuwa na shida mbele ya safari lakini hiyo haiwezi kuondoa ukweli kuwa the President and the Committee in question have the kernel of truth.
 
Wanabodi,

Declaration of Interest.
Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, kanuni kuu ya kwanza ya mwandishi wa habari, ni to seek the truth!. Nothing but the truth. Hivyo mimi ni kundi la kina Tomaso, hatuamini kwa maneno matupu hadi tushuhudie na kujiridhisha kuwa huu ndio ukweli wenyewe halisi.

Preamble
Hili ni bandiko kuhusu Tanzania kupata maendeleo ya kweli, yataletwa na elimu, na ukweli. Tukiwa wakweli hatuwezi kudanganya. Tukiwa na elimu, hatuwezi kudanganywa, na hata tukidanganywa, hatuta dangayika!.

Uwongo Mwingi, Ukweli ni Upi?.
Tangu kuibuka kwa sakata la mchanga wa makinikia ya dhahabu, kumesemwa mengi na kunaendelea kusemwa mengi, mengine ni kweli, mengine ni uwongo, kuna sehemu tunadanganywa na tunadanganyika, kuna sehemu tunadangaya na kujifariji na udanganyifu wetu. Ili Tanzania tuweze kupiga hatua za kweli za maendeleo ya ukweli, jambo kubwa la kwanza ni kuthamini ni elimu, na ukweli, lazima tuuthamimi elimu na ukweli, tuutafute elimu kutuwezesha kuutafuta ukweli na tuseme ukweli na kuwa wakweli daima. Truth is Everything.

Jee Tutapataje Ukweli.
Kwa vile nia yetu ni kuujua ukweli ili tusidanganywe na tusidanganye, njia ni moja tuu, tuutaifishe mchanga wote tukauchenjue mahali tunapopajua sisi, kisha tuthibitishe kinachopatikana, kikiwa ni kile kile kiwango cha Acacia, then Acacia ni wakweli,tume ndio waongo, tutawaomba radhi na kuwalipa fidia. Ukiwa kiwango kweli ni kikubwa, then tume ni wakweli, Acacia ni majizi, tutapigiana hesabu ya conteiner zote, watulipe fidia kwa wizi wote waliotuibia tangu container la kwanza!.

Hitimisho.
Wakati tunasubiri ukweli halisi utaopatikana kwa utafiti, nashauri kwa kipindi hiki cha kusubiria ukweli halisi, tujitahidi tuweke akiba ya maneno, tupunguze kuwaaminia sana hawa wanasiasa wetu, walituingiza chaka kwenye Radar, Richmond, EPA, Escrow, Samaki wa Magufuli, na pia tusiwanyooshe watu vidole kuwa ni majizi, kisa tuu fulani kasema, ikikutikana sio wezi, tutaweka wapi sura zetu?!,.

Hivyo this time around Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, lets seek the truth, the truth will set us free, tusidanganywe tena, tukadanganyika, ila nasi tusidanganye!.
Jumapili Njema.
Paskali.

Unarahisiha sana mambo, halafu hiyo gharama nani atalipa? Unavyosema tuutaifishe halafu tuupeleke sehemu nyingine ili tu kujua kama Acasia ni Waongo au Wakeli? Unafikiri ni rahisi kihivyo?
 
Paskali, hata hii elimu kwenye dhana ya Mwafrika na kwa jinsi tunavyofundishwa ina walakini mkubwa sana. Maana ukiacha tu ukasema basi elimu tu basi ndio matokeo yake tunabaki kusafishwa ubongo nakubaki wajinga waliosoma. Inaelekea hatujui elimu inayotufaa, sijui hii ya academy nasikia yenye mitaala ya Cambridge ikoje ingawa hiyo ndio tunayoikimbilia kwa sasa. Sijui kama katika hiyo kuna kina kwenye kufundisha masomo kama historia au ndio wanasoma habari za wakina Oliver Cromwell na wakina Shakespear!! Nchi kama ya kwetu wasomi ndio watu wa kuogopa sana nakumbuka msanii Bob Marley aliwahi kutuonya nanukuu - Building churches and universities, graduating THIEVES and MURDERERS!!!
Taasisi zetu za elimu tena zile za juu kabisa ndizo zinazotoa wezi wasio na aibu wala huruma. Hili la elimu bado nalo linahitaji kuchenjuliwa kwenye smelter ili tupate inayofaa.
 
