Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

Status
Not open for further replies.
Aaseeee!!!!!!!' alikuwa haiwezekani kutibiwa/kuchekiwa muhimbili?!?

Mkuu kwa hali ya sasa ya migomo Muhimbili ama hospital za Tanzania siyo reliable. Juzi nusura nipoteze maisha kwa sababu ya mkutano wa madaktari. Mkuu wewe acha tu Mungu ni mwema aliniokoa.

Apone haraka manake bila yeye siasa za Tanzania zitakuwa doro sana.
 
Death is not a thing to wish to anybody let alone your greatest rival...how many people hate u and still don't wish u death?? Come on men let's be human even for a little bit!
adui yako muombe njaa.......no kifo ! Njaa utamuonea huruma !
 
Mkuu kwa hali ya sasa ya migomo Muhimbili ama hospital za Tanzania siyo reliable. Juzi nusura nipoteze maisha kwa sababu ya mkutano wa madaktari. Mkuu wewe acha tu Mungu ni mwema aliniokoa.

Apone haraka manake bila yeye siasa za Tanzania zitakuwa doro sana.
Huyu sio lazima awepo, hata akiwa nje ya nchi watu mwemwelemwele, ukuona alivyoendesha kura za maoni Arumeru kwa remoti control wakati yeye yupo Ujerumani?
 
Fia hukohuko wewe mwizi na mmiliki wa Richmond na kundi lako lote,eti mpiganaji,huyu mwizi wa rasilimali zetu leo hii awe mpigani? kufa huko huko wewe mamvi na hyo ni laana ya Watanzania inakusumbua,pumzika kwa Amani
 
Ninamwombea apone km binadamu mwenzangu lkn kwenye uongozi namwombea apate misukosuko ya kutosha ili asiendelee kutumia mapesa ya waTz aliyoiba kujitwalia uongozi yeye na familia yake. Arudishe pesa zetu vinginevo AUGUE SALAMA.
 
Fia hukohuko wewe mwizi na mmiliki wa Richmond na kundi lako lote,eti mpiganaji,huyu mwizi wa rasilimali zetu leo hii awe mpigani? kufa huko huko wewe mamvi na hyo ni laana ya Watanzania inakusumbua,pumzika kwa Amani

acha kuongea ujinga . Kama ni umasikini nenda kamuulize dingi yako kwanini hakwenda shule na kufanya kazi kwa bidii . Lowassa hausiki na maisha yenu peleka hizo stress kwa wazazi wako . Fanya kazi kwa bidii kama hujaona maendeleo. Sio kuleta wivu na majungu yasiyo na maana.
 
Malipo ni hapa hapa duniani,binafisi siwezi kumuombea apone,Nikitafakari jinsi mwakyembe alivyokuwa na sasa hali yake ilivyo machozi yananitoka,
 
Kumbe tupo wengi tunatumia simu! Duh hata mimi nimekosa kitufe cha LIKE nimekikosa kisha nimegundua kuwa natumia simu! Ila EL bora afe ili Mwakyembe apate nafuu!......
Kwahiyo kufa kwa Lowasa ndio tiba ya Mwakyembe!!?? mwe haya mapya kama watu wamelishwa ujinga kwa viwango hivi!
 
Vipi hali ya Rostam na Chege...binafsi hawa siwezi kuwaombea eti wapone badala yake wafe maana wamesababisha watanzania wengi kupoteza maisha kwa ufisadi wao...mafisadi, wanafiki wote kufeni tena haraka sana...

Nilikuwa na hasira lakini hii msg imenifanya nicheke
 
Fia hukohuko wewe mwizi na mmiliki wa Richmond na kundi lako lote,eti mpiganaji,huyu mwizi wa rasilimali zetu leo hii awe mpigani? kufa huko huko wewe mamvi na hyo ni laana ya Watanzania inakusumbua,pumzika kwa Amani

kweli hapo umenena,MUNGU amsaidie Mwakyembe apone haraka ili mafisadi wazalike
 
fisadi! Fisadi! Fisadi! Fisadi! Kama mwizi akiiba anauawa, basi hili fisadi bora li........!
 
Kwa mtindo huu wa watu kuongea ujinga bila kufikiria mbali itapelekea kuwa na taifa la majungu , la watu wavivu , wasiopenda maendeleo ya watu na wasio na uwezo wa kuthubutu na watu wanaolaumu kila kitu . Na ndio maana tunaogopa kuingia kwenye federation ya eac sababu ya haya mambo . Tuache haya mambo jamani hatutaendelea kamwe.
 
Malipo ni hapa hapa duniani,binafisi siwezi kumuombea apone,Nikitafakari jinsi mwakyembe alivyokuwa na sasa hali yake ilivyo machozi yananitoka,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom