Maendeleo ya kesi ya wakili Wasonga dhidi ya TLS

Decree Holder

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,556
3,741
Baada ya Mahakama kuu Dodoma kuruhusu Tundu Lissu, Lau Masha na Godwin Ngwilimi waunganishwe kwenye kesi kama washitakiwa, TLS na akina Tundu Lissu waliibuka na mapingamizi kadhaa dhidi ya kesi hiyo ya Wasonga. Walipinga petition hiyo ya Wasonga kwamba ni incompetent, premature pia inayoabuse process za mahakama inavyoonekana hapo chini kwenye pijpg[/IMG][/URL]"][URL="http://www.jamiiforums.com/mobile-g...ry/e0426ca8483b16fac66a507ea65ed249.jpg[/IMG]
eabf351c931fb177182280863a5ecf84.jpg
e3dadd360c0df2aebb451804d1d21ee8.jpg
503e83735048160b97392076260d0265.jpg

Baada ya mapingamizi hayo Wasonga aliomba mahakama imruhusu akafanye mabadiliko kwenye petition yake na afanye refile. Ombi hilo pia lilipingwa na TLS na akina Lissu hivyo mahakama inategemewa kutoa ruling leo kuhusiana na hatima ya hiyo petition baada ya mapingamizi (PO's).
 
Back
Top Bottom