Umesema jambo jema sana mkuu.Ukweli ndio maisha.Lakini pia ukweli ni every thing kama ulivyohitimisha.Lakini ukweli ni kitu kigumu sana.Ukweli ni gharama.Pilato alimuuliza Yesu "Ukweli ni nini?".Yesu hakujibu swali hilo.Pilato alikuwa ameuliza swali la kifalsafa zaidi.Si kwamba Yesu hakujibu kwa sababu hakuwa na jibu.Ni kwa sababu alijua Pilatus alikuwa nalo jibu.Maisha ya Yesu yote ikiwemo miujiza mingi na "kufutarisha" watu ndio ulikuwa ukweli wenyewe.Kumbe ukweli ni process.Ukweli matokeo.Ukweli ni yale matokeo ya matendo yetu.

Mintarafu suala "mapanki ya Madini" ukweli ni vipimo vya kimaabara vilivyofanyika.Kama tool ya ukweli ni Elimu kwa nini tunatilia wasiwasi hata vipimo vya kisayansi? Huko wengine munakoshauri tupeleke "Mapanki" hayo kuyachenjua hao ACACIA nao watakubali kuwepo ili washuhudie? Maana hatuwezi kwenda kuchenjua wakati hawapo kisha tuwaambie kwenye Yale makanikia tumepata tani 300 za dhahabu na hivi tulipeni kwa hesabu hizi hizi kwa miaka 17 muliyochimba.Ingekuwa rahisi hivyo basi wangekubali na haya matokeo ya kisayansi wanayoyakataa sasa.
Pia, alitaka serikali itoe maelezo ni kwa nini iliuza hisa ilizokuwa ikimiliki katika migodi nchini na sasa inataka kumiliki tena hisa na akatahadharisha kuwa dhahabu inayochimbwa na kampuni ya Barrick itamalizika baada ya miaka 18.
 
Kwenye madini tuko hapa sababu ya mikataba mibovu na rushwa. Je TPDC huko hali ikoje. Juzi wote tunemsifia mtoto wa maghembe na yeye akijinasibu yuko TPDC je huko nako mazoea ya ubadhirifu wa mikataba ya mafuta na gas yakoje
 
Wanabodi,

Declaration of Interest.
Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, kanuni kuu ya kwanza ya mwandishi wa habari, ni to seek the truth!. Nothing but the truth. Hivyo mimi ni kundi la kina Tomaso, hatuamini kwa maneno matupu hadi tushuhudie na kujiridhisha kuwa huu ndio ukweli wenyewe halisi.

Preamble
Hili ni bandiko kuhusu Tanzania kupata maendeleo ya kweli, yataletwa na elimu, na ukweli. Tukiwa wakweli hatuwezi kudanganya. Tukiwa na elimu, hatuwezi kudanganywa, na hata tukidanganywa, hatuta dangayika!.

Uwongo Mwingi, Ukweli ni Upi?.
Tangu kuibuka kwa sakata la mchanga wa makinikia ya dhahabu, kumesemwa mengi na kunaendelea kusemwa mengi, mengine ni kweli, mengine ni uwongo, kuna sehemu tunadanganywa na tunadanganyika, kuna sehemu tunadangaya na kujifariji na udanganyifu wetu. Ili Tanzania tuweze kupiga hatua za kweli za maendeleo ya ukweli, jambo kubwa la kwanza ni kuthamini ni elimu, na ukweli, lazima tuuthamimi elimu na ukweli, tuutafute elimu kutuwezesha kuutafuta ukweli na tuseme ukweli na kuwa wakweli daima. Truth is Everything.

Jee Tutapataje Ukweli.
Kwa vile nia yetu ni kuujua ukweli ili tusidanganywe na tusidanganye, njia ni moja tuu, tuutaifishe mchanga wote tukauchenjue mahali tunapopajua sisi, kisha tuthibitishe kinachopatikana, kikiwa ni kile kile kiwango cha Acacia, then Acacia ni wakweli,tume ndio waongo, tutawaomba radhi na kuwalipa fidia. Ukiwa kiwango kweli ni kikubwa, then tume ni wakweli, Acacia ni majizi, tutapigiana hesabu ya conteiner zote, watulipe fidia kwa wizi wote waliotuibia tangu container la kwanza!.

Hitimisho.
Wakati tunasubiri ukweli halisi utaopatikana kwa utafiti, nashauri kwa kipindi hiki cha kusubiria ukweli halisi, tujitahidi tuweke akiba ya maneno, tupunguze kuwaaminia sana hawa wanasiasa wetu, walituingiza chaka kwenye Radar, Richmond, EPA, Escrow, Samaki wa Magufuli, na pia tusiwanyooshe watu vidole kuwa ni majizi, kisa tuu fulani kasema, ikikutikana sio wezi, tutaweka wapi sura zetu?!,.

