Maendeleo ndani ya Jiji la Dar yameletwa na Mkuu wa mkoa Paul Makonda

Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Nonsense!
 
Tupe majina ya wanao muhitaji huyu zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda kwa hili umezingua! Bora ungenyamaza tu kimya. Yaani Ukuu wako wa Mkoa na ukaribu na mkulu, umekufanya ujione uko juu kweli kweli! Kwa akili hizi, kweli ulifoji vyeti aisee.

Kwa hiyo Jiji halijajiwekea mipango yake ya maendeleo! Hakuna Baraza la Madiwani! Hakuna Wabunge! Hakuna Meya wa Jiji! Hakuna Wakurugenzi wa Manispaa na Jiji! Hakuna watangulizi wako! Hakuna wadau wa maendeleo! Isipokua ni wewe tu ndiye kila kitu.
ni kwa akili hizi ndiyo maana hata wakati wa mkutano wa SADC yeye ndiye aliwapokea wageni badala ya mameya. mjinga sana BASHITE.
 
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Kwahyo Bashite unataka upewe jimbo gani hapo Dar?

Yale mafuriko nayo kayaleta Makonda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni kichaaa..maendeleo yanaletwa na mtu au na kodi zetu???Wakuu wa mikoa wanalpwa na kodi zetu au na nanii...hv kwnn wazazi wenu waliopoteza pesa nyingi kwa ajili yenu hamuwaonei huruma kw kuonyesha thamani ya elimu waliyo wapa??

Bado jiji chafu, hakuna sehemu ya kumpumzikia, foleni, mafuriko nk hana plan. Tatizo mnaweka siasa kwenye nafasi ambayo sio ya siasa. Dar sio ya kusifiwa yaani Mwanza, Arusha zimezidi sana Dar
 
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji

Yepi hayo?
Mafuriko ya mvua?
Kufungwa biashara
Msongamano barabara za kariakoo
Uharibifu wa DART na wamachinga?
Foleni za kijinga
Uchafu
Ajira hakuna
Hivi mnajua maendeleo au mnasikia tu nyinyi

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Nikiitwa Bashite napigana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni kichaaa..maendeleo yanaletwa na mtu au na kodi zetu???Wakuu wa mikoa wanalpwa na kodi zetu au na nanii...hv kwnn wazazi wenu waliopoteza pesa nyingi kwa ajili yenu hamuwaonei huruma kw kuonyesha thamani ya elimu waliyo wapa??

Sent using Jamii Forums mobile app
hizo kodi hazipelekwi mikoa mingine?
kodi za wananchi lazima zikutane na kiongozi mwenye kuleta maendeleo ndio tutaona kazi yake
 
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Vip hayo maendeleo hayana uhusiano wowote na ujenzi wa miundombinu kule kwa Mwita sio sehemu ya Dsm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Maendeleo yetu ni mchango mkubwa wa RC MAKONDA wapo watakao bidhaa hili ambao wameshindwa hata kuongoza familia zao. Kuongoza ni kipaji toka kwa Mungu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom