Maendeleo ndani ya Jiji la Dar yameletwa na Mkuu wa mkoa Paul Makonda

Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Jinga lao
 
Leo asubuhi tumepishana pale Seacliff mheshimiwa mkuu wa mkoa Daud Bashite nikakuwashia taa. Leo kwanini uneendesha gari mwenyewe? Au ulikua unaenda kupiga tukio?
 
Back
Top Bottom