Hivyo this time around Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, lets seek the truth, the truth will set us free, tusidanganywe tena, tukadanganyika, ila nasi tusidanganye!.
Jumapili Njema.
Paskali.

Pascal, sahihi kabisa. Knowledge is the only power for a true understanding. Tuwe na Subira na akina ya maneno pia.
 
Wanabodi,
Jee Tutapataje Ukweli.
Kwa vile nia yetu ni kuujua ukweli ili tusidanganywe na tusidanganye, njia ya kuujua ujweli halisi kuhusu thamani halisi ya makinikia haya ni moja tuu, tuutaifishe mchanga wote tukauchenjue mahali tunapopajua sisi, ila kuwepo mwakilishi wa Acacia, kisha tuthibitishe kinachopatikana, kikiwa ni kile kile kiwango cha Acacia, then Acacia ni wakweli,tume ndio waongo, tutawaomba radhi na kuwalipa fidia na kuwaruhusu kuendelea kusafirisha mchanga wa dhahabu. Ukiwa kiwango kweli ni kikubwa, then tume ni wakweli, Acacia ni majizi, tutapigiana hesabu ya conteiner zote, watulipe fidia kwa wizi wote waliotuibia tangu container la kwanza!.
Paskali.
Pamoja na habari njema kuwa tutashikishwa kishika uchumba cha dola milioni 300 na Barick, lakini kitendawili cha thamani ya makinikia bado hakijatenguliwa, hivyo tupokee kishika uchumba hiki very cautiously, ni fedha za nini, usikute ni rushwa ili turuhusu mchanga uendelee kusafirishwa, bila sisi kujua kilichomo!.

Paskali
 
Ukitumia gold mining data, za Acacia na duniani kwa ujumla, utapata conclusion kwamba, sio tu Acacia bali hata hao Barrick Gold Mine hawana uwezo wa kulipa zile pesa... I repeat, HAWANA UBAVU. Data zetu zipo so irrelevant!

Look, according to USA Gold, total gold produced duniani in 2016 ni tani 3100.

Tani 3100 ni sawa na 3,100,000 kg

Kwa mujibu wa mtandao wa GoldPrice, bei ya dhahabu at 14:15 EAT ilikuwa 1,333.01 per ounce. Anyway, sijui pametokea nini manake pamekuwa na sharp decline in price from around US$ 1342 to 1,333.01 lakini wametoa best price as $1356 per ounce (for gold bar).

1 oz ni takribani 28.5 grams.
3,100,000 kg = 3,100,000,000 grams = 109 M ounce (maximum)

Thamani yake ni 109,000,000 x $1356 = $ 148 Billion (maximum)

Hii maana yake ni kwamba, dhahabu iliyozalishwa duniani kote mwaka 2016 ina thamani ya takribani $150 Billion wakati pesa tunayodai sisi ni $190 Billion!

Yaani, Acacia/Barrick kulipa ile pesa ina maana waachiwe dhahabu YOOOOOOTE duniani kwa mwaka mzima. Aidha, wazalishe dhahabu hiyo at ZERO cost ndipo wanaweza kulipa deni (assuming uzalishaji na bei vinabaki constant)!!!

Look again, hoja ni kwamba ni tunaabiwa kupita kiasi.

Ina maana na Australia wanaibiwa kupita kiasi?

Mwaka 2016 Australia walizalisha 270 tani za dhahabu! Remember, Australia ni among top gold producers duniani!!!!

Tani 270 = 270,000 kg = 270,000,000 grams = 9.5M ounce (Maximum)

Thamani yake kama ingeuzwa leo, ingekuwa 9,500,000 x $1356 = $13 Billion (maximum).

Hii maana yake ni kwamba, endapo Australia wataamua kuwalipia deni Acacia, basi watalazimika kutumia dhahabu yao yooooooooote kwa takribani miaka 15 (190 billion/13 Billion) ndipo wanaweza kumaliza deni lote la Acacia na hapo tuki-assume, Australia wanazalisha dhahabu hiyo at ZERO cost na kila mwaka wanazalisha tani 270.

Kwahiyo kwa data zisizo-make sense kama hizo TUSAHAU eti kwamba Acacia au hata Barrick watakuja kulipa hata 25% ya kile wanachodaiwa! Na hili nilisema tangu awali.

Na ukweli ni kwamba, sioni uwezekano wa kulipa hata 10% ya kile wanachodaiwa!

BONUS: According to Bloomberg, New York Stock Exchange walifunga soko tarehe 12.01.2018 wakati Barrick Gold wakiwa kwenye position ifuatayo:

View attachment 677012
Unaona hapo chini, Market Cap ni 17.64 Billion. Na tunaposema Barrick ina maana na hesabu za Acacia zipo ndani yake bila kusahau hesabu za kampuni zao zingine zote.

So, with Market Cap ya 17.64, ina maana endapo shareholders WOOOOOOOTE wa Barrick Gold wangeamua kutoa shares zao zoooooooooote free of charge kwa Barrick kisha Barrick wakauza shares zooooooote na kuamua kutumia mapato ya uuzaji wa hizo share, bado wangeweza kulipa ONLY $17.64 Billion wakati tunawadai $190 Billion na huku pia tunaiacha Barrick Gold mikono mitupu!!!

Hii maana yake ni kwamba, deni husika HALILIPIKI kwa sababu takwimu zilizotolewa ni za UONGO... simple and clear!!
Mkuu Chige, ukweli kama huu ndio utalisaidia taifa letu, angalia nimesema nini hapa
Wanabodi,

Declaration of Interest.
Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, kanuni kuu ya kwanza ya mwandishi wa habari, ni to seek the truth!. Nothing but the truth. Hivyo mimi ni kundi la kina Tomaso, hatuamini kwa maneno matupu hadi tushuhudie na kujiridhisha kuwa huu ndio ukweli wenyewe halisi.

Preamble
Hili ni bandiko kuhusu Tanzania kupata maendeleo ya kweli, yataletwa na elimu, na ukweli. Tukiwa wakweli hatuwezi kudanganya. Tukiwa na elimu, hatuwezi kudanganywa, na hata tukidanganywa, hatuta dangayika!.

Uwongo Mwingi, Ukweli ni Upi?.
Tangu kuibuka kwa sakata la mchanga wa makinikia ya dhahabu, kumesemwa mengi na kunaendelea kusemwa mengi, mengine ni kweli, mengine ni uwongo, kuna sehemu tunadanganywa na tunadanganyika, kuna sehemu tunadangaya na kujifariji na udanganyifu wetu. Ili Tanzania tuweze kupiga hatua za kweli za maendeleo ya ukweli, jambo kubwa la kwanza ni kuthamini ni elimu, na ukweli, lazima tuuthamimi elimu na ukweli, tuutafute elimu kutuwezesha kuutafuta ukweli na tuseme ukweli na kuwa wakweli daima. Truth is Everything.

Jee Tutapataje Ukweli.
Kwa vile nia yetu ni kuujua ukweli ili tusidanganywe na tusidanganye, njia ya kuujua ujweli halisi kuhusu thamani halisi ya makinikia haya ni moja tuu, tuutaifishe mchanga wote tukauchenjue mahali tunapopajua sisi, ila kuwepo mwakilishi wa Acacia, kisha tuthibitishe kinachopatikana, kikiwa ni kile kile kiwango cha Acacia, then Acacia ni wakweli,tume ndio waongo, tutawaomba radhi na kuwalipa fidia na kuwaruhusu kuendelea kusafirisha mchanga wa dhahabu. Ukiwa kiwango kweli ni kikubwa, then tume ni wakweli, Acacia ni majizi, tutapigiana hesabu ya conteiner zote, watulipe fidia kwa wizi wote waliotuibia tangu container la kwanza!.

Hitimisho.
Wakati tunasubiri ukweli halisi utaopatikana kwa utafiti, nashauri kwa kipindi hiki cha kusubiria ukweli halisi, tujitahidi tuweke akiba ya maneno, tupunguze kuwaaminia sana hawa wanasiasa wetu, walituingiza chaka kwenye Radar, Richmond, EPA, Escrow, Samaki wa Magufuli, na pia tusiwanyooshe watu vidole kuwa ni majizi, kisa tuu fulani kasema, ikikutikana sio wezi, tutaweka wapi sura zetu?!,.

Hivyo this time around Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, lets seek the truth, the truth will set us free, tusidanganywe tena, tukadanganyika, ila nasi tusidanganye!.
Jumapili Njema.
Paskali.
Nimeleta huku kwa sababu ni hapa nilishauri tutafute ukweli, tangu kuzuiliwa kwa makinikia, tunakwenda kutimiza mwaka mmoja na sijaona au kusikia juhudi zozote za kuutafuta ukweli!.

Watu wanasubiri tulipwe kishika uchumba chetu cha dola milioni 300, wauruhusu Mchanga uondoke!.

Paskali
 
Mkuu Pascal Mayalla,

Mada yako ya UKWELI na kuutafuta UKWELI umeieleza barabara kabisa.

Walio kwenye mamlaka sio wasema kweli na sie wananchi sio watafuta ukweli!

Na ukija kwenye suala la makinikia; since Day 1 nilielezea mashaka yangu juu ya takwimu zilizokuwa zimetolewa na akina Prof. Mruma manake ni takwimu ambazo mtu hakutakiwa kuwa mtaalamu sana kufahamu doubtfulness iliyokuwapo kwenye zile takwimu!

Hata hivyo, mamilioni ya wananchi wakaingizwa king na ripoti ile kwa sababu tu hata wale wenye uwezo wa kutumia elimu yao kutafuta ukweli wakaacha kufanya hivyo.
 
Wanabodi,

Declaration of Interest.
Paskali ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, kanuni kuu ya kwanza ya mwandishi wa habari, ni to seek the truth!. Nothing but the truth. Hivyo mimi ni kundi la kina Tomaso, hatuamini kwa maneno matupu hadi tushuhudie na kujiridhisha kuwa huu ndio ukweli wenyewe halisi.

Preamble
Hili ni bandiko kuhusu Tanzania kupata maendeleo ya kweli, yataletwa na elimu, na ukweli. Tukiwa wakweli hatuwezi kudanganya. Tukiwa na elimu, hatuwezi kudanganywa, na hata tukidanganywa, hatuta dangayika!.

Uwongo Mwingi, Ukweli ni Upi?.
Tangu kuibuka kwa sakata la mchanga wa makinikia ya dhahabu, kumesemwa mengi na kunaendelea kusemwa mengi, mengine ni kweli, mengine ni uwongo, kuna sehemu tunadanganywa na tunadanganyika, kuna sehemu tunadangaya na kujifariji na udanganyifu wetu. Ili Tanzania tuweze kupiga hatua za kweli za maendeleo ya ukweli, jambo kubwa la kwanza ni kuthamini ni elimu, na ukweli, lazima tuuthamimi elimu na ukweli, tuutafute elimu kutuwezesha kuutafuta ukweli na tuseme ukweli na kuwa wakweli daima. Truth is Everything.

Jee Tutapataje Ukweli.
Kwa vile nia yetu ni kuujua ukweli ili tusidanganywe na tusidanganye, njia ya kuujua ujweli halisi kuhusu thamani halisi ya makinikia haya ni moja tuu, tuutaifishe mchanga wote tukauchenjue mahali tunapopajua sisi, ila kuwepo mwakilishi wa Acacia, kisha tuthibitishe kinachopatikana, kikiwa ni kile kile kiwango cha Acacia, then Acacia ni wakweli,tume ndio waongo, tutawaomba radhi na kuwalipa fidia na kuwaruhusu kuendelea kusafirisha mchanga wa dhahabu. Ukiwa kiwango kweli ni kikubwa, then tume ni wakweli, Acacia ni majizi, tutapigiana hesabu ya conteiner zote, watulipe fidia kwa wizi wote waliotuibia tangu container la kwanza!.

Hitimisho.
Wakati tunasubiri ukweli halisi utaopatikana kwa utafiti, nashauri kwa kipindi hiki cha kusubiria ukweli halisi, tujitahidi tuweke akiba ya maneno, tupunguze kuwaaminia sana hawa wanasiasa wetu, walituingiza chaka kwenye Radar, Richmond, EPA, Escrow, Samaki wa Magufuli, na pia tusiwanyooshe watu vidole kuwa ni majizi, kisa tuu fulani kasema, ikikutikana sio wezi, tutaweka wapi sura zetu?!,.

Hivyo this time around Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, lets seek the truth, the truth will set us free, tusidanganywe tena, tukadanganyika, ila nasi tusidanganye!.
Jumapili Njema.
Paskali.
Pascal huwa nikiona bandiko lako natamani kweli kulisoma.Hata hivyo naomba niwe frank kwako,yaani napata shida kweli ku-connect the dots of what you are saying.Jaribu kutiririka vizuri ili tuhamasike kusoma mada zako Pascal.
 
Moja ya sifa kubwa na nzuri ya Rais Magufuli ni kuwa mkweli daima hata kama ukweli huo unauma vipi, rais Magufuli atausema.

Kwenye hili la kutoongeza mishahara, rais Magufuli amesema ukweli wake, lakini kwa sababu rais Magufuli ameahidi kuongeza mishahara kabla ya kumalizika kipindi chake cha uongozi ambacho kinaisha mwaka kesho, then tusilalamike, bali tusubirie kwa matumaini, kama tumeweza kuvumilia kwa miaka 4, tutashindwaje kuvumilia kwa mwaka mmoja tuu tena, uchumi wetu utakuwa kwa kasi ya ajabu mwaka huu hadi kuwezesha serikali yetu kukusanya kodi zaidi na kukamilisha SGR, Stigler Gorge na kuongeza mishahara.
P
 
IMF wanasemaje? hebu tuusikie ukweli wa uchumi
 
Mkuu Pascal Mayalla,

Mada yako ya UKWELI na kuutafuta UKWELI umeieleza barabara kabisa.

Walio kwenye mamlaka sio wasema kweli na sie wananchi sio watafuta ukweli!

Na ukija kwenye suala la makinikia; since Day 1 nilielezea mashaka yangu juu ya takwimu zilizokuwa zimetolewa na akina Prof. Mruma manake ni takwimu ambazo mtu hakutakiwa kuwa mtaalamu sana kufahamu doubtfulness iliyokuwapo kwenye zile takwimu!

Hata hivyo, mamilioni ya wananchi wakaingizwa king na ripoti ile kwa sababu tu hata wale wenye uwezo wa kutumia elimu yao kutafuta ukweli wakaacha kufanya hivyo.
Mkuu Chige, hii ngoma imemalizika, kuna ukweli fulani tumeusema humu kuhusu zile dola bilioni 190,ambao hawawezi kukiri ila tutaambiwa tuu tumesamahe tuu bila kuambiwa sababu.
P
 
Mkuu pascalii

Elimu ipi unayo suggest wewe, Tanzania kila tunachotumia kwa sasa ni vyakuletwa na waletaji ndio wanashikilia hizo funguo na mbinu zote..

Kwa sasa makinikia niwachache wanaokumbuka sembuse kuana intrest nayo..
Vijana tupo kwenye kubeti na ushabiki wa mipira saaa ngapi tutajifunza chochote kipya.?!

Dada zetu nao ni kukesha kwenye mitandao na umbea hadi vidole vimelemaa saa ngapi wataitafuta hiyo elimu

Dini na manabii ndio wanazidi kuivuruga jamii kwakuwajaza ujinga zaidi..saa ngapi wataweka vitabu vyaimani pembeni..?!

Maoni: Nadhani viongozi waendelee tuu wananchi hawana habari
 
Nafuatilia huu mkutano wa rais na wafanyabiashara, kiukweli baadhi ya hoja zilizoibuliwa humu, zimeibuliwa ikulu, hivyo mabandiko kama haya, yanasaidia.

P
 
Leo ndio huu mkataba umesainiwa rasmi, kwa vile kuna akina sisi humu tulitoa hoja kuwa tumedanganywa, tunasubiri kupata contents za tulichokubaliana, ili tuweze kudadavua.
P
 
Wakuu kama kawaida naanza na Salam..
Kwakuwa ni jukwaa la Siasa nitatoa badhi ya Mifano ya Wanasiasa.
Naanza na..
Kikombe cha Babu ,Kama yule mzee aliweka Mikojo basi ni wengi wamekunywa.

JK wakati wa kugombea ,Kila anaeulizwa anasema atamchagua sababu ni Kijana..(wakati huo ana miaka 55)

Kiongozi wa Sasa anasemwa Mzalendo,Wakati hakuwahi kuwatetea popote hata kipindi akiwa Bungeni.
....nk
Watu wamekua wanaamini chochote na wanatumika vilivyo sababu hakuna anaejali.
Vivyo hivyo kwenye
Dini
Sanaa..nk
Vizazi vijavyo vitatulaumu na kutukana kama hatutafanya mageuzi sasa.
Elimu inahitajika Tanzania,
Tupende kujisomea Vitabu,
hata katika kuangalia TV basi isiwe vipindi vya Comedy tu.

Dunia iko Kasi sana,Tukijikomboa katika Elimu tunaweza angalau kupunguza Maradhi na huu Ujinga wa Kuamini kila tunaloambiwa.

Wakuu Mods Msiunganishe hii mada Sijataja mambo ya kijifukiza🙏
 
Back
Top Bottom